kwa uelewa wangu mdogo(wenye ulewa mkubwa kama ndg
Matege watanisahihisha.lol),ninavyo fahamu,baadhi ya maafisa wa jwtz toka kitengo cha MI ndio huwafundisha hawa vijana wa tiss kwenye vyuo vyao.kwa maana hiyo basi,kamwe tiss ambaye siyo MI hawezi kupandikizwa let say pale ngerengere eti awachunguze makomandoo.narudia tena kamwe hilo halipo.JWTZ hujichunguza wenyewe kupitia maafisa wao ambao ni MI na pia ni TISS.ndio mana hata mwanajeshi anapo fanya kosa la kijeshi,hakamatwi na askari polisi bali hukamatwa na askari jeshi(MP).
CC
The Intelligent
Jamani jamani jamani, nani kakwambia maafisa wa MI wanawafundisha maafisa wapya wa idara? Maafisa wa Idara ufundisha maafisa wapya ata kama huyo mwalimu alitokea jeshini kama mwalimu au mwalimu katokea MI ila akiwa ndani ya chuo cha Idara anahesabika kama mfanyakazi wa Idara na sio vinginevyo! Alafu pia kila msemacho mkumbuke nini maana ya TISS na sababu za uwepo wake then utapata jawabu ya maswali yako yote. Idara ipo kila sehemu unayoifikiria wewe, iwe jeshini, sijui komando, kwenye kila kambi iwe ya polisi au jeshi au sehemu yoyote ndani na nje ya Tanzania ambapo idara inafikiri it is worthwhile to infiltrate and penetrate for the safety of Tanzania and its people.
Hakuna limitation wapo kila sehemu na ndio maana kila siku Amani ipo ndani ya nchi, Hivi unadhani nchi nyingine hawapendi kuwa na Amani? Hii ni kutokana walishindwa ku-invest kwenye haya maswala toka mwanzo na kuweka watu muhimu wenye calibers mbalimbali kufanya hii kazi.
Pia, Siku zote uwa nawazaga tu kwamba MI ni moja ya kitengo cha Idara somehow chenye autonomy to handle its own affairs i.e. Ni kama Strategic Business Unit (SBU) ya Idara. Njia za upatikanaji wa vijana wake ni vile vile na upatikanaji wa vijana wa idara. Sometimes utakuta wote wanachunguza kitu kimoja bila kujuana for instance, Malawi au Rwanda kwa mwaka 2012 - 2013 wameagiza silaha kiasi gani na za aina gani? then wote wanakuja na analysis and conclusions tofauti zitakazotumika kwa ajili ya ulinzi wa nchi yetu, hizi analysis zinaweza zikawa sawa au zinatofautiana kutokana na intel zilizokuwa gathered na assets walizotumia.
Kuna mtu mmoja alisemaga, Every battle is won before it is ever fought na akaendelea kusema If you know the enemy and know yourself you need NOT fear the results of a hundred battles!
Kuhusu wanajeshi wakifanya makosa wanakamatwa tu hakuna aliye juu ya sheria sema baadae maamuzi yanafanywa juu ya eidha wahukumiwe kwenye court martial au mahakama ya kawaida! Pls fuatilia kesi mbali mbali za wanajeshi mfano mzuri anza na kesi ya Swetu Fundikira.
Mwisho, Pls hacheni kuitana majina ya kejeri na wale wanaoitwa hacheni jaziba just forgive and forget na endeleeni kuelimisha jamii.