Tanzania Military Intelligence vs TISS

Tanzania Military Intelligence vs TISS

Status
Not open for further replies.
mkuu nadhani ungejaribu kufanya follow up kabla ya kuongea.. kwenye hao makomandoo wa JWTZ.. TISS wana watu wao waliowaweka. kila idara na sio za kiusalama tu zina watu wa TISS kama hujui. wanawapenyeza ili kujua kinachofanyika na kama mambo yanaenenda yanavyopaswa. wewe ndo mpiga porojo katika hili

Matege JWTZ inafanya kazi zaidi ya ushushushu, na ina kitengo chake cha ushushushu/ujasusi yaani MI hilo la kuweka mapandikizi JWTZ si ni kuichokoza JWTZ! hakuna kitu hicho.
 
Last edited by a moderator:
Kwahiyo unataka kusema TISS inafanya ushushush hadi JWTZ!!!!! dogo acha kuleta utoto wako hapa, labda ungedanganya vise versa wadau wasiojua kitu wangekuamini.

TISS iko idara zooote unazozijua wewe.. nyeti na zisizo nyeti.. alaf mi sio dogo! we huna unalolijua nadhani unaongea ushabiki tu
 
mkuu nadhani ungejaribu kufanya follow up kabla ya kuongea.. kwenye hao makomandoo wa JWTZ.. TISS wana watu wao waliowaweka. kila idara na sio za kiusalama tu zina watu wa TISS kama hujui. wanawapenyeza ili kujua kinachofanyika na kama mambo yanaenenda yanavyopaswa. wewe ndo mpiga porojo katika hili

haya bhana afisa wa TISS.ngoja tu nikuache uendelee kupiga porojo ili ufurahishe baraza.
 
kwa uelewa wangu mdogo(wenye ulewa mkubwa kama ndg Matege watanisahihisha.lol),ninavyo fahamu,baadhi ya maafisa wa jwtz toka kitengo cha MI ndio huwafundisha hawa vijana wa tiss kwenye vyuo vyao.kwa maana hiyo basi,kamwe tiss ambaye siyo MI hawezi kupandikizwa let say pale ngerengere eti awachunguze makomandoo.narudia tena kamwe hilo halipo.JWTZ hujichunguza wenyewe kupitia maafisa wao ambao ni MI na pia ni TISS.ndio mana hata mwanajeshi anapo fanya kosa la kijeshi,hakamatwi na askari polisi bali hukamatwa na askari jeshi(MP).

CC The Intelligent
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kadoda 11 umeeleza vizuri tu, labda afisa Matege hajakuelewa! Jwtz inaifahamu TISS vizuri tu kwa kuwa baadhi watumishi wake ndio wanaoisimamia au kutoa mafunzo, mfano ni Imran kombe ambaye baada ya kustaafu akahamishiwa TISS lakini ni lini iliwahi kupeleka mtu wao JWTZ(MI)? aende kufanya nini?na kwa sababu zipi? lakini sababu za msingi za MI kupelekwa TISS zipo. Ni sawa na jeshi la polisi kumpeleka kova JWTZ eti akawafundishe MP(military polisi) jinsi ya kupambana na uharifu, itakuwa kiroja kikubwa.
 
Last edited by a moderator:
kwa uelewa wangu mdogo(wenye ulewa mkubwa kama ndg Matege watanisahihisha.lol),ninavyo fahamu,baadhi ya maafisa wa jwtz toka kitengo cha MI ndio huwafundisha hawa vijana wa tiss kwenye vyuo vyao.kwa maana hiyo basi,kamwe tiss ambaye siyo MI hawezi kupandikizwa let say pale ngerengere eti awachunguze makomandoo.narudia tena kamwe hilo halipo.JWTZ hujichunguza wenyewe kupitia maafisa wao ambao ni MI na pia ni TISS.ndio mana hata mwanajeshi anapo fanya kosa la kijeshi,hakamatwi na askari polisi bali hukamatwa na askari jeshi(MP).

CC The Intelligent

you are totally completely wrong.. aliekwambia jwtz hakamatwi na Polisi ni nani?? soma sheria vizuri mkuu
 
Last edited by a moderator:
you are totally completely wrong.. aliekwambia jwtz hakamatwi na Polisi ni nani?? soma sheria vizuri mkuu

tiss officer matege,i can asure you,i'm not "totally completely" wrong.hahaha

askari polisi anamkamata mwanajeshi wa jwtz kwa kosa gani?.la kijeshi la kiraia?.
 
tiss officer matege,i can asure you,i'm not "totally completely" wrong.hahaha

askari polisi anamkamata mwanajeshi wa jwtz kwa kosa gani?.la kijeshi la kiraia?.

soma criminal procedure act CPA S 11 - 14 kuhusu power of arrest ya Police officer na S. 16 ambayo inampa mwananchi wa kawaida power of arrest. kosa la kijeshi ni habari nyingine, na mind you hakuna kosa la kiraia but we have criminal case pamoja na civil case
 
kwa uelewa wangu mdogo(wenye ulewa mkubwa kama ndg Matege watanisahihisha.lol),ninavyo fahamu,baadhi ya maafisa wa jwtz toka kitengo cha MI ndio huwafundisha hawa vijana wa tiss kwenye vyuo vyao.kwa maana hiyo basi,kamwe tiss ambaye siyo MI hawezi kupandikizwa let say pale ngerengere eti awachunguze makomandoo.narudia tena kamwe hilo halipo.JWTZ hujichunguza wenyewe kupitia maafisa wao ambao ni MI na pia ni TISS.ndio mana hata mwanajeshi anapo fanya kosa la kijeshi,hakamatwi na askari polisi bali hukamatwa na askari jeshi(MP).

CC The Intelligent

Jamani jamani jamani, nani kakwambia maafisa wa MI wanawafundisha maafisa wapya wa idara? Maafisa wa Idara ufundisha maafisa wapya ata kama huyo mwalimu alitokea jeshini kama mwalimu au mwalimu katokea MI ila akiwa ndani ya chuo cha Idara anahesabika kama mfanyakazi wa Idara na sio vinginevyo! Alafu pia kila msemacho mkumbuke nini maana ya TISS na sababu za uwepo wake then utapata jawabu ya maswali yako yote. Idara ipo kila sehemu unayoifikiria wewe, iwe jeshini, sijui komando, kwenye kila kambi iwe ya polisi au jeshi au sehemu yoyote ndani na nje ya Tanzania ambapo idara inafikiri it is worthwhile to infiltrate and penetrate for the safety of Tanzania and its people.

Hakuna limitation wapo kila sehemu na ndio maana kila siku Amani ipo ndani ya nchi, Hivi unadhani nchi nyingine hawapendi kuwa na Amani? Hii ni kutokana walishindwa ku-invest kwenye haya maswala toka mwanzo na kuweka watu muhimu wenye calibers mbalimbali kufanya hii kazi.

Pia, Siku zote uwa nawazaga tu kwamba MI ni moja ya kitengo cha Idara somehow chenye autonomy to handle its own affairs i.e. Ni kama Strategic Business Unit (SBU) ya Idara. Njia za upatikanaji wa vijana wake ni vile vile na upatikanaji wa vijana wa idara. Sometimes utakuta wote wanachunguza kitu kimoja bila kujuana for instance, Malawi au Rwanda kwa mwaka 2012 - 2013 wameagiza silaha kiasi gani na za aina gani? then wote wanakuja na analysis and conclusions tofauti zitakazotumika kwa ajili ya ulinzi wa nchi yetu, hizi analysis zinaweza zikawa sawa au zinatofautiana kutokana na intel zilizokuwa gathered na assets walizotumia.

Kuna mtu mmoja alisemaga, Every battle is won before it is ever fought na akaendelea kusema If you know the enemy and know yourself you need NOT fear the results of a hundred battles!

Kuhusu wanajeshi wakifanya makosa wanakamatwa tu hakuna aliye juu ya sheria sema baadae maamuzi yanafanywa juu ya eidha wahukumiwe kwenye court martial au mahakama ya kawaida! Pls fuatilia kesi mbali mbali za wanajeshi mfano mzuri anza na kesi ya Swetu Fundikira.

Mwisho, Pls hacheni kuitana majina ya kejeri na wale wanaoitwa hacheni jaziba just forgive and forget na endeleeni kuelimisha jamii.
 
mkuu infinite_ binafsi sijabisha kwamba tiss hawapo kila sehemu.thanks for your candid observation though.
 
Last edited by a moderator:
Kitu usichokijua utakijadili vipi? Mleta mada ni mbumbumbu kwani unalinganisha taasisi ambazo zinafanya kazi kwa kushirikiana.
 
Hivi vyombo vyote viwili tiss na jwtz vinafanya kazi kwa kutegemeana, vyote viwili vipo chini ya amiri jeshi mkuu na wakuu wote wa vyombo vya usalama ni kama unavyoona mafiga matatu moja likitoka lazima mambo yataharibika, Mi nawashangaa nyie vijana mnaobishana humu ndani cdhani kama mnafahamu kitu chochote kuhusu misingi ya ulinzi na usalama zaidi ya kupotosha wananchi
 
Hilo la kusema kwamba TISS ina agent wake hadi JWTZ bila ya JWTZ kujua halina ukweli wowote, na nitakuwa wa mwisho kukubali hivyo, labda mngesema kuwa jwtz ndio ina ma-agent wake hadi tiss. kwani kati ya jwtz na usalama wa taifa ni taasisi gani ilitangulia kuanzishwa? mimi najua kuwa nchi inaweza kutawaliwa kijeshi kwa kutumia jeshi lakini taasisi ya usalama wa taifa haiwezi kutawala nchi.

Can you really draw a dermacation between the two??!!!
Toppling is one separate issue; for reasons best known within the cycles we can not use this factor as a rulling line!!
 
Hilo la kusema kwamba TISS ina agent wake hadi JWTZ bila ya JWTZ kujua halina ukweli wowote, na nitakuwa wa mwisho kukubali hivyo, labda mngesema kuwa jwtz ndio ina ma-agent wake hadi tiss. kwani kati ya jwtz na usalama wa taifa ni taasisi gani ilitangulia kuanzishwa? mimi najua kuwa nchi inaweza kutawaliwa kijeshi kwa kutumia jeshi lakini taasisi ya usalama wa taifa haiwezi kutawala nchi.

Hakika vijana wa leo ni mambumbumbu kweli. Kama huyu.
 
Hakika vijana wa leo ni mambumbumbu kweli. Kama huyu.

Kuna faida gani kusema mtu ni mbumbumbu bila kuonesha huo umbumbumbu? kusema fulani ni mbumbumbu bila kuthibitisha huo umbumbumbu unaweza kuonekana kuwa wewe ndio mbumbumbu, naomba uthibitishe ulichosema.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom