MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,016
- 16,813
Hongera Mimi nilikuwa natumia Airtel ya chuo wamefuta hyo Sasa gb 1 elfu tatu loh, awamu ya wanyonge si mchezo hela hamna ila kila kitu kinapandishwa juuHalotel laini ya chuoView attachment 1741022
Sisi hatupo tayari kuhatarisha maisha yetu ila naiona siku ambayo kizazi chenye nyongo kali kikipandisha vurugu itayotokea ndio utakuwa mwisho wa Tanzania dhalimu inayoitwa Tanzania ya Amani.Nchi zingine walifaulu Je ?!. Sisi hata katiba tu tumeshindwa.
Hizi serikali za weusi mpaka pressure. Bila hivyo hamna kitu.
Odhis *
Basi labda tigo wako freshi mi natumiaga kupitia vodaNatumia Tigo naona Pich na Video kasoro ku-upload picha tu ndio siwezi
Alichotufabyia yatosha atoswe Leo kutoka 2000 1 GB kwenda 2000 400 MB Mia 6 MB zimeenda nabndungulileWakuu,
Kama kweli tunaamini katika uhuru wa mawazo kama haki ya kikatiba, na kama kweli tunaamini katika uwajibikaji wa viongozi, basi naomba huyu waziri Ndugulile asome ninayoandika kama jinsi yalivyo.
Wewe waziri Ndugulile, waziri mwenye dhamana kwa niaba ya serikali; una akili timamu!?
Nauliza swali? Unazo zilizotimia?
Hivi, zile mbwembwe zote za kujigamba na kujitutumua kwamba mtahakikisha vifurushi vinakuwa vya bei nafuu, ndio matokeo yake haya tunayoyaona hapa?
Yaani wewe waziri, unaweza kuwafanya watanzania milioni zaidi ya sitini kuwa ni wapumbavu na mbumbumbu?
Ukakimbia kwenda kujitungia kanuni haramu na za kitapeli ili kuhalalisha wizi?
Ulisikia wapi dunia ya leo, data zinakuwa ghali namna hii?
Katika nyakati za utandawazi ambapo maisha yote yanategemea digital devices, kwanini ufanye uhuni wa namna hii?
Sifahamu lengo ni nini? ama ni mbinu za kubinya watu wasipate access ya mtandao?
Ndugulile, nikueleze tu kwamba, maisha ya watanzania wengi hayazunguki kwenye muhimili wa siasa pekee.
Kama lengo ni kuwabinya watu kisiasa, basi hilo ni lengo mfu lisilo na uhalisia.
Mitandao ndio maisha yetu, ndio chakula chetu na kipato chetu. Tusivurugane.
Tunahitaji vifurushi vishuke bei. TAFADHALI.
Ndugulile ni middle man between us na kwa upande mwingine kuna mitandao ya simu , Huyu ni mwakilishi wa serikali , hana ujanja wa kukwepa lawama , ili awe huru ajiuzulu harakaSidhani kama Ndugulile ana kosa, yeye ni mtekelezaji tu kama wengine muhimu tupambane mitandao ya simu ipunguziwe kodi vifurushi vitashuka automatically. Mitandao ya simu inatozwa kodi kubwa sana ambayo inasababisha gharama kupanda na kuumiza watumiaji wake. Ndugu yangu unafikiri 2T aliyoitamka jana Dr Mpango itapatikana kwa miujiza, matunda ya hiyo 2T ndiyo haya...
Kwa kweli tuanzishe uzi wa kumchuria yule jamaa aliotuponza. Dr. RELATIVE out pls!!!Mimi hufatilia masomo na kujifunza huko YouTube Sasa kuongeza gharama Mara dufu ni zaidi ya ychawi, mama Samia aangalie hii Hali, Kama ile ya kwenye makodi Hadi watu wakafunga biashara ndio wakaja kugutuka
Naanzisha rasmi kampeni ya kuhakikisha tunapata Waziri mpya wa Teknolojia baada ya huyu aliyepo kushindwa kwa makusudi kudhibiti bei ya vifurushi mitandaoni .
View attachment 1741015
Ewe mwananchi ni jukumu lako tena la haki kuhakikisha viongozi wabovu wanang'oka kwa namna yoyote ile ili nchi yetu isonge mbele , Madaraka ni kama mbio za kupokezana vijiti , Ndugulile ameshindwa kuwasaidia wananchi hivyo ni vema akang'oka ama akang'olewa .
Mungu ibariki Tanzania .
... hili alitamka tu lakini sijui kama alikuwa anajua anachokiongea. Ni vigumu sana kuelewa mambo kama utakuwa na nafasi kubwa halafu huna maamuzi maana enzi ya shujaa kila kitu kilikuwa kinatoka kwake.Alisema MB moja itauzwa kwa sh 3 hadi 5
Hatukumuelewa [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Tsh 10,000/= GB 3
Ukichukua Tsh 10,000 ÷ 3000 MB
Unapata Tsh 3.33 per MB
Kama unampenda mtu kutokana na sura yake basi nenda kanywe naye Chai - JK NYEREREAwekwe Dr Mollel hapo wizarani!
[emoji2][emoji3][emoji2][emoji3] si bora upewe wewe kabisa mkuu maana tayari umeona madhara yakeAwekwe Dr Mollel hapo wizarani!