Mkuu kwanza tambua kua bando sio basic need. Yaani mtu asipokua na bando hatakufa. Kitakachotokea mi naona watu watapunguza sana kununua bando na matumizi ya internet kwa ujumla. Mfano kama mtu alikua ameshajiwekea kwamba matumizi yake ya internet ni tsh 2000 kwa wiki, ukipandisha bei usitegemee huyu mtu aanze kununua bando la 5000 kwa wiki. Wengi ama wataacha kabisa kununua, au watanunua hilo hilo la 2000 halafu anapunguza matumizi. Mfano mimi nimeanza kwa ku uninstall instagram na youtube.Thubutu!
Mtanunua tu mtake msitake.
Neno sahihi NiWamefanya ujinga Sana stupidness aisee
Stupidness kabisa
Ujinga mkubwa ujinga mkubwa Sana
Wanyonge wamefurahia sana bei mpya za bandoo uliliipigania Sana suala hiloo hakika wewe ni mkombozi Wa wanyonge,utaacha bongee la legacy
Kwa gharama hizi hata wachangiaji jamiiforum watapungua, kwa kuwa tuna uongozi mwingine bado serikali iliangalie hilo suala.
Bado hujawajua waTz aisee.Mkuu kwanza tambua kua bando sio basic need. Yaani mtu asipokua na bando hatakufa. Kitakachotokea mi naona watu watapunguza sana kununua bando na matumizi ya internet kwa ujumla. Mfano kama mtu alikua ameshajiwekea kwamba matumizi yake ya internet ni tsh 2000 kwa wiki, ukipandisha bei usitegemee huyu mtu aanze kununua bando la 5000 kwa wiki. Wengi ama wataacha kabisa kununua, au watanunua hilo hilo la 2000 halafu anapunguza matumizi. Mfano mimi nimeanza kwa ku uninstall instagram na youtube.
kaongea kinyume chakeMimi sioni unafuu mbona au tigo bado awajarekebisha?
Neno sahihi Ni
"Stupidity"
Mwovu huwaza uovu na hutenda uovu.
Hivi sijui Ndugulile anaona fahari gani watanzania wakiteseka. Hajui kwamba Kuna Dada poa, mama ntilie, madalali, ma MC n.k wanatangaxia biashara zao kwenye mtandao?
Pongezi million timesSijaelewa hapo! Unaipongeza, au unailaumu?
30k ndio maana ya UCHUMI wa Kati?Tatizo leno mmekariri vibando vya buku mbili sijui buku jero.
Jiunge na bundle la mwezi 30k linatosha kabisa.
Bando nimelitoa UtopoloniNa wewe umetoa wapi bundle ya kuandika huu utopolo.. nyie ndo mnaofanya gharama za bundle zipande
Unajua hio 30k ni Gb ngap sahv? Ama unazania maisha bado n yale ya mwez MarchTatizo leno mmekariri vibando vya buku mbili sijui buku jero.
Jiunge na bundle la mwezi 30k linatosha kabisa.
Uzuri wako wewe unaishi kwa shemeji yako hivyo ghalama za maisha hazikusumbui maana wewe ni KULA KULALA tu.Na wewe umetoa wapi bundle ya kuandika huu utopolo.. nyie ndo mnaofanya gharama za bundle zipande
Mkuu 30k ni Kodi ya chumba cha mtu ujueTatizo leno mmekariri vibando vya buku mbili sijui buku jero.
Jiunge na bundle la mwezi 30k linatosha kabisa.
Ndiyo mfate speed ya uchumi wa kati chini na acheni kunywa Hennessey kunyweni valuer chenchi ikibaki nunueni bundle.30k ndio maana ya UCHUMI wa Kati?