The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Nitajie nchi yenye demokrasia hapa duniani..tulishajaribu udikteta hapa Tz wakati wa Mwalimu Nyerere na tulifeli.
..pia kuna nchi nyingi za kiafrika zimetawaliwa au zinatawaliwa Kidikteta lakini hazijapiga hatua ya maendeleo.
..Demokrasia ina-guarantee amani na kutuhakikishia kuwa tukimchoka Jpm au CCM tunaweza kubadilisha serikali kupitia sanduku la kura.
Nitajie nchi yenye demokrasia hapa duniani
Unaweza kunitajia head of state wa Canada..Canada.
Unaweza kunitajia head of state wa Canada
So, head of state ni malkia wa Uingereza jibu nadhani utakuwa nalo, heheheheheeee nchi ipo Amerika af head of state yupo ulaya [emoji3][emoji3][emoji3]..Head of State ni Malkia wa Uingereza.
..Head of Government ni Waziri Mkuu.
..Pia wana BUNGE lenye nguvu.
..Na kuna serikali za MAJIMBO.
So, head of state ni malkia wa Uingereza jibu nadhani utakuwa nalo, heheheheheeee nchi ipo Amerika af head of state yupo ulaya [emoji3][emoji3][emoji3]
Ss unataka kufananisha Canada na Tz we vp, hyo ni developed country na nenda kasome historia yao walifikaje hapo walipo af km utaona ushuzi wa demokrasia..Ni ceremonial head of state.
..Mamlaka na maamuzi yote makubwa yanafanywa na Waziri Mkuu na Bunge.
..Pia pamoja na kuwa Malkia ndiyo head of state bado Wacanada wana HAKI na maamuzi kuhusu serikali yao kuliko Watz.
Hakuna nchi iliyoendelea duniani hapa na ikapata maendeleo hayo kwa kutumia demokrasia icho kitu hakipo na km kipo mm cjawahi kusoma nchi ya hvyo...Ni ceremonial head of state.
..Mamlaka na maamuzi yote makubwa yanafanywa na Waziri Mkuu na Bunge.
..Pia pamoja na kuwa Malkia ndiyo head of state bado Wacanada wana HAKI na maamuzi kuhusu serikali yao kuliko Watz.
Ss unataka kufananisha Canada na Tz we vp, hyo ni developed country na nenda kasome historia yao walifikaje hapo walipo af km utaona ushuzi wa demokrasia
Ishu iko hv, maendeleo hayawezi kuja kwa kutumia demokrasia ni lazima kuwe na udikteta fulani hata nchi zilizoendelea zilitumia trick hii, demokrasia haiwezi ku operate kwny njaa mkuu, lazima mshibe kwnz ndio mu introduce democracy. Ukiwaza kwa mapana utaelewa namaanisha nn...sasa hebu tueleze unapolinganisha wananchi wa Canada na Tanzania ni wapi wana haki na uhuru zaidi wa kuchagua na kuchaguliwa?
..Je, waTz tuna demokrasia na haki zaidi ya waCanada pamoja na kwamba Malkia wa UK ndiye Ceremonial head of state wa Canada?
Wazungu wanahimiza democracy wkt huo huo wao ni ma capitalist ss cjui km inaingia akilini hapo.
Ishu iko hv, maendeleo hayawezi kuja kwa kutumia demokrasia ni lazima kuwe na udikteta fulani hata nchi zilizoendelea zilitumia trick hii, demokrasia haiwezi ku operate kwny njaa mkuu, lazima mshibe kwnz ndio mu introduce democracy. Ukiwaza kwa mapana utaelewa namaanisha nn.
Hayo unayosema saivi ni matokeo, soma historia walitokaje huku tulipo na kufika hapo walipo..lakini hao wazungu ni more socialist than us.
..kwa mfano huduma za afya na elimu ni bure.
..wafanyakazi wana likizo nzuri za uzazi kwa kinamama na kinababa.
..wana huduma nyingi sana za kijamaa kutuzidi sisi tunaojiita wajamaa.
Hiyo ndiyo changamoto tuliyonayo Afrika viongozi wengi wanatamaa lkn tamaa hyo inasababishwa kwa kiasi kikubwa na hao hao walioendelea ambao ww unasema wana democracy..siyo kweli.
..Afrika tumekwama kwasababu ya kuwa na madikteta waliokaa madarakani muda mrefu na wameridhika na kujihakikishia kuwa hakuna wa kuwaondoa madarakani.
Hayo unayosema saivi ni matokeo, soma historia walitokaje huku tulipo na kufika hapo walipo
Kwnn udikteta uwanufaishe wazungu af ushindwe kutunufaisha waafrika, jiulize hapo..Na wewe soma historia kujua kwanini tumekwama.
..We tried udikteta na ndiyo maana Waafrika tumekwama.
Hv ww unadhani maendeleo ya developed countries yalikuja tu kirahisi huku wanakula bagger hehehehee ww soma historia mzee..siyo kweli.
..Afrika tumekwama kwasababu ya kuwa na madikteta waliokaa madarakani muda mrefu na wameridhika na kujihakikishia kuwa hakuna wa kuwaondoa madarakani.
Kwnn udikteta uwanufaishe wazungu af ushindwe kutunufaisha waafrika, jiulize hapo