Memento
JF-Expert Member
- Jun 13, 2021
- 4,423
- 9,986
Waziri wa nishati vs DG? . Hapa sasa ni kama tutakuwa tunapoteza muda kujadili hiliDG wa TPDC kasema tuna wataalamu kwenye eneo la gesi hasa kwenye upstream wapi nimemquote January? In fact yeye kaongelea eneo la sheria that's all so mie nimestick na alichosema Bwana Mataragio maana ndio yupo ground.
Huyu DG aliyesema tuna mafuta ya wiki then waziri akatoka hadharani na kumuwambia akanushe hiyo taarifa na DG akakanusha, Leo useme unasikiliza maelezo ya DG na sio waziri. Utani huo