Watu kama nyie ambao mnajifanya kuwa Muslims ni wengi ndio huwa nawatafuta.haya lete takwimu.Tanzania kati ya Wakristo na Waislamu hakuna wakujidai kwamba wao ndiyo wengi kushinda wenzake,wakristo wamekuwa wakitengeneza mazingira ionekane Tanzania ni nchi ya Kikristo, mshindwe.
Umefika Singida?Watu kama nyie ambao mnajifanya kuwa Muslims ni wengi ndio huwa nawatafuta.haya lete takwimu.
Hivi hata kwa akili ya kawaida kabisa lila mtaa una kanisa ni wapi kila mtaa kuna mskiti?
Mikoa yenye Waislma wengi kuliko Wakristo kwa Tanzania ni 4 katika Mikoa 26 ya Tanzania bara ,Pwani,Tanga,Lindi & Mtwara.
Ukiondoa hiyo Mikoa ni Mkoa upi una Muslims wengi kuliko hiyo?
2.robo y population yote ya Tanzania ipo kanda ya ziwa kwa maana ya Shinyanga,Geita,Mwanza,Kagera,Simiyu na Mara-katika hiyo Mikoa hakuna Mkoa hata mmoja una robo ya waislam katika population ya Mkoa.
Niliisahau,but bado ni wachacheUmefika Singida?
Achaneni na hizi mada. Hazina mwisho mzuri
Ni dini nzuri tu pale inapoheshimu dini zingine, Mfano mzuri ni nchi ya Senegal kuna waislam wengi sana lakini hawajaruhusu dini iingie kwenye sheria za nchi,Uislamu ni laana, muislamu yeyote yule amelaaniwa
Kijana,umeanza kuchokonoa mambo ya muungano,umesahau tumebaki na kero 3 tuNa sababu kubwa ni kwamba Uislam sio dini tu, upande mwengine ni mfumo wa kisiasa !! Nchi ikishajaa waislam basi uislam unaingia kwenye sheria za nchi zifatwe hata kwa wasio waislam, idadi ya waislam huongezeka kwa kasi ya ajabu sababu imani zingine hupitia manyanyaso makali, vitisho mpaka mauaji (rejea Nchi nyingi za kiislam) hivyo hulazimika kubadili dini.
Nchi kama Ghana, Tanzania, Kenya, Zambia, Rwanda, Uganda, Zaimbabwe, Botswana, Namibia, n.k. zinasifika kwa amani na ukiangalia kitu kinachochangia zaidi ni kwamba nchi hizi ni secular counries zina sheria za usawa kwa dini zote. na hata ukienda nchi zenye vita ila kuna wakristo wengi kama Congo, bado kuna uhuru wa imani, waislam hawanyanyaswi.
Nchi ya Senegal imejaa waislam ila kuna amani, unajua kwanini ? asilimia 97% ni wasilam lakini wamekataa uislam kuingia kwenye siasa za nchi, hakuna ukandamizaji wa dini zingine, wakristo wanaabudu kwa uhuru, waislam wanasherekea nao christmas, wakristo wana uhuru wa kujenga makanisa, waislam wana uhuru wa kubadili dini kuwa wakristo, kwenye Ramadhan wakristo wanaweza kula hadharani, ni kawaida wakristo wanapewa vyeo, n.k. Nchi inaongozwa kwa sheria zinazojali imani tofauti.
Ukienda nchi kama Algeria, Misri, Nigeria, Somalia, Sudan, Eritrea, Libya, n.k. unakuta kuna waislam wengi tayari uislam unakuwa umeiingizwa kwenye mfumo wa siasa, kunakuwa hakuna uvumilvu wa imani zingine, nchi hizi wakristo hubaguliwa, hunyanyaswa, kuuliwa, n.k.
Hata hapo kwa majirani zetu Zanzibar japo tupo kwenye muungano wakristo hawana uhuru sababu serikali imeingiza siasa za kiislam, ikifika Ramadhan utalazimishwa kufuata sheria za kidini kwa kivuli cha utamaduni, kupewa kibali cha kujenga kanisa utapigwa chenga nyingi, makanisa yanabomolewa, n.k. iliibidi muungano upunguze makali haya kwa kupachika wakristo hata wa bara kwenye nafasi mbali mbali kama wazanzibar wanavyopewa kazi na vyeo vya serikali ya muungano huku bara.
Sio utamaliza siku hujaona hijabu,, utamaliza mwaka hujaiona hijabuWe wapwani bira shaka! Embu sogea mikoa mingine yaani utamaliza siku ujaona ijabu.
Nioneshe kwanza mahali nilipoandika waislamu au wakristo ndiyo wengi halafu tuendelee.Watu kama nyie ambao mnajifanya kuwa Muslims ni wengi ndio huwa nawatafuta.haya lete takwimu.
Hivi hata kwa akili ya kawaida kabisa lila mtaa una kanisa ni wapi kila mtaa kuna mskiti?
Mikoa yenye Waislma wengi kuliko Wakristo kwa Tanzania ni 6 katika Mikoa 26 ya Tanzania bara ,Pwani,Tanga,Lindi,Singida, Tabora & Mtwara.
Ukiondoa hiyo Mikoa ni Mkoa upi una Muslims wengi kuliko hiyo?
2.robo y population yote ya Tanzania ipo kanda ya ziwa kwa maana ya Shinyanga,Geita,Mwanza,Kagera,Simiyu na Mara-katika hiyo Mikoa hakuna Mkoa hata mmoja una robo ya waislam katika population ya Mkoa.
Wilaya nyingi za maeneo mengi ya vijijini umwambia mtu msikiti anakuuliza ndio nini?R
Siyo ijabu tu! Mpaka misikiti akuna.
Kuna kitu kinaitwa statistics,
Makabila yanayoongoza kwa watu wengi Tanzania yamejaa wakristo >> ni clear evidence kwamba wakristo ni wengi labda uwe ulikuwa unatoroka shuleni huzijui statistics
Wasukuma
Wachaga
Wanyakyusa
wamasai
Wanyaturu
Wangoni
Wagogo
Wahehe
wahaya
MUHIMU: Tanzania ni ya Watanzania bila kujali dini
Wafundishwe na kula noahMama Samia anajitahidi kuwaketa waislamu wengi ajira serikalini Tanzania bara Kwa kupitia Muungano anawaleta wengi sana apewe hata miaka 10 hao wanaojazana bara uzanzibari na utamaduni wa mzànzibari utakufa kifo Cha mende weyewe sababu wanaletwa bara kwenye wakristo wengi
Sio lazima wakristo wengi wapelekwe Zanzibar kuke wengi waislamu inatakiwa waislamu wengi wa Zanzibar Waletwe bara hao ndio watakuwa chachu ya mabadiliko Zanzibar
Wakirudi kwao Mila na utamaduni wa mzànzibari havitakuwa na maana yoyote kwao
Usituzingizie sisi atutoagi ajira mfano upo kwa mo na bakhressa angalia wafanyakazi wake ndo uje na hoja.NIMEONA HUMU WAKIRISTO WANALALAMA KUWA WAISLAMU NI WABAGUZI. ILA KIUHALISIA WAKIRISTO NI WABINAFSI NA WABAGUZI KWENYE AJIRA ! WAKIWA WASAHILI NI WAKIRISTO ASILIMIA ZOTE HUWA WANAWEKANA WAO KWA WAO HATA KAMA HAWAKUOMBA WATAPIGIANA SIMU! WAGALATIA KWENYE UBAGUZI NIMEWAVULIA KOFIA ,MNATISHA WAZEE WANGU
We jamaa ni punguani?????Usituzingizie sisi atutoagi ajira mfano upo kwa mo na bakhressa angalia wafanyakazi wake ndo uje na hoja.
We jamaa ni punguani?????