Tanzania na nchi za Afrika zilizojaa wakristo zina uhuru wa imani, Nchi za kiislam zinanyanyasa wakristo, Penye wakristo wengi pana amani ya imani

Nimeishi na kutembelea mikoa mbalimbali hakuna sehemu ina wakristo tu au useme wapo wengi sana kuliko wengine,kweli idadi inapishana sehemu na seheme lakini kwa ujumla huwezi Wakristo ni wengi kuliko Waislamu Tanzania hii.
Ninapo ishi hakuna msikiti Wala mbusu jiwe
 
Ujinga umekuzidi na udini.
Ethiopia kuna vita dini ipi kubwa?Rwanda waliuana kwenye mauaji ya kimbari (milioni wakachinjwa) tena amri zikitokea kanisani.
Central Africa Republic waislamu wanauawa mpaka sasa unafikiri nani wauaji?
Lord Resistance Army ya Uganda ni dini gani?
Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo wanauana hivi sasa dini ipi kubwa?
Somalia wanapigana na dini ipi nyingine?
Logic yako na ufahamu wako wa mambo ya dunia ni mdogo sana.
Vita zote duniani ni vita za maslahi.Ndio maana USA wanajidai kuhubiri amani huku wao ndio wamefanya mauaji ya kutisha duniani.Kuanzia Hiroshima Japan, Vietnam,Afghanistan,Iraq.
Hivi Russia amevamia Ukraine na wanauana ni wa dini gani?
Unajua historia?Vita ya Crusaders ilikuwa ni vita vya nini?Waliokuwa wakivamia na kulazimisha watu kwenye dini walikuwa dini gani?
A pot calling a kettle black.
 
Toa propaganda zako hapo,

Ethiopia ni civil war sio vita ya kidini, ethiopia ni taifa la kikristo, wanapigana vita za kikanda

Rwanda ni civil war sio vita ya kidini, wahutu na watutsi ni wakristo, wanapigana tangu zamani vita za kikabila

Cental african republic ni civil war sio vita ya kidini, waasi dhidi ya serikali

Somalia kuna vita vya wao kwa wao lakini pia kuna unyanyasaji na mauaji wa wakristo

Marekani ni nchi inayojali imani zingine ndio maana hata waislam wanakimbia nchi zao za kiislam zenye sheria kandamizi kwenda Marekani

Vita ya Russia na Ukraine ni ya mipaka sio dini, Putin na Zelenskyy wote wakristo na nchi zao zimejaa wakristo

Hao lords resistance army walikuwa na ajenda zao, ndio maana hata makanisa yalikuwa mstari wa mbele kuwakemea, hata uganda wenyewe pamoja na kuwa na wakristo wengi walionekana ni magaidi,

Vita pekee hapo ya kidini ni crusaders ya miaka takribani 1000 iliyopita
 
Shida ya watoto wa mwamedi ni ile kujiona wao ni bora kuliko binadamu wengine kwa sababu ya dini yao na ile hali ya kutaka watu wasio wa dini yao wafuate matakwa yao hata kama ni kwa lazima lakini kibaya zaidi wanafundishwa hivyo tangu wakiwa watoto hadi uzee wao
 
Hii ndo ilisabanisha baba "YAO" akafukuzwa....
 
Ukristo ni USTAARABU, uislamu ni Uchawi.
 
 

Attachments

  • Zanzibar.mp4
    3.4 MB
hakuwezi kuwa na amani kama sheria zinakuwa za imani moja wakati kuna imani nyingi
Zanzibar,Tanga, Bagamoyo, Singida, Tabora, Kigoma.. Hii mikoa Shetani katamalaki sababu ya Uislamu.. uchawi tu haiendelei...
 
UKristo ndo maisha maana ukitaja tu YESU hata Kama mgonjwa unapona sasa waislamu watwambie Ni wapi mungu wao alitamkwa akaponya magonjwa n.k
 
Ulipoitaja Zanzibar, nimekubaliana nawe kabisa. Aisee wale jamaa Wana Roho ya kwanini! Ni wabaguzi hakuna mfano.

Hiki kisiwa washukuru sana huu Muungano. Wangesha mwaga damu ya kutosha.
Mzanzibar πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜
 
I am sure mimi ni mkristo mzuri kuliko wewe mtoa mada ila nashauri uzi kama hizi hazifai.

Hizi hazijengi zinabomoa kabisa!
you are very right, baada ya kutafuta mada nyingine kile siku humu ni wakristo, waislamu,,,,, hebu wacheni tena tumechoka na hizi mada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…