Tanzania leads Kenya in the list of dollar millionaires

Hakuna cha analysis hapo, yaani dataset yenyewe haizidi hata 10 rows unahangaika kupoteza mda. BBC, the Citizen na Knight Frank wote wameshatueleza ukweli, hakuna mjadala tena.

Waambie hao ndugu zako wawili wanajijua wapunguze uongo hapa jamvini, tunawaona sana.
Akina Bantugbro hawawezi fanya analysis Kama hii. Mambo ni ushabiki tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

a point of correction: millionaire status ni in terms of dollars, hakunaga millioanaire kwenye currency yoyote zaidi ya dollars!

Kwa ukanda huu wa afrika mashariki hakuna ubishi kenya wapo mbele sana pamoja na ethiopia, in recent rankings ilikua inaanza ethiopia then inafuata kenya! but kenya has taken its spot again BUT jinsi uchumi unahesabiwa its rarely and it will never happen kuhesabu account za watu, nikupe mfano, tajiri wa kwanza duniani jeff bezoes alivoachana na mke wake alitakiwa kulipa $65B, lakini hakua na hio cash so he had to give some stocks za amazon kwa mke wake as a settlement, if he counld have converted his networth fast to real cash then angempa direct!

back to the point, kenya is a heavy economy and its projected to have a large influence in africa in the years ahead: kenya are very good in almost everything, not even south africa can take over kenya in fields such as telecom! incase kenya stops trading with tanzania there will be disaster to most citizens because wengi ndo kimbilio la bidhaa zao nkimaanisha vyakula sana sana
 
Hoja hii imejibiwa vizuri na post #46 hivyo ungeenda kuisoma itakusaidia kuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
LOooh, sasa nimejua huna uwezo.
Hiyo lugha inakupita pembeni kabisa?

Na inawezekana wewe upo huko serikalini na cheo kikubwa kabisa!

tatizo lenu hamsomi vitu vizuri, yaani ata magufuli akikohoa saaahv mtakuja kuanzisha mada uku
 
Kwani Ndii ni nani? Wewe hauna akili ya kuona kwamba hizo takwimu za wealth report ya 2019 na ya 2020 haziendani? mpka ndii akwambie??
Ndii ni mtaalam mkubwa sana wa uchumi hapo Kenya, ww usijifanye humjui bhana. Mimi nina akili sana, ila sijasomea uchumi. Ndio maana naamini wachumi waliosoma wakizichambua hizi data za kiuchumi. Data imeandaliwa na wasomi huko, ikaandikwa na vyombo vya kimataifa,
Sasa wewe baki na denialism yako, prepare to oppose a lot of reports concerning tz vs kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole, ila ripoti inasema Tanzania imeipita Kenya kwa idadi ya matajiri, kama wamekosea watarekebisha.

Sikiliza nikuambie, kabla ripoti za aina hii kutolewa, huwa zinapitia hatua nyingi sana, ukweli ni kwamba, Tanzania inafanya vizuri sana katika maeneo mengi sana, hili tulilitegemea kutokea, kumbuka kwamba uchumi wa Kenya unafanya vibaya sana na ule wa Tanzania unafanya vizuri sana.

Msikilize David Ndii, anaeleza vizuri sana kwa kutumia "Economic facts" kueleza ni kwanini Tanzania itaendelea kufanya vizuri wakati Kenya itaendelea kufanya vibaya Economically. Usijipe "stress", hiyo ripoti ni kweli, na mwakani tofauti ya idadi ya matajiri kati ya Kenya na Tanzania itakuwa kubwa zaidi kwasababu Uchumi wa Kenya unazidi kusambaratika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You're a shallow person. No need to repeat to you what Kafrican already did.
 
Those are US dollar billionaires, source is, new world wealth, sijui watu gani hao, sijui ni reliable kushinda knight frank. Huku kwetu wamesema US dollar millionaires wapo wengi bongo kushinda Kenya. We understand it's a hard pill to swallow, u better start getting used.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapo kwenye "Denial stage", watazoea muda si mrefu, tuwape muda wa kusikilizia machungu kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tatizo lenu hamsomi vitu vizuri, yaani ata magufuli akikohoa saaahv mtakuja kuanzisha mada uku
Umejidharirisha.

Lakini ni vizuri mtu unapojjitoa wazi kuonyesha uwezo ulionao ili watu wakujue kwa sababu hawatapoteza muda wao tena nawe.
 
Unafananisha reports za two different sources. Fananisha reports za same source.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umejidharirisha.

Lakini ni vizuri mtu unapojjitoa wazi kuonyesha uwezo ulionao ili watu wakujue kwa sababu hawatapoteza muda wao tena nawe.

yaani we jamaa bana, ebu toa ata deatils kisomi sasa ndo nn iki umeandika, mm na wewe sasa nan anaonekana kujidharirisha, we reply zako mara hazina mashiko!
 
Heheheheheeee hii[emoji116][emoji116] report vp uliipitia? Na unaonaje maoni yako.

Kenya ndio ya nne kwa wingi wa matajiri Afrika
 

Halafu naomba mwenye link original ya hii table ya 2019 atupatie tuhakiki humo, maana sioni jinsi Knight Frank wanaweza kuboronga kiasi hiki, glaring mistakes kama hizi hao jamaa huwa hawafanyi, hapa nashuku itakua Cicero au Mtanzania fulani kafanya photoshop kizembe bila kufikira na kujua ataumbuliwa na watu ambao hudadavua data herufi kwa herufi.
 
Umepewa facts umebakia kujichekesha tu..nadhan imekuingia lkn unajipa matumaini tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…