Tanzania na nchi za Afrika zilizojaa wakristo zina uhuru wa imani, Nchi za kiislam zinanyanyasa wakristo, Penye wakristo wengi pana amani ya imani

Liseme hapa sio Afghanistan au Saudi Arabia kwamba utakatwa kichwa jombaa
Ndio tatizo kumbe uelewa .

Ni hivi baada ya uhuru wa Tanganyika aliyekuwa kiongozi ambaye ni Nyerere , alifanya mazungumzo na Vatican na uhuru ule wa Tanganyika ulijulikana na kupewa cheo kama uhuru wa kristo ni kwamba waislamu hawakujulikana kabisa kupitia uhuru ule ... Nyerere alitaka kuifanya nchi yote itambulike kama ya kikristo . je, unalijua hilo ?

Enzi za Nyrere nchi hii ilikuwa ikiongozwa na mifumo kristo , unataka kubisha?
 
Inatosha tu kusema maofisi ya serikali yamejaa ubaguzi, ukabila na chuki za kidini, kuweni makini sana ndugu zangu waislamu.
 
Reactions: Tui
Ulipo sema tu kagera nimejua akiliyako inashida! Uislamu nenda pwani huko.
 
Basi Tanzania ni nchi ya kiislamu. Umefaidika nini sasa hapo.
Hakuna sehemu nimesema nchi hii ni ya dini fulani.
Nchi hii hakuna takwimu maalum zilizotolewa na taasisi yoyote huru inayotambuliwa na serikali kwamba waumini wa dini fulani ndiyo wengi zaidi,hakuna.
 
Hakuna sehemu nimesema nchi hii ni ya dini fulani.
Nchi hii hakuna takwimu maalum zilizotolewa na taasisi yoyote huru inayotambuliwa na serikali kwamba waumini wa dini fulani ndiyo wengi zaidi,hakuna.
Hakuna takwimu maalum ndo nini

Simu unayo takwimu zipo mkede kede maamuzi ni yako😁😁😁.
 
Hapi ndio utaelewa uislamu ni dini ya shetani na ukristo ni dini ya Mungu upendo na amani.
 
Hapi ndio utaelewa uislamu ni dini ya shetani na ukristo ni dini ya Mungu upendo na amani.
 
Hakuna takwimu maalum ndo nini

Simu unayo takwimu zipo mkede kede maamuzi ni yako😁😁😁.
Mi najua takwimu kama hizo tungezipata kupitia sensa lakini dodoso la dini ya mtu liliondolewa miaka mingi iliyopita hata baba yenu mwenye heri Mtakatifu mtarajiwa uwa anaeleza mara kwa mara kwenye hotuba zake alizowahi kuzitoa wakati wa uhai wake.
Sasa wewe mwenzetu labda hizo takwimu zako unazitoa kanisani!
 
Sasa nchi za kiislam ukristo unaenda kufanya nn? Mbona israil inawatesa waislam na hujawah kupayuka
 
Mtu mwenye udini naona ana akili ndogo.

Ni bora kumlazimisha mtoto awe na elimu ya jamii yetu lakini sio udini? Kwa malengo ya kuondoa ujinga kama huu unaotokea sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…