Tanzania na nchi za Afrika zilizojaa wakristo zina uhuru wa imani, Nchi za kiislam zinanyanyasa wakristo, Penye wakristo wengi pana amani ya imani

Nimeishi na kutembelea mikoa mbalimbali hakuna sehemu ina wakristo tu au useme wapo wengi sana kuliko wengine,kweli idadi inapishana sehemu na seheme lakini kwa ujumla huwezi Wakristo ni wengi kuliko Waislamu Tanzania hii.
Ninapo ishi hakuna msikiti Wala mbusu jiwe
 
Na sababu kubwa ni kwamba Uislam sio dini tu, upande mwengine ni mfumo wa kisiasa !! Nchi ikishajaa waislam basi uislam unaingia kwenye sheria za nchi zifatwe hata kwa wasio waislam, idadi ya waislam huongezeka kwa kasi ya ajabu sababu imani zingine hupitia manyanyaso makali, vitisho mpaka mauaji (rejea Nchi nyingi za kiislam) hivyo hulazimika kubadili dini.

Nchi kama Ghana, Tanzania, Kenya, Zambia, Rwanda, Uganda, Zaimbabwe, Botswana, Namibia, n.k. zinasifika kwa amani na ukiangalia kitu kinachochangia zaidi ni kwamba nchi hizi ni secular counries zina sheria za usawa kwa dini zote.

Nchi ya Senegal imejaa waislam ila kuna amani, unajua kwanini ? asilimia 97% ni wasilam lakini wamekataa uislam kuingia kwenye siasa za nchi, hakuna ukandamizaji wa dini zingine, wakristo wanaabudu kwa uhuru, waislam wanasherekea nao christmas, wakristo wana uhuru wa kujenga makanisa, waislam wana uhuru wa kubadili dini kuwa wakristo, kwenye Ramadhan wakristo wanaweza kula hadharani, ni kawaida wakristo wanapewa vyeo, n.k. Nchi inaongozwa kwa sheria zinazojali imani tofauti.

Ukienda nchi kama Algeria, Misri, Nigeria, Somalia, Sudan, Eritrea, Libya, n.k. unakuta kuna waislam wengi tayari uislam unakuwa umeiingizwa kwenye mfumo wa siasa, kunakuwa hakuna uvumilvu wa imani zingine, nchi hizi wakristo hubaguliwa, hunyanyaswa, kuuliwa, n.k.

Hata hapo kwa majirani zetu Zanzibar japo tupo kwenye muungano wakristo hawana uhuru sababu serikali imejaa waislam, ikifika Ramadhan utalazimishwa kufuata sheria za kidini kwa kivuli cha utamaduni, kupewa kibali cha kujenga kanisa utapigwa chenga nyingi, makanisa yanabomolewa, n.k. iliibidi muungano upunguze makali haya kwa kupachika wakristo hata wa bara kwenye nafasi mbali mbali kama wazanzibar wanavyopewa kazi na vyeo vya serikali ya muungano huku bara.
Ujinga umekuzidi na udini.
Ethiopia kuna vita dini ipi kubwa?Rwanda waliuana kwenye mauaji ya kimbari (milioni wakachinjwa) tena amri zikitokea kanisani.
Central Africa Republic waislamu wanauawa mpaka sasa unafikiri nani wauaji?
Lord Resistance Army ya Uganda ni dini gani?
Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo wanauana hivi sasa dini ipi kubwa?
Somalia wanapigana na dini ipi nyingine?
Logic yako na ufahamu wako wa mambo ya dunia ni mdogo sana.
Vita zote duniani ni vita za maslahi.Ndio maana USA wanajidai kuhubiri amani huku wao ndio wamefanya mauaji ya kutisha duniani.Kuanzia Hiroshima Japan, Vietnam,Afghanistan,Iraq.
Hivi Russia amevamia Ukraine na wanauana ni wa dini gani?
Unajua historia?Vita ya Crusaders ilikuwa ni vita vya nini?Waliokuwa wakivamia na kulazimisha watu kwenye dini walikuwa dini gani?
A pot calling a kettle black.
 
Toa propaganda zako hapo,

Ethiopia ni civil war sio vita ya kidini, ethiopia ni taifa la kikristo, wanapigana vita za kikanda

Rwanda ni civil war sio vita ya kidini, wahutu na watutsi ni wakristo, wanapigana tangu zamani vita za kikabila

Cental african republic ni civil war sio vita ya kidini, waasi dhidi ya serikali

Somalia kuna vita vya wao kwa wao lakini pia kuna unyanyasaji na mauaji wa wakristo

Marekani ni nchi inayojali imani zingine ndio maana hata waislam wanakimbia nchi zao za kiislam zenye sheria kandamizi kwenda Marekani

Vita ya Russia na Ukraine ni ya mipaka sio dini, Putin na Zelenskyy wote wakristo na nchi zao zimejaa wakristo

Hao lords resistance army walikuwa na ajenda zao, ndio maana hata makanisa yalikuwa mstari wa mbele kuwakemea, hata uganda wenyewe pamoja na kuwa na wakristo wengi walionekana ni magaidi,

Vita pekee hapo ya kidini ni crusaders ya miaka takribani 1000 iliyopita
 
Shida ya watoto wa mwamedi ni ile kujiona wao ni bora kuliko binadamu wengine kwa sababu ya dini yao na ile hali ya kutaka watu wasio wa dini yao wafuate matakwa yao hata kama ni kwa lazima lakini kibaya zaidi wanafundishwa hivyo tangu wakiwa watoto hadi uzee wao
 
Na sababu kubwa ni kwamba Uislam sio dini tu, upande mwengine ni mfumo wa kisiasa !! Nchi ikishajaa waislam basi uislam unaingia kwenye sheria za nchi zifatwe hata kwa wasio waislam, idadi ya waislam huongezeka kwa kasi ya ajabu sababu imani zingine hupitia manyanyaso makali, vitisho mpaka mauaji (rejea Nchi nyingi za kiislam) hivyo hulazimika kubadili dini.

Nchi kama Ghana, Tanzania, Kenya, Zambia, Rwanda, Uganda, Zaimbabwe, Botswana, Namibia, n.k. zinasifika kwa amani na ukiangalia kitu kinachochangia zaidi ni kwamba nchi hizi ni secular counries zina sheria za usawa kwa dini zote. na hata ukienda nchi zenye vita ila kuna wakristo wengi kama Congo, bado kuna uhuru wa imani, waislam hawanyanyaswi.

Nchi ya Senegal imejaa waislam ila kuna amani, unajua kwanini ? asilimia 97% ni wasilam lakini wamekataa uislam kuingia kwenye siasa za nchi, hakuna ukandamizaji wa dini zingine, wakristo wanaabudu kwa uhuru, waislam wanasherekea nao christmas, wakristo wana uhuru wa kujenga makanisa, waislam wana uhuru wa kubadili dini kuwa wakristo, kwenye Ramadhan wakristo wanaweza kula hadharani, ni kawaida wakristo wanapewa vyeo, n.k. Nchi inaongozwa kwa sheria zinazojali imani tofauti.

Ukienda nchi kama Algeria, Misri, Nigeria, Somalia, Sudan, Eritrea, Libya, n.k. unakuta kuna waislam wengi tayari uislam unakuwa umeiingizwa kwenye mfumo wa siasa, kunakuwa hakuna uvumilvu wa imani zingine, nchi hizi wakristo hubaguliwa, hunyanyaswa, kuuliwa, n.k.

Hata hapo kwa majirani zetu Zanzibar japo tupo kwenye muungano wakristo hawana uhuru sababu serikali imeingiza siasa za kiislam, ikifika Ramadhan utalazimishwa kufuata sheria za kidini kwa kivuli cha utamaduni, kupewa kibali cha kujenga kanisa utapigwa chenga nyingi, makanisa yanabomolewa, n.k. iliibidi muungano upunguze makali haya kwa kupachika wakristo hata wa bara kwenye nafasi mbali mbali kama wazanzibar wanavyopewa kazi na vyeo vya serikali ya muungano huku bara.
Hii ndo ilisabanisha baba "YAO" akafukuzwa....
 
Ukristo ni USTAARABU, uislamu ni Uchawi.
 
Shida ya watoto wa mwamedi ni ile kujiona wao ni bora kuliko binadamu wengine kwa sababu ya dini yao na ile hali ya kutaka watu wasio wa dini yao wafuate matakwa yao hata kama ni kwa lazima lakini kibaya zaidi wanafundishwa hivyo tangu wakiwa watoto hadi uzee wao
 
Attachments

  • Zanzibar.mp4
    3.4 MB
hakuwezi kuwa na amani kama sheria zinakuwa za imani moja wakati kuna imani nyingi
Zanzibar,Tanga, Bagamoyo, Singida, Tabora, Kigoma.. Hii mikoa Shetani katamalaki sababu ya Uislamu.. uchawi tu haiendelei...
 
UKristo ndo maisha maana ukitaja tu YESU hata Kama mgonjwa unapona sasa waislamu watwambie Ni wapi mungu wao alitamkwa akaponya magonjwa n.k
 
Back
Top Bottom