Tanzania na Equinor / Shell yasaini mradi wa thamani dola bilioni 30

Tanzania na Equinor / Shell yasaini mradi wa thamani dola bilioni 30

It’s beyond any sane individual kuelewa Barrick kupewa 50% ya economic benefit.

Halafu wanasema wana trained negotiators na jamaa kwenye mazingira tunabembelezana nao wakishafanya yao.

Huku kwenye LNG labda wanadhani kuuliza ni chuki, wakati ata kwa layman tu ukiangalia approach na ukimsikiliza kiongozi wa nchi na waziri husika lugha yao kulilia mradi uanze.

Mbele giza kuonyesha tu hadharani upo desperate kwenye negotiation yeyote ni disadvantage god knows how people reasoned behind the scenes mpaka tulipofikia.
Wengi bado wana upofu, wanafurahishwa na anayofanya mama samia kwenye baadhi ya mambo(ni sawa) Ila wanayafurahia yote kwa ujumla bila kuangalia yale anayokosea.
Mradi kuwa wa $30bil ilipaswa kuwa red flag na sio kufurahia gharama ikiwa zaidi ya 75% ya pesa itaenda nje ya nchi kwenye vifaa na wataalamu.
Pili wingi wa pesa ya mradi ndio ukubwa wa muda wa mradi kurudisha pesa.
Mradi ukichukua miaka 30 kurudisha pesa na ndio kuanza kupata faida hapo tunakua tumefaidika nini? Na pengine baada ya muda huo wanaweza kudeclare hasara
 
Hii tabia ya uchawa imeharibu jamii ya watanzania vijana na wakubwa.

Anyway you get something from the outset after covering for fixed payments and royalties which include debt interest.

How much the government gets varies na mambo mengi ulipaji wa kodi (kama wamepewa special treatment, sitoshangaa baada ya kumsikiliza bi tozo Oman kuahidi kuwapa incentives wengine god knows what she meant), mwisho ni percentage ya shares tunazopata.

Ubaya ni kwamba uwezi kuona mikataba ya natural resources karibu kote duniani; sababu sio J.K, Magufuli, Samia na wala sijui kujitoa kwenye nini. It’s industry norm mikataba ya natural resources kutowekwa public wawekezaji udai kuna siri za kibiashara.

Ila kwa approach ya serikali na lugha yao lipo wazi tushaingizwa chaka.
 
Mchakato umeendeshwa haraka sana, hofu ipo hapo. Watu wanasema tu tutafaidika Ila hawasemi tunafaidika na nn
 
Mkuu bagamoyo, my biggest interest ni LNG plant inajengwa onshore or offshore?. Hapa inaonyesha ni LNG plant itajengwa onshore, ila kama nimesikia sasa ni offshore!.
Soma concern zangu toka ile 2012. Gesi asili: Is it "day light robbery?" Watanzania tunaibiwa mchana kweupe!
P

1655129663243.png

TPDC, Baker Botts sign contract on LNG negotiations​

05b764305d2afc776ee11e909c598de5

By Janeth Mesomapya
The government through the Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) has signed a contract with Baker Botts LLP, a British company, as a Consultant for the Host Government Agreement (HGA) negotiations for the Liquefied Natural Gas (LNG) project which will be implemented at Likong'o site, Lindi region.

The signing ceremony took place today, January 25, 2022 in Arusha witnessed by the Minister of Energy Hon. January Makamba, Chairman of Negotiation from the Government side, who is also the Acting Director General of the Petroleum Upstream Regulatory Authority (PURA) Engineer Charles Sangweni, government officials and stakeholders from the energy sector.

Speaking after witnessing the signing of the agreement, Minister Makamba said Baker Botts is a major legal and professional firm that specializes in providing oil and gas advice to the world's largest oil and gas companies.

"After signing this agreement, our belief is that these negotiations will move faster, more efficiently and the government will cut a deal that will be of great benefit to our country," he said.
Minister Makamba also noted that discussions on LNG between the government and project partners are progressing well and that they’re optimistic that the project will succeed while both sides agree on the need to speed up the talks with greater efficiency, expertise and vigilance.

He added that the discussions are mainly about the benefits of the project including government revenue, the ability of Tanzanians to know the sector as well as local content benefits to the indigenous throughout the project implementation period.

"This project will also help bring Tanzania to the world map of most influential countries based on the use and need of energy worldwide," he added.

He also noted that other benefits include curbing the challenge of electricity generation in the country since the project will produce enough natural gas for that purpose.

For his part, Eng. Sangweni noted that the negotiation is focused on four main areas which are legal, technical, economic and markets.

"The government is committed to implementing this project and we have been given a timeline of one year to ensure that we have reached a consensus for these discussions between the government and the project's investors," he added.

The LNG project is estimated to be worth approximately US$30 billion, with its main partners being Equinor, Shell and TPDC on behalf of the government as operators of Blocks 1, 2 and 4.
Source : PURA | TPDC, Baker Botts sign contract on LNG negotiations
 
Mchakato umeendeshwa haraka sana, hofu ipo hapo. Watu wanasema tu tutafaidika Ila hawasemi tunafaidika na nn
Kinachotisha zaidi ni huyu maza clueless kuendelea na kazi post 2025.

Tuambizane ukweli hana sifa za kuendesha nchi.
 
TPDC, Baker Botts sign contract on LNG negotiations​

By Janeth Mesomapya
The government through the Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) has signed a contract with Baker Botts LLP, a British company, as a Consultant for the Host Government Agreement (HGA) negotiations for the Liquefied Natural Gas (LNG) project which will be implemented at Likong'o site, Lindi region.
Agreement imesema LNG Site ni Likong'o, jee ndicho kilichosainiwa juzi?. Nimesikia mahali kuwa sasa the plant itajengwa offshore. Hivyo hoja hizi Gesi asili: Is it "day light robbery?" Watanzania tunaibiwa mchana kweupe! still stands!.

Watatandika mabomba toka katika platform / rigs za visima vya gesi katika bahari kuu mpaka nchi kavu kuendelea na uchakataji wa kuipoza gesi hiyo iweze kupakiwa ktk meli kwenda sokoni na pia mitambo hiyo ya nchi kavu kuchakata kwa ajili ya matumizi ya ndani.

Kubwa habari hizi wanatakiwa kuziweka wazi bayana / transparent wananchi wadau wa bahari kuu na nchi kavu wajue kila kitachofanyika, lakini naona idara za habari za kwetu HGA Host Government Agreement zina utamaduni wa kutoa habari ambazo hazijakamilika na kuzua taharuki ya maswali mengi toka kwa wenye nchi yaani raia.

Hakika wana-wa-nchi wana kila sababu na haki ya kupewa taarifa kamilifu toka vyanzo vya waliosaini HGA ambao tumewatuma sisi wananchi.
 
Agreement imesema LNG Site ni Likong'o, jee ndicho kilichosainiwa juzi?. Nimesikia mahali kuwa sasa the plant itajengwa offshore. Hivyo hoja hizi Gesi asili: Is it "day light robbery?" Watanzania tunaibiwa mchana kweupe! still stands!.
P
Offshore rigs ni kwa sababu ya shughuli za kutoa crude gas/mafuta baharini hakuna lazima rig kwenye gas (upstream)

LNG ni processing plant ya crude (inakuja na mazaga zaga mengine ambayo inabidi yatolewe kabla ya kupata gas) baada ya hapo kuibadili tena into liquid for transportation (midstream).

Usambazaji kwa retailers na majumbani (downstream).

Rigs na plant ni vitu viwili tofauti.

Alichosema waziri kuna meli ambazo ni Floating LNG plants, but still lazima utoe gas chini ya bahari sio lazima with a rig hiyo ni process nyingine.
 
Toka maktaba 2014:

29 May 2014
Paris, France

Gesi hii imetusumbua muda mrefu
Paris, Ufaransa mwaka 2014 Mh. Jakaya Kikwete rais wa Tanzania akizungumza na diaspora nchini Ufaransa

Toka maktaba

25 September 2018

Prof . Lipumba aonya kuhusu kusitishwa kwa mradi wa gesi ya Mtwara

Kufuatia kauli ya Rais Wa Tanzania John Magufuli kueleza dhamira ya serikali kuachana na mradi mkubwa wa gesi ya Mtwara uliogharimu kiasi kikubwa cha pesa, Mtaalamu wa masuala ya Uchumi na Fedha ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, ameitaja hatua hio kama uamuzi usio sahihi na unaoweza kuathiri miradi mingine mikubwa.
 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania​

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa​

Halmashauri ya Manispaa ya Songea​

IFAHAMU historia ya Mafuta na Gesi nchini Tanzania​

thumb_2241_800x420_0_0_auto.jpg
Tarehe Ya Kuwekwa: September 25th, 2018
SEKTA ya mafuta na gesi asilia ambayo iligundulika kwa mara ya kwanza hapa nchini mwaka 1974 katika kisiwa cha Songosongo mkoani Lindi,ugunduzi mwingine umefanyika Mkoa wa Mtwara mwaka 1982 eneo la Mnazibay,jumla ya gesi asilia iliyogundulika nchi kavu na baharini inafikia takriban futi za ujazo trilioni 55.08 hadi kufikia Machi 2015.

Mwandisi Mwandamizi kutoka Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini TPDC Injinia Modestus Lumato anazitaja changamoto zilizopo katika sekta ya mafuta na gesi kuwa ni pamoja na gharama kubwa ya kuchimba visima wakati wa utafiti ambapo kisima kimoja kinaweza kugharimu sh.bilioni160.

Mafuta na gesi asilia yanaweza kupatikana katika miamba tabaka (sedimentary rocks) ndiyo yenye uwezo wa kutoa mafuta au gesi ambapo hapa Tanzania maeneo hayo ni ya pwani,Mtwara,na Lindi na mabonde ya nchi kavu.Utafiti unaonesha kuwa karibu nusu ya Tanzania kuna uwezekano wa kupatikana mafuta na gesi.

Utafutaji,uhakiki,uendelezaji na uzalishaji katika mafuta unaweza kuchukua miaka mitano wakati gesi inachukua muda mrefu zaidi kwa mfano gesi ya Songosongo iligundulika mwaka 1974 lakini uzalishaji umeanza mwaka 2004.

Changamoto zinazoikabili sekta ya mafuta na gesi ni upungufu wa watalaam,utafutaji kuwa kwenye makazi ya watu kama mafuta ya Kyela,kushindwa kufanyika utafiti kwenye hifadhi za Taifa,mgogoro wa mpaka baina ya nchi mbili kama ilivyo ziwa Nyasa kwa kuwa maumbile ya gesi na mafuta yanaweza kuvuka mipaka ya nchi.

Gesi asilia inatarajia kuanza kuzalishwa na kusafirishwa mwaka 2021.Hata hivyo Gesi asilia sio rasilimali ya kudumu ikianza kuvunwa inaweza kumalizika hivyo ni vema kuanzishwa mfuko wa mapato katika rasilimali ya gesi asilia na mafuta ili iwe na faida kwa kizazi cha sasa na kijacho

Rasilimali za madini,gesi na mafuta kadri zinavyoendelea kuchimbwa ndivyo zinazidi kupungua na hatimaye siku moja zitamalizika na kuacha ardhi ikiwa na mashimo hivyo ni vema serikali kuwa na sheria bora ya gesi asilia ambayo itazingatia kuwanufaisha watanzania wa leo na kesho.

Nchi inaweza kushindwa kunufaika na rasilimali hiyo,endapo usimamizi madhubuti hautafanyika kuanzia hatua za awali za kufanyika tathmini ya mazingira yaani Environmental Impact Assessment (EIA) ambayo ni muhimu kufanyika kabla ya mradi mkubwa kuanza hivyo wananchi wanatakiwa kushirishwa kikamilifu kuepusha athari za kimazingira endapo mradi unazidi faida au hasara.

Sheria mama ya ardhi inaelekeza EIA inatakiwa kufanyika katika hatua zote kwa kuwashirikisha wananchi na ripoti kuandikwa kwa lugha rahisi pia kuepuka kutoa makabulasha ambayo mwananchi wa kawaida anashindwa kusoma na kuelewa,mchakato mzima wa EIA ni lazima uzingatie kanuni na miongozo yote ili wananchi watambue manufaa watakayopata katika mradi huo pia kama mradi una madhara.

Changamoto nyingine zilizopo katika sekta gesi asilia na mafuta ni Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini (TPDC) kuwa ni Taasisi dhaifu nchini ya kusimamia gesi na mafuta kwa kuwa haina mtaji na mikataba kwa mujibu wa sheria ya mafuta ya mwaka 1980,Waziri wa Nishati na Madini ndiye amepewa mamlaka ya kusaini mikataba yote na TPDC kazi yake ni kusimamia na kutoa leseni za utafutaji wa mafuta na gesi asilia.

Changamoto nyingine ni sheria ya madini ambayo inasema kuwa kampuni zote za utafutaji na uchimbaji zinapofika Tanzania kutoka nje zinatakiwa kuwa za kitanzania,lakini ukitokea mgogoro kampuni inakwenda kusuluhisha mgogoro nje ya nchi ikidai kuwa sio kampuni ya Tanzania.

Sheria ya madini ya mwaka 2010 inatoa mwanya wa kupokea rushwa kwa waziri husika kutoka kwa mwekezaji,nadhani TPDC ingepewa meno ya kufanyakazi moja kwa moja badala ya waziri.

Pesa ambazo zitokana na sekta ya gesi asilia na mafuta zinatakiwa kuwekwa katika mfuko maalum kama inavyofanyika katika nchi zilizofanikiwa kwenye sekta hiyo mfano Norway na Botswana ambazo zina mifuko huru ya fedha zinazotokana na sekta hizo.

Bila kuundwa kwa mifuko huru ya kusimamia mapato,ina maana kuwa fedha zinazopatikana katika sekta hizo endapo zote zitaingizwa katika matumizi zinaweza kuvuruga uchumi na baada ya miaka michache nchi inaweza kuwa na hali mbaya kiuchumi.

Mapato ya pesa itakayotokana na gesi asilia na mafuta inatakiwa kuingizwa kwenye uchumi kidogo kidogo ili kunufaisha kizazi cha sasa na kijacho kwa kuwa mwanzoni iwapo pesa zitatumika zote katika bajeti ya serikali nchi itaonekana inakwenda vizuri kiuchumi lakini miaka michache nchi itaanguka kiuchumi kwa kuwa rasilimali hizo zinakwisha.

Hata hivyo sekta ya madini,gesi asilia na mafuta ili iweze kuleta faida na maendeleo dumivu katika nchi ni lazima mfuko huo kuongozwa katika misingi ya ujuzi chini ya Bodi huru ambayo haitaingiliwa na wanasiasa mfano nchi ya Botswana ina mifuko huru mitano ambayo ina fedha za elimu,afya,huduma za jamii, barabara, mazingira na inafanya kazi bila kuingiliwa na wanasiasa au dola.

Source : IFAHAMU historia ya Mafuta na Gesi nchini Tanzania
 
Mradi wa trillion 2, lakini hadi sasa ni miaka 9 bado haijarudi? Si ndio?
Trillion 70 itachukua miaka mingapi?
Hiyo trillion 2 ume factor in gharama za exploration na operating costs? Hivi Mradi wa Trillion 70 unadhani tutategemea mapato direct? Ajira, multiplier effect ya service companies, Soko la hisa kuchangamka, bandari kuwa busy, airport, cross selling utalii na investment zingine kwenye blue economy, technology spillover etc hizo zote hauoni faida mpaka tusubiri payback period???
 
Ndio maana ukaambiwa kwenye gesi hujui kitu. Sasa ulikuwa unasifia nini na wakati hujui?
Yani hata details ndogo sana na kufanya comparison kupata reflection huwezi tiyari ushakimbilia kusifia. Alafu msomi mmoja pale UDSM mwenye alama za juu ila kazi kusifia wakati hujui unasifia nini
Watu huwa wanakimbilia kusifia vitu wasivyovijua. Oil and gas ni professional za watu, sio eti sababu wewe ni maarufu basi unajua kila kitu.
 
Nakubaliana na wewe kwenye ya juu hapo Ila kusema jpm aliweka precedence mbovu nakataa kwa kuwa hata kabla yake mikataba haikuwa wazi na pia mama samia ameonyesha kurekebisha makosa yaliyofanywa na jpm kwa nn sasa kwenye hili useme iliwekwa precedence mbovu?(japo sio kweli)
Precedence mbovu sababu Sheria ilitungwa akiwa anakaribia kuingia madarakani Tanzania Extractive Industries (Transparency and Accountability) Bill 2015!! so utekelezaji ulipaswa uanze 2016 ila JPM akapiga pini ikabaki story tu na hakuna ripoti ya ukaguzi TEITI imewahi somwa bungeni Wala mikataba kuletwa bungeni alafu tukiibiwa makinikia wanaanza kutuhadaa kwamba tulichezewa whilst ripoti zilikuwepo na maelekezo ya kuweka wazi mikataba yapo!!

Sasa hapa utamlaumu nani? JK anahusikaje na hii Sheria wakuu?
 
Nilikua nimekupa like, Ila baada ya kusoma hadi mwisho nikaitoa. Samahani
Kuhusu wataalamu wala hatuna wengi kama unavyosema, na Hilo linasemwa na haohao viongozi wa serikali kila mara. Makamba alisema kuhusu kuwapa tender kampuni ya nje kwenye negotiation sababu ndani hatuna wataalamu
DG wa TPDC kasema tuna wataalamu kwenye eneo la gesi hasa kwenye upstream wapi nimemquote January? In fact yeye kaongelea eneo la sheria that's all so mie nimestick na alichosema Bwana Mataragio maana ndio yupo ground.
 
Agreement imesema LNG Site ni Likong'o, jee ndicho kilichosainiwa juzi?. Nimesikia mahali kuwa sasa the plant itajengwa offshore. Hivyo hoja hizi Gesi asili: Is it "day light robbery?" Watanzania tunaibiwa mchana kweupe! still stands!.
P
LNG lazima ijengwe onshore. Kuna pipes zitatoka bahari kuu sehemu vilivyopo visima mpaka kwenye mtambo wa lng ambao upo onshore. Hapo ni umbali kama wa km 200 hivi. Kwenye huu mtambo sasa gesi itabadilishwa kutoka kwenye mvuke na kuwa kimininika. Hii ndio maana halisi ya LNG yaani Liquified Natural Gas (LNG). Ukitaka kujenga offhore unaweza pia, ila itaitwa FLNG kwa maana ya FLOATING LIQUIFIED NATURAL GAS. Hii FLNG ni meli special zinajengwa na kuelea sehem ya visima vya gesi na kufanya kazi ya kubadilisha gesi kuwa kimiminika
 
Precedence mbovu sababu Sheria ilitungwa akiwa anakaribia kuingia madarakani Tanzania Extractive Industries (Transparency and Accountability) Bill 2015!! so utekelezaji ulipaswa uanze 2016 ila JPM akapiga pini ikabaki story tu na hakuna ripoti ya ukaguzi TEITI imewahi somwa bungeni Wala mikataba kuletwa bungeni alafu tukiibiwa makinikia wanaanza kutuhadaa kwamba tulichezewa whilst ripoti zilikuwepo na maelekezo ya kuweka wazi mikataba yapo!!

Sasa hapa utamlaumu nani? JK anahusikaje na hii Sheria wakuu?
Ukisikia maajabu ndio haya sasa Tanzania imekubaliana na EITI(TEITI) tokea 2009, we unaleta story za 2015
Baada ya Tz kuingia EITI hiyo 2009 ni mkataba gani uliwahi kuwekwa wazi?
 
Back
Top Bottom