Tanzania Mbioni Kununua Umeme Kutoka Ethiopia

Hivi bwawa limeshajaa maji? Au zile tetesi za bwawa kupasuka nyufa ni za kweli? Muhongo alisema tunazalisha umeme mw 1750 na matumizi yetu ni mw 1350, hapo ni nje ya kinyerezi I and II. Leo tuna nunua kutoka huko, yakitukumba ya Niger tusipayuke, wakisema fulani asipokuwa rais tunazima umeme itakuwaje?
 
Issue siyo wingi wa maziwa na mito, issue ni flow ya kutosha ya maji pamoja na height drop (how far the water falls) ili pessure ya maji iweze kuzungusha turbines za kuzalisha umeme.
Ndiyo maana huwezi kukuta hydrostations kule Ziwa Victoria.
Kwahiyo rusumo hydropower inatoa maji msumbiji? Jinja maji yanatoka wapi? We kenge kalale
 
Hii nchi hata kuiombea Dua ni sawa na kupoteza muda
VIHEREHERE CHADEMA NAONA WAMEPATA PAHALA PA KUTUKANIA,
Hao Ethiopia uzalishaji wao ni mkubwa mno wapo kwenye GW, sisi na Nyerere dam yetu tutapata 2115mw, nimesikitika wakenya kwa dependence yao ya 70%,Tanzania watuletee hakuna ubaya tukawa na reserve, lakini usizidi 20%.
 
Nchi imezungukwa na mchwa.
 
Issue siyo wingi wa maziwa na mito, issue ni flow ya kutosha ya maji pamoja na height drop (how far the water falls) ili pessure ya maji iweze kuzungusha turbines za kuzalisha umeme.
Ndiyo maana huwezi kukuta hydrostations kule Ziwa Victoria.
Sawa mtaalam
 
Ndio utajua Tanzania ni comedian,maana nchi imezungukwa na maziwa makuu,mito,maporomoko kila Kona ila umeme utanunuliwa toka Kushi.
Nchi yetu, ni nchi ya punguani. Ukiwa punguani hata ukajengewa daraja, utapita kusiko na daraja, kwenye maji ya kina kirefu, na kuteketea kwa kuzama.

Ukinyimwa akili, umenyimwa kila kitu hata kama utakuwa umezungukwa na kila aina ya neema.
 
Hivi sisi kama nchi tunaweza kwenye nini hasa!
Tunaongoza kwa ushirikina. Tunaweza sana kuiba kura, kubambikia kesi wanaokosoa CCM, Rais na Serikali yake, na ufisadi wa kidogo kinachopatikana. Na unafiki wa kusifia kila kotu kinachofanywa na mtawala hata kama kitakuwa hakina maana.
 
Me naona tatizo sio CCM, tatizo ni malezi tuliyo pitia utotoni.
Hapo hata akiingia nani kutawala, kama ni mtanzania basi tegemea mambo kutobadilika.

Kuna kipindi hisia zinaniambia wenda huu uhuru wakwenye makaratasi ndio chanzo cha haya yote.
Naunga mkono, nazan tatizo la kwanza ni elimu tunapewa shule, tatizo la pili ni elimu xa din maana tumeshuhudia viongoz w wadini wanagiki kupita maelezo. Na tatizo la tatu ni malez kama ulivyosema tangu tukiwa watoto, japo huwez acha chama tawala jins kinatumia nguvu kubwa ku deal na tuvitu badala ya mavitu.
 
Mjilaumu wenyewe, nyie ndio mnachagua mandondocha na vibaka wawatawale.
Nchi hii imejaa mataahira
 
Poor poor Tanzania my country!

Hivi mbona niliwapa ushauri wa Safi kabisa!!?

Bas poa
Za
 
Kwahiyo rusumo hydropower inatoa maji msumbiji? Jinja maji yanatoka wapi? We kenge kalale
Dogo, Hili ndilo tatizo la kukurupuka!
Your comment is completely irrelevant; yawezekana hata ulichoandika hukijuhi.
Narudia kwa mara ya mwisho.
Nimeandika kwamba, kumiliki mito mingi au maziwa mengi siyo suluhisho la kupata umeme wa kutosha, inategemea.
Kuna factors nyingi zinazoangaliwa wakati wa kujenga hydropower plants.
Moja ya factors ni kuwa na upland gradients pale HEP schemes zilipolengwa kujengwa.
Inahitajika a height difference to make the turbine work.
Hii ndiyo ilikuwa point yangu. Inawezekana ukawa layman ktk hili.
 
Tuna change kutoka kuuza na kwenda kununua
Kama pesa ipo achaa tununuwe hakuna namna hali ni mbaya kwa sasa makali ya mgao wa umeme yanazidi kuongezeka masaa kwa masaa badala ya siku kwa siku!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…