Tanzania na nchi za Afrika zilizojaa wakristo zina uhuru wa imani, Nchi za kiislam zinanyanyasa wakristo, Penye wakristo wengi pana amani ya imani

Tanzania na nchi za Afrika zilizojaa wakristo zina uhuru wa imani, Nchi za kiislam zinanyanyasa wakristo, Penye wakristo wengi pana amani ya imani

20240527_113054.jpg
 
Tanzania kati ya Wakristo na Waislamu hakuna wakujidai kwamba wao ndiyo wengi kushinda wenzake,wakristo wamekuwa wakitengeneza mazingira ionekane Tanzania ni nchi ya Kikristo, mshindwe.
Watu kama nyie ambao mnajifanya kuwa Muslims ni wengi ndio huwa nawatafuta.haya lete takwimu.
Hivi hata kwa akili ya kawaida kabisa lila mtaa una kanisa ni wapi kila mtaa kuna mskiti?
Mikoa yenye Waislma wengi kuliko Wakristo kwa Tanzania ni 6 katika Mikoa 26 ya Tanzania bara ,Pwani,Tanga,Lindi,Singida, Tabora & Mtwara.
Ukiondoa hiyo Mikoa ni Mkoa upi una Muslims wengi kuliko hiyo?

2.robo y population yote ya Tanzania ipo kanda ya ziwa kwa maana ya Shinyanga,Geita,Mwanza,Kagera,Simiyu na Mara-katika hiyo Mikoa hakuna Mkoa hata mmoja una robo ya waislam katika population ya Mkoa.
 
Watu kama nyie ambao mnajifanya kuwa Muslims ni wengi ndio huwa nawatafuta.haya lete takwimu.
Hivi hata kwa akili ya kawaida kabisa lila mtaa una kanisa ni wapi kila mtaa kuna mskiti?
Mikoa yenye Waislma wengi kuliko Wakristo kwa Tanzania ni 4 katika Mikoa 26 ya Tanzania bara ,Pwani,Tanga,Lindi & Mtwara.
Ukiondoa hiyo Mikoa ni Mkoa upi una Muslims wengi kuliko hiyo?

2.robo y population yote ya Tanzania ipo kanda ya ziwa kwa maana ya Shinyanga,Geita,Mwanza,Kagera,Simiyu na Mara-katika hiyo Mikoa hakuna Mkoa hata mmoja una robo ya waislam katika population ya Mkoa.
Umefika Singida?

Achaneni na hizi mada. Hazina mwisho mzuri
 
Na sababu kubwa ni kwamba Uislam sio dini tu, upande mwengine ni mfumo wa kisiasa !! Nchi ikishajaa waislam basi uislam unaingia kwenye sheria za nchi zifatwe hata kwa wasio waislam, idadi ya waislam huongezeka kwa kasi ya ajabu sababu imani zingine hupitia manyanyaso makali, vitisho mpaka mauaji (rejea Nchi nyingi za kiislam) hivyo hulazimika kubadili dini.

Nchi kama Ghana, Tanzania, Kenya, Zambia, Rwanda, Uganda, Zaimbabwe, Botswana, Namibia, n.k. zinasifika kwa amani na ukiangalia kitu kinachochangia zaidi ni kwamba nchi hizi ni secular counries zina sheria za usawa kwa dini zote. na hata ukienda nchi zenye vita ila kuna wakristo wengi kama Congo, bado kuna uhuru wa imani, waislam hawanyanyaswi.

Nchi ya Senegal imejaa waislam ila kuna amani, unajua kwanini ? asilimia 97% ni wasilam lakini wamekataa uislam kuingia kwenye siasa za nchi, hakuna ukandamizaji wa dini zingine, wakristo wanaabudu kwa uhuru, waislam wanasherekea nao christmas, wakristo wana uhuru wa kujenga makanisa, waislam wana uhuru wa kubadili dini kuwa wakristo, kwenye Ramadhan wakristo wanaweza kula hadharani, ni kawaida wakristo wanapewa vyeo, n.k. Nchi inaongozwa kwa sheria zinazojali imani tofauti.

Ukienda nchi kama Algeria, Misri, Nigeria, Somalia, Sudan, Eritrea, Libya, n.k. unakuta kuna waislam wengi tayari uislam unakuwa umeiingizwa kwenye mfumo wa siasa, kunakuwa hakuna uvumilvu wa imani zingine, nchi hizi wakristo hubaguliwa, hunyanyaswa, kuuliwa, n.k.

Hata hapo kwa majirani zetu Zanzibar japo tupo kwenye muungano wakristo hawana uhuru sababu serikali imeingiza siasa za kiislam, ikifika Ramadhan utalazimishwa kufuata sheria za kidini kwa kivuli cha utamaduni, kupewa kibali cha kujenga kanisa utapigwa chenga nyingi, makanisa yanabomolewa, n.k. iliibidi muungano upunguze makali haya kwa kupachika wakristo hata wa bara kwenye nafasi mbali mbali kama wazanzibar wanavyopewa kazi na vyeo vya serikali ya muungano huku bara.
Kijana,umeanza kuchokonoa mambo ya muungano,umesahau tumebaki na kero 3 tu
 
Watu kama nyie ambao mnajifanya kuwa Muslims ni wengi ndio huwa nawatafuta.haya lete takwimu.
Hivi hata kwa akili ya kawaida kabisa lila mtaa una kanisa ni wapi kila mtaa kuna mskiti?
Mikoa yenye Waislma wengi kuliko Wakristo kwa Tanzania ni 6 katika Mikoa 26 ya Tanzania bara ,Pwani,Tanga,Lindi,Singida, Tabora & Mtwara.
Ukiondoa hiyo Mikoa ni Mkoa upi una Muslims wengi kuliko hiyo?

2.robo y population yote ya Tanzania ipo kanda ya ziwa kwa maana ya Shinyanga,Geita,Mwanza,Kagera,Simiyu na Mara-katika hiyo Mikoa hakuna Mkoa hata mmoja una robo ya waislam katika population ya Mkoa.
Nioneshe kwanza mahali nilipoandika waislamu au wakristo ndiyo wengi halafu tuendelee.
 
Waislamu ni wabaguzi na mafundisho ya dini yao yamewapandikiza chuki kwa watu wa imani nyingine., nakumbuka wakati tunasoma chuo walimtenga mwenzao kwa sababu alikaribisha wakristo wakati wa kufturu
 
hivi kwanini munapenda kulazimisha kuonekanwa kuwa wakristo ni wengi kukiko waislamu hap nchini? sasa mbona mukiambiwa tuhisabiwe kwenye sensa munagoma?
 
Kuna kitu kinaitwa statistics,

Makabila yanayoongoza kwa watu wengi Tanzania yamejaa wakristo >> ni clear evidence kwamba wakristo ni wengi labda uwe ulikuwa unatoroka shuleni huzijui statistics

Wasukuma
Wachaga
Wanyakyusa
wamasai
Wanyaturu
Wangoni
Wagogo
Wahehe
wahaya

MUHIMU: Tanzania ni ya Watanzania bila kujali dini

kwanini munakataa kipengele cha dini kwenye sensa ili tuhakikishe madai yenu?
 
Mama Samia anajitahidi kuwaketa waislamu wengi ajira serikalini Tanzania bara Kwa kupitia Muungano anawaleta wengi sana apewe hata miaka 10 hao wanaojazana bara uzanzibari na utamaduni wa mzànzibari utakufa kifo Cha mende weyewe sababu wanaletwa bara kwenye wakristo wengi
Sio lazima wakristo wengi wapelekwe Zanzibar kuke wengi waislamu inatakiwa waislamu wengi wa Zanzibar Waletwe bara hao ndio watakuwa chachu ya mabadiliko Zanzibar

Wakirudi kwao Mila na utamaduni wa mzànzibari havitakuwa na maana yoyote kwao
Wafundishwe na kula noah
 
NIMEONA HUMU WAKIRISTO WANALALAMA KUWA WAISLAMU NI WABAGUZI. ILA KIUHALISIA WAKIRISTO NI WABINAFSI NA WABAGUZI KWENYE AJIRA ! WAKIWA WASAHILI NI WAKIRISTO ASILIMIA ZOTE HUWA WANAWEKANA WAO KWA WAO HATA KAMA HAWAKUOMBA WATAPIGIANA SIMU! WAGALATIA KWENYE UBAGUZI NIMEWAVULIA KOFIA ,MNATISHA WAZEE WANGU
 
Usituzingizie sisi atutoagi ajira mfano upo kwa mo na bakhressa angalia wafanyakazi wake ndo uje na hoja.
 
Back
Top Bottom