Tanzania na nchi za Afrika zilizojaa wakristo zina uhuru wa imani, Nchi za kiislam zinanyanyasa wakristo, Penye wakristo wengi pana amani ya imani

Dini ya hovyo kabisa kuwahi kutokea inaitwa uislamu
 
Umeongea point kubwa sana
 
Jiwe alitangulizwa na Nani?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
HII NI KWELI, wameambiwa lakini wawafanyie hivyo makafiri, kwani wewe ni KAFIRI?
Abu Huraira reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying: Msiwasalimie wayahudi na wakristo kabla hawajawasalimia nyie waislamu na muislamu anapo kutana na mkristo au myahudi barabarani amlazimishe mkristo au myahudi apite sehemu nyembemba au amdumbukize mtaroni. Sahih Muslim 2167
 
ﷺ ndio kaagiza chuki dhidi ya mayahidi na makafiri wakristo? Bora mimi nimebaki na Mungu wangu namjua yupo na hana dini na mimi sina dini, bakini na dini zenu za waarabu na wazungu !
Dini haziwafikishi mbinguni badala yake ndio chanzo cha chuki.
 
Tanzania kati ya Wakristo na Waislamu hakuna wakujidai kwamba wao ndiyo wengi kushinda wenzao,wakristo wamekuwa wakitengeneza mazingira ionekane Tanzania ni nchi ya Kikristo, mshindwe.


Duniani hakuna nchi ya kiislam salama kwa wakristo katika ukristo wao.
 
Naunga mkono
Si unaona hata mwezi wa ramadhani kuna wapuuzi huwa wanalazmisha watu wasio wa imani yao washinde njaa kama wao ni ujinga
 
Sio uhuru tu wa kuabudu na amani pia
Nchi nyingi za wakristo ziko ppisi Sana
Mfano
Zambia
Malawi
Lesotho
Botswana
Namibia
Zimbabwe nk
Angalia za waislamu wengi
Mali
Niger
Bokina Faso
Libya
Nigeria
Mauritania
Sijui tatizo nn??
 
Sio uhuru tu wa kuabudu na amani pia
Nchi nyingi za wakristo ziko ppisi Sana
Mfano
Zambia
Malawi
Lesotho
Botswana
Namibia
Zimbabwe nk
Angalia za waislamu wengi
Mali
Niger
Bokina Faso
Libya
Nigeria
Mauritania
Sijui tatizo nn??
Uislam
 
Tanzania kati ya Wakristo na Waislamu hakuna wakujidai kwamba wao ndiyo wengi kushinda wenzao,wakristo wamekuwa wakitengeneza mazingira ionekane Tanzania ni nchi ya Kikristo, mshindwe.
hata hivyo tanzania ni nchi ya kikristo, waislam wanajua hili kwa kuita mfumo kristo. Bora amani dini zingine zinaabudu miungu yao kwa uhuru bila kubughudhiwa
 
Nimeishi na kutembelea mikoa mbalimbali hakuna sehemu ina Wakristo tu au useme wapo wengi sana kuliko wengine,kweli idadi inapishana sehemu na sehemu lakini kwa ujumla huwezi kusema Wakristo ndiyo wengi kuliko Waislamu Tanzania hii.
kabla hujaenda kilimanjaro nenda iramba, kiomboi, siku ya jumapili mji mzima hupoa hakuna shughuli nyingi watu wako ibadani, sokoni na stendi pamepoa. Funga kazi ni moshi, mji wa moshi hupoa sana mjini na mabarabarani watu wako makanisani. Waislam wapo kwa uchache sana. Uislam upo kwa wingi pwani
 
Au nenda Iringa na Mbeya. Maduka yanafunguliwa kuanzia saa 3 baada ya watu kutoka ibada ya asubuhi Lutheran na RC.
 
Tanzania kati ya Wakristo na Waislamu hakuna wakujidai kwamba wao ndiyo wengi kushinda wenzao,wakristo wamekuwa wakitengeneza mazingira ionekane Tanzania ni nchi ya Kikristo, mshindwe.
Duh hv ndo mnadanganyana misikitini ili mkipewa vifu machinj makafir km Msumbiji ? Nenda mbagala daladala zinaweka mawaidha ya kiubaguzi yanajenga chuki za kidini na mawaidha hayo yamejaa uongo ili kuwajaza chuki waislam siku walitaka ichafua nchi inakuwa raia kuwatumia waislam , ulichoandika inawezekana umekata kwenye huo mfumo tyr
 
Fikra kama hizi huwa zinatoka kwa mtu mfinyu wa akili tu, kupachika watu ni nini? Kwamba ili ionekane dini fulani ipo sehemu fulani lazima watu wake wawepo serikalini? Je hao watu wanataka hilo jambo yaani wawepo ndani ya huo mfumo? Hao waliojaa ni kutoka wapi? Je kuna Mkristo ambaye ana sifa amekatazwa kuwepo serikalini? Unajua kwa mfumo wetu Wakuu wa Wilaya, Mikoa na Mawaziri na wengineo ni zao la Siasa? Kama hujishughulishi na hizo mambo mteuaji akufate kanisani au msikitini kukuteua? Kuhusu Polisi kwani wanapatikana mtaani tu au lazima uingie kwenye mafunzo? Sasa wakristo wangapi kutoka Zanzibar waliomba wakakataliwa kuwa Polisi na Uhamiaji? Huko tamisemi hujui kitu ungeficha ujinga wako tu.
 
Wewe ni miongoni mwa hao makafiri au myahudi aliyezungumziwa? Dhalimu yoyote anastahili hayo yaliyosemwa bila kuonewa haya.
Sasa niambie wapi imeandikwa Watu wa Kitabu wanatakiwa kufanyiwa hivyo wakati wao si katika wale watu wabaya waliokuwa wakiwakandamiza Waislamu. Hata wewe siku jaribu tu hata kwa bahati mbaya kuwakandamiza WAislamu basi utatumbukizwa kwenye mitaro pia na utajutia hilo. Mkristo hajaandikwa popote kwa kuwa kwanza hiyo dini haipo, wanaozungumziwa hapa ni Makafiri sasa labda uulize kafiri ni nani na yahudi ni nani japo unajua Yahudi ni mpinga kristo
 
Mim nmezaliwa na wazaz wa dini zote hizo mbili,ila nmelelew ukristo na sijawah pata adha ya ubaguz wa kidini upande wa pili.Lakin mtaani kwetu % kubwa na waislam,sasa bhana lile vugu vugu lililoanza 2001 kati ya US na Nchi za kiislam tuna tension kubwa ya migogoro ya dini iliibuka hata kwenye jamii zetu(japo cjui maeneo mengne hali ilkuwaje). Tukio ambalo sinto lisahau ni pale rafika zake bro wangu ambao pia ni majiran zetu walinunua visu flani virefuuu wakamwambia bro vita ya waislam na wakristo ikianza tutaanza na nyie.Kusema kweli ilinfanya nijiulze inawezakanaje Mungu ni mmoja halafu Wengine awarusu kuua kwa maslah yake na wengine awakataze kuua au kulipiza kisas!?.Tangu kipindi hicho niliamini kabsaa hatumwabidu Mungu mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…