Kenya billionaire wako jomba, ila watu wanaishi kijanja sana, kw mfano anagalia networth ya uhuru kenyatta since 2011 ni $500m mpaka sasa eti haijaongezeka wala kupungua...
Uliandika hivi
Nikakuuliza hivi
Mpaka muda huu hujajibu zaidi ya kubadili magoli.Yalianza lini?
Hahahaha, hahahaha. Muhimu ni kwamba ninyi size yenu ni Uganda, ndio mnakaribiana, sisi tunamfukuza Morocco kimya kimya, sisi sio wenzenu.Bwahahaaaa!!kulingana na ile ripoti yao ya kimagumashi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbna mnaogopa hesabu[emoji3][emoji3]
Enheee 2018 mlikua ngapi na kenya ilkua ngapi..najua hapo utakimbia mbio sana
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]jueni hesabu kwanzaHahahaha, hahahaha. Muhimu ni kwamba ninyi size yenu ni Uganda, ndio mnakaribiana, sisi tunamfukuza Morocco kimya kimya, sisi sio wenzenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umekuja vizuri sasa, niliposema "kwn hayo masoko yalianza leo" ulielewa nn hapo..Uliandika hivi
Nikakuuliza hivi
Mpaka muda huu hujajibu zaidi ya kubadili magoli.
Akili yako ni fupi na ndio maana hutaki kujibu nilichokuuliza,Umekuja vizuri sasa, niliposema "kwn hayo masoko yalianza leo" ulielewa nn hapo..
Najua kujibu km yalianza lini hutaki kusema
Sent using Jamii Forums mobile app
5553 - 2900 = 2653
Bwahahaaaa!!nisaidie na hii hapa5553 - 2900 = 2653
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili yako ni fupi na ndio maana hutaki kujibu nilichokuuliza,
Fool.
Niliposema "kwn hayo masoko yalianza leo" ulielewa nn?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza niliye mquote kakimbia kisa kaelewa nilichokiandika hapo mbeleni..Akili yako ni fupi na ndio maana hutaki kujibu nilichokuuliza,
Fool.
Kakimbia wapi?Kwanza niliye mquote kakimbia kisa kaelewa nilichokiandika hapo mbeleni..
Kaja na mbwembwe za masoko ya dhahabu ni km yalianza wiki mbili kabla ya hyo ripoti kutoka...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni data ya kupika kama kawaida yenu, ila ripoti ya Knight Frank inaonyesha mwaka 2018 Kenya ilikua na matajiri 3400. Hahahaha, hahahaha, hahahaha, hahahahaBwahahaaaa!!nisaidie na hii hapa
9,400-500=2,900[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Sent using Jamii Forums mobile app
Masoko ya dhahabu yalianzishwa mwishoni mwa 2018. yameimarika zaidi ndani ya 2019, na tunaendelea kuimarika mwaka huu na kuendelea, ndio sababu idadi ya matajiri itaongezeka kwa 51% ikifika 2024, kutoka idadi ya sasa ya 5553.Kwanza niliye mquote kakimbia kisa kaelewa nilichokiandika hapo mbeleni..
Kaja na mbwembwe za masoko ya dhahabu ni km yalianza wiki mbili kabla ya hyo ripoti kutoka...
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Masoko ya dhahabu yalianzishwa mwishoni mwa 2018. yameimarika zaidi ndani ya 2019, na tunaendelea kuimarika mwaka huu na kuendelea, ndio sababu idadi ya matajiri itaongezeka kwa 51% ikifika 2024, kutoka idadi ya sasa ya 5553.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilipikwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hiyo ni data ya kupika kama kawaida yenu, ila ripoti ya Knight Frank inaonyesha mwaka 2018 Kenya ilikua na matajiri 3400. Hahahaha, hahahaha, hahahaha, hahahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Matusi huaga hayaufuti ukwel, upo jomba?Kakimbia wapi?
Ukiona umepuuzuwa fahamu kuwa unaandika ujinga,
Sio kila mtu ana muda wa kubishana na mjinga mwenye ufinyu wa akili humu,
Nilikuuliza vizuri tu... hayo masoko yalianza lini?
Knight Frank haiwezi kujichanga, ninyi kawaida yenu ni kupika data, ona jinsi mlivyopika hiyo data. Hii taarifa sio ya Knight Frank, mumeitengeneza hapo Kenya, link ya Knight Frank Original ni "Knight frank. com". Hii uliyoweka ni "knight frank.co.ke.". Hahahaha, hahahaha,hahaha.Ilipikwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Woooiiii!!na wakati waliitoa wenyewe[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]kweli mara hii mmekalia kuti kavu mpka kuukumbatia ujinga[emoji1787]...
Ripoti yao hyo..wivu mbaya jamaniView attachment 1391198
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa!!niletee pdf basi inayoongelea habari za kutoka 2013-2017 kutoka knight frank km unayo basi...Knight Frank haiwezi kujichanga, ninyi kawaida yenu ni kupika data, ona jinsi mlivyopika hiyo data. Hii taarifa sio ya Knight Frank, mumeitengeneza hapo Kenya, link ya Knight Frank Original ni "Knight frank. com". Hii uliyoweka ni "knight frank.co.ke.". Hahahaha, hahahaha,hahaha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza lazima mkubali kwamba hii taatifa sio ya Knight Frank mumeitengeneza hapo Nairobi kama kawaida yenu, hiyo sio link ya Knight Frank, hahahaha, hahahaha, Hahahaha.Hahaaa!!niletee pdf basi inayoongelea habari za kutoka 2013-2017 kutoka knight frank km unayo basi...
Oneni jamaa kunengua sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
..Tanzania ya sasa hivi ni ya hovyo sawa na Kenya ya wakati wa Mzee Moi.
..Tumefikaje huko? We made a mistake in 2015. Tulichagua kiongozi asiyependa demokrasi na mkatili.
..Tumekuwa nchi ya ajabu / SKUNKS kuwa chief whip wa opposition camp ktk bunge anapigwa risasi mchana kweupe ktk compound ya serikali na yenye walinzi 24/7. Na baada ya hapo hakuna investigation.
..I never thought waTz tunaweza kuwa WAKATILI kiasi hiki.
..Hawa jamaa wa upinzani wameonewa tu. Walikamatwa wakiandamana kudai vitambulisho vya mawakala wao ktk by election.
..Polisi wakawavamia ktk maandamano na kuua mwanafunzi wa chuo kikuu kimakosa. Sasa kuficha aibu na kumaliza hasira zao ndiyo wameamua kuwashitaki Mbowe na viongozi wenzake.
..Kati ya waliohukumiwa ni mwanamama[ Esther Bulaya] Chief Whip wa opposition camp ambaye alim-suceed yule aliyetwangwa risasi mwaka juzi.