Tuwe kama somalia,chadi, Mauritania,Oman, bila mafuta nchi zote za kiarabu zingekuwa maskini sana
Punguza ujinga
USSR
Wao ni copy and paste.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuwe kama somalia,chadi, Mauritania,Oman, bila mafuta nchi zote za kiarabu zingekuwa maskini sana
Punguza ujinga
USSR
Zote zinakuwa accommodated kwenye sharia.sawasawa
lakini sheria yeyote inayofungama na imani au mila inahusisha miungu au Mungu, na kila iman ina Mungu au
Tuwe kama somalia,chadi, Mauritania,Oman, bila mafuta nchi zote za kiarabu zingekuwa maskini sana
Punguza ujinga
USSR
Umeambiwa utuletee mifano ya nchi zinazofuata katiba ya sharia na jinsi zilivyofanikiwa, haujaleta hata moja. Tuoneshe tushawishike kukuunga mkono.Hakuna tatizo kujadili kwa kina lililo jema kwa nchi yetu, kama sharia itatufaa na ndiyo itayotuondolea ufisadi na maadili mabovu kwanini tusiifate?
Kwenye agano la kale mungu alikosea.Mbona Saudi Arabia wanalazimisha kuabudu?
Nionyeshe kwenye Agano Jipya sehemu inayolazimisha kuabudu, usiongee maneno matupu.
Mi na evidence za kutosha kuwa Wakristo wanateswa huko Uarabuni kwenye nchi zilizoidhinisha Sharia kuwa sheria za nchi husika. Kusoma Biblia mpaka ujifiche kwnye handaki au nyumbani, si uminywaji wa haki za binadamu kuhusu ibada?
Labda WAnawake WA Iran wapate kwanza ndo ntaami iNaam, usishangae, hakuna kitakachotuokoa zaidi ya sharia. Kila mmoja atapata haki yake bila manung'uniko.
Hakuna tatizo kujadili kwa kina lililo jema kwa nchi yetu, kama sharia itatufaa na ndiyo itayotuondolea ufisadi na maadili mabovu kwanini tusiifate?
Khaaa! Wewe unatuletea mawazo ya kusadikika ambayo hauna hata uhakika kama yaliwahi kufanikiwa mahali popote ili tuyajaribu?Sitaki hapa kuongelea au kujifananisha na nchi fulani, tutazame matatizo yetu tuliyonayo na tuone sharia itasaidia au haisaidii.
Naam psk
Ukifanya kosa la hukumu yake ukatwe shingo ukatwe shingo tu.
Mbona hivi sasa kuna ukatili zaidi ya kuchinjwa, tunaona watu wanahukumiwankunyongwa hadi wafe, wengine tunaona wanavishwa matairi wanapigwa moto na hakuna anaehukumiwa.
Sharia itayaondoa yote hayo.
Mpaka sasa hizo sheria ndiyi zimetudumaza.Kwa hiyo katiba hii ya sasa ya Tanzania inayochota sheria nyingi za kanisa zilizofundishwa pia ktk vyuo vikuu vya elimu ya juu kutoa wanasheria, mahakimu, majaji, wana psycholojia n.k imefeli nchini Tanzania.
Je kufeli kwake ni kutokana sisi kuchukua imani, mafundisho na falsafa mageni yaliyokuja kwa merikebu hivyo ni bora sasa kujaribu yale yaliyofika kwa majahazi au tuamue kuenzi mila tamaduni na elimu za busara za kiAfrika ambazo tumezipuuza na kuzitupa kama siyo kuzizika kabisa ?
Wachambuzi wa sheria za kisekula wanasema katiba na sheria nyingi za nchi mbalimbali zimechota na kukopa sheria za kanisa na kuziweka ndani ya katiba zao.
Hili si jambo geni kwani kanisa kama taasisi kongwe na kubwa ililazimu kuwa na sheria, kanuni na taratibu ili liweze kujiongoza kama taasisi na pia waumini wake .
Ilipokuja mataifa kuundwa wafalme na washauri wao walibaini umuhimu wa taifa au nchi kuwa na utaratibu wa jinsi ya kujiendesha na hivyo watu makini waliokuwa washauri wa wafalme au marais waliamua na kugundua kanisa tayari kwa karne nyingi walikuwa mbele kwa kujiundia na utaratibu wa kujiendesha na kutoa hukumu n.k n.k kuhusu masuala mbalimbali ...
Pepa ya mtanziko baina ya sheria za kidini na zile za ki-secular umefanyiwa utafiti mkubwa na wanazuoni wa University of Chicago nchini Marekani
University of Chicago
https://chicagounbound.uchicago.edu › ...PDF
Conflicts between Religious and Secular Law
by RH Helmholz · Cited by 16 — The canon law claimed the right to decide all such disputes. So did the courts of the King. The common law claimed...
upo sawa FaizaFoxy? 🙂🙂🙂Wengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.
Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia.
Sharia haijaacha kitu katika mfumo wa maisha ya mwanaadam ya kila siku, kama hatujaifuata sharia ya Mwenyezi Mungu basi tusitegemee mafanikio maisha.
Watanzania tysiopenda ufisadi, wizi na ubadhirifu tuungane na tuitake katiba yetu iwe kwa mfumo wa sharia.
Tujadiliane.
Naunga mkono hoja hakuna sheria bora kama sheria ya kiislam, serikali ikihukumu according to Islam hakuna maovu ambayo yatatendeka.Wengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.
Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia.
Sharia haijaacha kitu katika mfumo wa maisha ya mwanaadam ya kila siku, kama hatujaifuata sharia ya Mwenyezi Mungu basi tusitegemee mafanikio maisha.
Watanzania tysiopenda ufisadi, wizi na ubadhirifu tuungane na tuitake katiba yetu iwe kwa mfumo wa sharia.
Tujadiliane.
Saudi Arabia hawana unafiki unapoomba viza kuna sheria zao uzijuwe moja ukristo Uwe nao mwenyewe tu na sio uwende na biblia yako kueneza ukristo.Mbona Saudi Arabia wanalazimisha kuabudu?
Nionyeshe kwenye Agano Jipya sehemu inayolazimisha kuabudu, usiongee maneno matupu.
Mi na evidence za kutosha kuwa Wakristo wanateswa huko Uarabuni kwenye nchi zilizoidhinisha Sharia kuwa sheria za nchi husika. Kusoma Biblia mpaka ujifiche kwnye handaki au nyumbani, si uminywaji wa haki za binadamu kuhusu ibada?
Nipo sawa kabisa, tena sana.
mambo ya Sharia wacha ndani ya kuta nne za Masjid! hii nchi ina watu wa dini tofauti!Nipo sawa kabisa, tena sana.
Jiulize, ikiwa waliotuletea hizi sheria zao zinazoitwa "common law" hivi sasa wanajadili na wameanza kutumia sharia, kwanini sisi tusizitumie kutatua matatizo yetu? Jisomee 👇🏾
Free, Expert No Win No Fee Injury Compensation | claims.co.uk ™
An expert UK personal injury lawyer can help you make a no win no fee claim for compensation if you have been injured in an accident that was not your fault.www.claims.co.uk
Hapa Wana kwepa kupajibu wanapita kama hawapaoni.Unaweza kuwa sahihi. Lakini ingependeza kama FaizaFoxy angetoa mifano ya nchi zenye katiba inayozingatia misingi ya sharia lakini ameacha wachangiaji waelee tu. Mifano itasaidia sana kupanua mawazo.