Tanzania mkombozi wetu wa maendeleo na uchumi ni katiba itayofata Sharia za Kiislam

sawasawa
lakini sheria yeyote inayofungama na imani au mila inahusisha miungu au Mungu, na kila iman ina Mungu au
Zote zinakuwa accommodated kwenye sharia.

Sasa hivi Tanzania tunazo zote, common lawa, canon law, sharia, na sheria za kitamafuni na kimila, kidogo kidogo ndiyo maana kuna mapungufu makubwa, na zinazidi kutudumisha kimaendeleo na kiuchumi.
 
Tuwe kama somalia,chadi, Mauritania,Oman, bila mafuta nchi zote za kiarabu zingekuwa maskini sana

Punguza ujinga

USSR

Kumbuka, hapa hatuongelei nchi, tunaongelea sharia ambayo ni mwarubaini wa matatizo yetu tuliyonayo.


Ujitaka tuongelee nchi funguwa uzi tutakuja kukujibu.

Ngoja niihamishe post yako nikakujibu kwenye uzi wake.
 
Hakuna tatizo kujadili kwa kina lililo jema kwa nchi yetu, kama sharia itatufaa na ndiyo itayotuondolea ufisadi na maadili mabovu kwanini tusiifate?
Umeambiwa utuletee mifano ya nchi zinazofuata katiba ya sharia na jinsi zilivyofanikiwa, haujaleta hata moja. Tuoneshe tushawishike kukuunga mkono.
 
Kwenye agano la kale mungu alikosea.
 
Labda WAnawake WA Iran wapate kwanza ndo ntaami i
Hapo sasa unachanganya mada, haiongelewi nchi hapa. Hapa tunaongelea sharia.

Au unaupenda ufisadi unaoendelea Tanzania miaka nenda miaka rudi?
 
Hakuna tatizo kujadili kwa kina lililo jema kwa nchi yetu, kama sharia itatufaa na ndiyo itayotuondolea ufisadi na maadili mabovu kwanini tusiifate?

..ungetoa mifano michache toka Sharia ambayo unadhani itatufaa ktk Katiba Mpya.
 
Sitaki hapa kuongelea au kujifananisha na nchi fulani, tutazame matatizo yetu tuliyonayo na tuone sharia itasaidia au haisaidii.
Khaaa! Wewe unatuletea mawazo ya kusadikika ambayo hauna hata uhakika kama yaliwahi kufanikiwa mahali popote ili tuyajaribu?

Hapa hauambiwi kulinganisha na nchi, bali tutajie mfano wa nchi iliyowahi kufanikiwa kwa namna yoyote ya matatizo yao ili walau tuanzie hapo.

Matatizo ya wanadamu karibu dunia nzima yanafanana, tofauti ni njia za kuyaendea/ kuyatatua.
 

adhabu ya kunyongwa ipo lakini viongozi hawaitekelezi na wenye dunia wanataka ifutwe,hao wanaochoma moto wanafanya makosa wanajichukulia sheria mkononi kama wakimakatwa watashitakiwa kwa kosa la mauaji.

Sharia ibakizeni huko huko kwenu uarabuni.
 
Mpaka sasa hizo sheria ndiyi zimetudumaza.

Huko USA na Uingereza wameanza kuongelea sharia na kuna sehemu kwa uchache wake sharia imeanza kutumika.

 
upo sawa FaizaFoxy? πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
Naunga mkono hoja hakuna sheria bora kama sheria ya kiislam, serikali ikihukumu according to Islam hakuna maovu ambayo yatatendeka.
Mfano; adhabu ya mlevi ni viboko arobaini (40).
Mwizi akatwe kiganja cha mkono.
 
Saudi Arabia hawana unafiki unapoomba viza kuna sheria zao uzijuwe moja ukristo Uwe nao mwenyewe tu na sio uwende na biblia yako kueneza ukristo.
Pili hiyo Marekani na Ulaya Unafikiri kuna uhuru Huo unaoufikiria wewe ? Sahau.
Ulaya mpaka Quran zinachomwa moto , jee uliisikia kitabu chochote cha dini kuchomwa moto Saudi Arabia?
 
upo sawa FaizaFoxy? πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
Nipo sawa kabisa, tena sana.

Jiulize, ikiwa waliotuletea hizi sheria zao zinazoitwa "common law" hivi sasa wanajadili na wameanza kutumia sharia, kwanini sisi tusizitumie kutatua matatizo yetu? Jisomee πŸ‘‡πŸΎ

 
mambo ya Sharia wacha ndani ya kuta nne za Masjid! hii nchi ina watu wa dini tofauti!
 
Unaweza kuwa sahihi. Lakini ingependeza kama FaizaFoxy angetoa mifano ya nchi zenye katiba inayozingatia misingi ya sharia lakini ameacha wachangiaji waelee tu. Mifano itasaidia sana kupanua mawazo.
Hapa Wana kwepa kupajibu wanapita kama hawapaoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…