Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Worst wana peleka watu Aberdeen University kwa zaidi ya miaka 10 chuo chenye kila aina ya degree ya hayo maswala you name it. Na kuna sponsored degrees za Shell inasomesha watu kibao kila mwaka kwa hela zao.EnHeee, nimeliandika hili sasa hivi hapo juu.
Ni kama laana inatuandama vile.
Kwa jinsi hii tunayokwenda nayo, sijui kama kutatokea wakati nasi tukawa watu wa kusema tuna uwezo wa kutengeneza chochote!
Mpaka leo hatuna tu hao wataalamu.
Usiku mwema.