Tanzania Mbioni Kununua Umeme Kutoka Ethiopia

Ndio utajua Tanzania ni comedian,maana nchi imezungukwa na maziwa makuu,mito,maporomoko kila Kona ila umeme utanunuliwa toka Kushi.
Issue hapo ni upigaji,mama alichokosea ni kuwasogeza na kuwakumbatia wale wasio na huruma na maisha ya watanzania,nchi inaenda kununua umeme ethiopia wakati huo huo kuna dam kama la ethiopia linajengwq rufiji na kwa madai yao umeme utakaopatikana pale rufiji utauzwa nje ya nchi na hapa ndani bei ya umeme aitoshuka!
 
Kichekesho. Nchi inayojidai itaanza kuuza umeme nje inazungumza wakati huo huo kununua umeme kutoka nje. Nchi haiwezi kabisa kuendelea ikiongozwa na wapigaji. Kuuza au kununua umeme yote inasukumwa na upigaji tu. Hakuna msukumo wa maslahi ya umma.
Nchi imewekeza sana umeme wa gesi na sasa bwawa la nyerere tunategea ndio limalize shida ya umeme. Kabla ya hapo jk aliliambia taifa gesi ndio ilikua muarobaini wa upungufu wa umeme na tatizo litakua historia. Sijui nini kilimtuma kudanganya taifa.
Kwa ufupi wapigaji ni watu waovu sana. Hawafai kuongoza nchi hata kwa tone. Tulibahatika kua na jpm hatutomsahau milele.
 
Kwani kuuza umeme Nje ni sifa?
 
Kuwa na gesi nyingi inabidi tujiwekee alama ya kuuliza ? kwakushindwa kufua umeme wa kutosha
 
Wakati ni ukuta, katika kipindi cha miaka 40 policy makers wote wanaweza kuwa mavumbini Allahu Aalam , watoto wetu wenye akili, dot com watashika mamlakà na hawatakuwa wajinga kama haya mazee yenye akili za kikoloni yanayoshindwa Kila kitu maana mengi kati Yao yalichapwa bakora na mzungu na kuaminishwa kuwa ni dhaifu na hayawezi kujiongoza!

Shame on wizara ya nishati Yani nchi kame yenye njaa Kila wakati ndo ituuzie umeme? Kuna wakati utafika ukiulizwa kwenu hasa ni wapi unasema Ethiopia! Tukumbuke Ethiopia wameshahau hasa ni ligi walianza kutumia treni za umeme sisi SGR imefika ngerengere miaka kumi ya ujenzi! Aibu sana kwa serikali!
 
Sasa hakuna cha Bwawa la Julius Nyerere wala nini. Drama za serikali chini ya CCM zimegeuka ghafla na kuwa ni kununua (import) umeme toka Ethiopia!!

Tunaposema viongozi hawa wa kimagumashi ya kuiba kura kujishindisha ktk chaguzi zote tulionao chini ya serikali ya CCM yao akili zao zimeshazeeka na haziwezi tena kutatatua matatizo ya nchi hii waliyoyatengeneza wenyewe muwe mnaelewa..!
 
Kuna muda ukiwasikiliza hawa wanasiasa unaishia kumkabidhi Mungu maisha. Ila ukweli Magufuli alitufaa sana aisee basi tu haikuwa rizki
 
Utakua unatania mkuu
 
dr namugari usipoteze kabisa muda wako Kuisoma hii Taarifa muhimu iliyoandikwa kwa hii Lugha ngumu Kwako ya Kiingereza kwanii hukijui kabisa.

Kwa hiki Kiingereza chako Kibovu na kilichokutia Aibu na Kukuchoresha ambacho nakinukuu hapa chini ni Uthibitisho tosha kuwa hujui Kiingereza......

"Otherwise these is absolutely rubbish" by dr namugari

Halafu ni kwanini tokea ile Juzi ulipoandika hiki Kiingereza chako Kibovu na cha Aibu ukijitutumua Kunijibu Mimi unabadili tu Avatar yako? Avatar yako unayohangaika Kuibadili kila mara inahusika nini na Wewe kama Kukosea / Kutokujua Kiingereza?

Mimi nina Wewe tu hadi Uombe Poo!!

Kudadadeki.....!!
 
Tununue umeme kwa 6.5cent hii ni sawa na tshs260. Mbona biashara ya kijinga
 
Hao CCM munawaonea tu.
Naomba siku moja CCM atoke madarakani, ili kauli yangu idhihiri.

Uhuru wa kwenye makaratasi ndio tatizo, laiti tungechukua uhuru kwanjia ya mtutu haya yote yasingekuwepo.
Ingekuwaje mkuu ndio ingekuwa kila mara tunapindua serikali?
 
Kwa mtazamo kama huo usiulete kwenye ndoa za watu.
 
Kariakoo leo yote majenereta yananguruma jitu limekaa linazurura na kurembua tu
 
Kariakoo leo yote majenereta yananguruma jitu limekaa linazurura na kurembua tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…