Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa majibu wa ripoti ya www.knightfrank.com, Kenya mwaka 2018 ilikua na $millionaire 3,399, mwaka 2019 walipungua. soma hii article na uingie kwenye website yao ya "www. Knightfrank. com".Dogo la knight frank..
Www.knight frank.com hyo hapo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu uangalie na hzo habari unazosema zimepikwaView attachment 1393957View attachment 1393958
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi taarifa ni uongo mtupu, hizi ni taarifa zinazozalishwa hapo Kenya ili kuwajaza ujinga, taarifa za Knight Frank original zinasema Kenya Mwaka 2018 Millionaires walikua 3399 tu.Dogo la knight frank..
Www.knight frank.com hyo hapo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu uangalie na hzo habari unazosema zimepikwaView attachment 1393957View attachment 1393958
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaa!!!Kwa majibu wa ripoti ya www.knightfrank.com, Kenya mwaka 2018 ilikua na $millionaire 3,399, mwaka 2019 walipungua. soma hii article na uingie kwenye website yao ya "www. Knightfrank. com".
Soma hii kwa maelezo zaidi, hakunasehemu walisema Kenya kuna $Millionaires 8000, hiyo ni propaganda za Wakenya kupenda sifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za kenya si huaga ni za kupikwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]sasa hao waandishi wana copy paste km walivyofanya ya last time...
Bwahahaaa!!hao kazi yao ni ku copy paste tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hizi taarifa ni uongo mtupu, hizi ni taarifa zinazozalishwa hapo Kenya ili kuwajaza ujinga, taarifa za Knight Frank original zinasema Kenya Mwaka 2018 Millionaires walikua 3399 tu.
Kenyans richer but Tanzania home to more millionaires : The Standard
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]Kwa majibu wa ripoti ya www.knightfrank.com, Kenya mwaka 2018 ilikua na $millionaire 3,399, mwaka 2019 walipungua. soma hii article na uingie kwenye website yao ya "www. Knightfrank. com".
Soma hii kwa maelezo zaidi, hakunasehemu walisema Kenya kuna $Millionaires 8000, hiyo ni propaganda za Wakenya kupenda sifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe vipi, hii unayoleta wewe ni kutoka Knightfrank.co.uk, hiyo ni Kenyan version, lakini ukiingia www. Knightfrank.com, huko wanaonyesha kwamba matajiri ni 3399, hiyo uliyoweka ya www.knightfrank.co.ke inatofautiana na www.knightfrank.com, sasa kati ya hizi link mbili tofauti, original ni hiyo ya www. Knightfrank.com, sio hiyo ya KenyaHahahaaaa!!!
Si ulisema unataka www.knighfrank.com wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa umejionea unavyojikanganya, hyo ni habari ya knight frank ambayo waliitoa wenyewe.sasa we unapinga nnView attachment 1393974
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni reported news, unapaswa kwenda kwenye original source ili kujiridhisha na kile kilichoandikwa gazetini, kutembelea www. Knightfrank.com, utaona kwamba hicho kilichoandikwa katika hilo gazeti ni kweli au sio kweli, ndio sababu wameanza kwa kutaja "original source" ya Habari husika.Habari za kenya si huaga ni za kupikwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]sasa hao waandishi wana copy paste km walivyofanya ya last time...
Kwhyo endelea kujifurahisha tu
Angalia habari za standard mwaka jana zinasemaje
https://www.google.com/url?sa=t&sou...FjAAegQIBRAC&usg=AOvVaw1Tgf5bzHrAf5BdDOqxaaAO
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu 'sttakehigh',thatsnot my point! Alot of threads here Tz vs Kenya but ukifuatilia vizuri kenya has been making headlines sana katika continental forums! nkupe mfano, science and technology kenya leads in Africa, not even south Africa can stand against kenya upande huu: Do you even know most TECH HUBS are in kenya? recently they have a project of building a tech city in nairobi, huu ni mfano wa investment moja tu
Mkuu 'sttakehigh',
Sijasoma yote uliyoandika hapa katika uliyojibu, because I am pressed up for time.
Nitatafuta mda nikusome vizuri na kukujibu.
From what I gather from the above, it confirms my suspicion, that you indeed have fallen victim of false claims and inuendos without taking time to confirm what you read.
Take the case of that claimed high tech. Have you taken time which companies are actually involved?
Safaricom and M-pesa, you're led to believe was developed in Kenya. Do you believe that?
Take the case of their mega-budgets every year. How much of that is actually implemented when they fall short in tax collections?
But the likes of 'stakehigh', the big numbers is what matters!
Much of the "High Tech" you are talking about belong to expatriates setting up business there in the hope of getting funded from international institutions.
Oooh, my.There are people changing this paramid at the moment but we still have a long way to go, just imagine nairobi itself is richer than whole tanzania combined! see that scale
Oooh, my.
I didn't know I was discussing a topic with an ignorant person!
Its not even being brainwashed; it is total ignorance with complete denial!.
In that case, I can't help you learn anything.
What does "natural calamities" have to do with a nation's wealth?this is just sample news i can get for today from africa perspective, you will never hear any kind of headlines in Africa that has to do with Tanzania taking the front lead, unless it has to do with maybe tourism! and any other natural calamities, tanzanite, mtwara gas! these are what makes Tanzania join the headlines in some parts of aFRICA: But kenya isnt something you can compare with tanzania on any continental scale investment, and ofcourse i am a Tanzanian siwapendelei wala sio bias
What does "natural calamities" have to do with a nation's wealth?
I am quoting this specific paragraph for a reason - just to show you that I am very very well informed of what goes on in this region, in terms of Foreign Direct Investment, and deal making', where indeed Kenya takes the lions share, 70 percent of the entire region's DFI!
But that is not the end of the story to lay claim on being ahead in all other spheres of development.
And as for you being involved in matters of international sphere of things with the type of communication skills displayed in your postings, that in itself is something to wonder.
Okay, there is an area I concede to Kenya being ahead - their education system is working.
No doubt about that and I agree with you totally, you're from Tanzanian with the kind of display you're showing here.
Huenda ingesaidia kidogo tukitumia lugha yetu; maana naona unapata shida kubwa mkuu 'stakehigh'.whatever! i know what i have experienced keep debating with people in this forum so that you can feel Tanzania is the biggest in Africa
Lakini sioni sehemu unayoonyesha kuwa nayo ujuzi wa kuueleza tukauelewa vizuri. Unagonga tu, na kuondoka bila kutoa maelezo yanayojitosheleza kuonyesha hayo unayotaka tuyaelewe!kwa sababu nmeona mengi especially on this field leave alone other sectors! and sipo for debate, nmetoa mchango wangu as to what i have seen in life kama umeona tafaut well and good
Huyu lazima ni mwanafunzi wa profesa lipumbaa siyo bure siyo kwa akili ndimu hizi za kupanda Gari ya tajiri kisha na wewe kujiona tajiri Kenya is nothing kwenye uchumi washukuru wawekezaji mafisadi wa kigeni kwa kuifanya nchi teule hapa Africa other wise mambo yangekuwa si mambo mfano asilimia 80% ya familia Nairobi awamiliki nyumba zao wenyewe wamepanga kwa slum ambazo ni mabanda ya mapati na mapipathatsnot my point! Alot of threads here Tz vs Kenya but ukifuatilia vizuri kenya has been making headlines sana katika continental forums! nkupe mfano, science and technology kenya leads in Africa, not even south Africa can stand against kenya upande huu: Do you even know most TECH HUBS are in kenya? recently they have a project of building a tech city in nairobi, huu ni mfano wa investment moja tu
sasa rudi kwa tanzania! which headlines has tanzania made in africa? we are only known for tourism kwa zaidi hakuna kingine? kenya has a diversfied its economy. Tanzania 80% wanategemea kilimo, so who is winning here? nmetoa tu mfano mmoja wa tech, angalia sector zingine, mfano media,banks utaona kabisa tz we have a long journey, and keep in mind most of these bussiness are run by kenyans mostly, angalia investment ya kenya kwa tz! its huge, do you even know precision air is owned by KQ? at once it was considered a dominant player on the aviation industry
sasa ukiangalia hii trend utaona tanzania ni wapenzi watazamaji na tukipewa shavu ama mdomo zaidi na serikali katika international headlines, we still have a long way to go kuanzia elimu mpaka watu kujitambua wapo dunia gan, i cant say we are not doing good but just compare yourself on these few sectors nmezitaja utaona safari tulionayo!
Juzi juzi bbc kulikua na battle ya who will rule africa economy in the comming 10 years. only two nations were battling NIGERIA vs KENYA! u can clearly see the force kenya has on this continent, challenges zipo ndio najua, corruption and mengi zaidi lakini bado uchumi wa kenya una nguvu sana! i have dealt with tech most of my life and most conference tumefanya nairobi, sjawahi attend ata conference ya google tanzania!
Hahahaaaa!!!
Si ulisema unataka www.knighfrank.com wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa umejionea unavyojikanganya, hyo ni habari ya knight frank ambayo waliitoa wenyewe.sasa we unapinga nnView attachment 1393974
Sent using Jamii Forums mobile app