Tanzania na Vifurushi vipya vya Data na Sauti (Aprili 2021) - Mwitikio wa wananchi

Tanzania na Vifurushi vipya vya Data na Sauti (Aprili 2021) - Mwitikio wa wananchi

Usijipe moyo sababu limit ya freebasics ni 50MB kwa siku! Ni ndani ya masaa machache utakuwa haupo hewani😁
😂 😂 Basi minahisi nitakuwa napewa GB 100000 kwasiku maana nalala nayo naamka nayo, natembea nayo yaani nikiwasha simu tu naifungua na kuanza kutafuta wa kuwasimanga JF ijawaikuisha.
 
Huyu jamaa acha apumzike huko aliko. Bahati mbaya na waTz ni waoga hata kupigania haki zetu hatuwezi .

Odhis *
Kupigania haki sio kwamba hatuwezi ila linapokuja swala la mabomu ya machozi na virungu hapo ndipo shida inapoanzia.

Ila kama maandamano yangekuwa ya uhuru na haki basi watu wasingesita kupaza sauti.
 
Screenshot_20210402-095355.png
tcra mlivyokuwa wapuuzi mnaangalia tu huu upumbavu!
Pesa zinatafutwa haziokotwi pumbavu
 
Ikiwezekana GB 1 inunuliwe kwa sh 10K, Ili mitandaoni tubaki watu tunaojielewa. Maana vijana waliacha kufanya kazi kabisa, kijana wa BAVICHA akimiliki itel alafu akaweka bundle la 1000,ilikuwa ni kero sana maana wanachojua ni matusi tu na kufatilia umbea mitandaoni.
Una akili za kijinga ujue makapuni ya simu yatapata hasara hata kwa hivi vifuryshi kupanda baada ya kupandishiwa Kodi watumuaji watapungua, so think we'll kabla ya kushabikia
 
Aisee vifurushi ni majanga kwakweli.. na hizo elfu 3 gb 1 ukicheki tu video peruzi page mbili tatu utaona ushatumia 90% ya bundle lako [emoji16]
 
😂 😂 Basi minahisi nitakuwa napewa GB 100000 kwasiku maana nalala nayo naamka nayo, natembea nayo yaani nikiwasha simu tu naifungua na kuanza kutafuta wa kuwasimanga JF ijawaikuisha.
Unaitumia katika mtandao upi? Maana nachojua ipo Tigo na Voda ambako huoni picha hata moja ila Voda wamelimit kuwa hutumii zaidi ya 50MB per day😁
 
Serekali inatengeneza tatizo alfu hao hao wanakuja kutatuaa ili kupat credibility ya kisiasa...waziri mzima kbsa yey ndio wakutufany ss mazombi kisa yey anauweza kuaccess data muda wote wkt wowte ...ajira hakuna Bado data Hakuna
 
Aisee vifurushi ni majanga kwakweli.. na hizo elfu 3 gb 1 ukicheki tu video peruzi page mbili tatu utaona ushatumia 90% ya bundle lako [emoji16]
Kipigo maridhawa kabisa 😁😁😁
 
Naanzisha rasmi kampeni ya kuhakikisha tunapata Waziri mpya wa Teknolojia baada ya huyu aliyepo kushindwa kwa makusudi kudhibiti bei ya vifurushi mitandaoni .

No_Hate_No_Fear_on_Instagram:_“Je_waziri_mwenye_dhamana_aachie_ngazi_kwa_kupandisha_ghalama_za...jpg


Ewe mwananchi ni jukumu lako tena la haki kuhakikisha viongozi wabovu wanang'oka kwa namna yoyote ile ili nchi yetu isonge mbele , Madaraka ni kama mbio za kupokezana vijiti , Ndugulile ameshindwa kuwasaidia wananchi hivyo ni vema akang'oka ama akang'olewa .

Mungu ibariki Tanzania .
 
Heri ya Pasaka,

Miezi kama Miwili hivi nyuma Waziri aliekua akishughulikia na Maswala haya Bwana Faustine Ndungulile alituambia kua amesikia kilio cha Watanzania Wengi kuhusu gharama za vifurushi hivyo Serikali imeingilia kati na kutoa maagizo ya namna ya kufanya vifurushi hivi visiwe ghali. Akasema kua marekebisho hayo yataanza rasmi tarehe 01-April 2021.

Sasa basi kuanzia jana makampuni yameanza kupandisha bei kuzidi hata ile tuliyokua tukiilalamikia. Ni wazi kua Waziri hakua na nia njema na sisi. Hapa ndio unakuta Waziri (Serikali) anakaa na haya Makampuni wanapanga namna ya kutunyonya Wananchi kisha tunaambiwa tumesaidiwa kupunguziwa bei. Rais Mpya anayona haya na sidhani kama atatoa tamko lolote ukizingatia ameagiza mapato serikalini yaongezeke.

Kwa bei hizi ambazo serikali inasema imeingilia kati ni kubwa kuliko hata kabla. Nawaza hata ndio maana hizi bei zikatangazwa kuanza kutumika "April Fool" sababu tu Wadanganyika wataamini kua bei zimeshuka wakati ki uhalisia zimepanda.
 
Naomba kujua ni vipi ninaweza kukontrol matumizi ya bando la data.katika simu
 
Mkuu mbona umerudia tabia ambayo hao uliowazungumzia hapo wanafanya.

Badala ya kuungana na kufanya maamuzi na wewe ni yale yale kushangilia kilichofanyika.
 
Leo tarehe 1/4/2021 makampuni ya simu yamefanya mabadiliko makubwa katika vifurushi vyao.

Wamepunguza vifurushi kwa kiasi kikubwa hasa vifurushi vya data, sitaweka hapa kifurushi kimoja baada ya kingine lkn kwenye mitandao yetu hilo lipo.

Nenda kwenye menu tu nadhani utakutana na upuuzi wote

Nini nataka kusema?
Wakati dunia inakimbia kwa kasi kwenye technolojia sisi tunajirudisha nyuma tena kwa kasi kubwa na wala hapa siyalaumu haya makampuni ya simu kwani yenyewe yanapokea tu order toka Serikalini.

Kama wananchi wa kawaida kabisa tunaiomba Serikali iweze badilisha hiv vifurushi haraka sana maana wanachokifanya ni kurudisha juhudi za maendeleo ya kisayansi nyuma.

Na kwa vile tuna Serikali mpya nina hakika watashughulikia hili haraka sana na wala hawatasubiri hadi mwezi upite maana kilichofanyika ni zaidi ya upuuzi wa hali ya juu.

Kama Serikali itashindwa rekebisha hili basi tutajua hamna mpango na wananchi wa kawaida na mengi mnayoyaongea ni porojo tu

Naomba kuwasilisha.

Katika maisha lazima ujue vitu hua havishuki bei bali vinapanda bei, hii ni kwa ajili ya kukimbizana na inflation, usitegemee bei za huduma ama bdhaa zinatakiwa kuendelea vile vile kwa sababu izi ni biashara!

- vile vile serikali ya tanzania ni ya kupongeza sana kwenye upande wa data, hakuna nchi yoyote afrika inatoa data bei ndogo kushinda tanzania mpaka hivi leo nnavoongea apa

- sidhan (sina uhakika) kama watakuja kushusha bei kutoka apa walipopandisha kwa sababu waliuza data kwa bei ndgo sana kwa mda mrefu yawezekana ni kuhakikisha hawajiendeshi kwa hasara!

- baada ya kusema yote, nadhan wote tunapaswa kujua kwamba bei za huduma na bidhaa ambazo ziko sokoni haziwezi kushuka bei kwa sababu ni bishara zinafanyika, ni kawaida ya uchumi vitu kupanda bei so unatakiwa uwe prepared always
 
Lete habari mkuu kwema huko??sasa hata cjaelewa ina maana makampuni ndiyo yalilalamika kuwa yanapunjika na sio wananchi kuwa wanapunjwa!!??ila kwa akili zetu eti wanyonge acha tupewe za uso tu!!kwani watu wanapopiga kelee kutetea vitu wanaonekana wanatumika na sio wazalendo, huko tunakoelekea matumizi ya simu itakuwa kama DRC, naona wameanza kuwa airtime kivyake, na data ki vyake!!kule DRC, tsh.600 unapata mb 50 tu, kwa siku.kupiga simu ni ghari , ni mwendo wa voice note tu
 
Kupigania haki sio kwamba hatuwezi ila linapokuja swala la mabomu ya machozi na virungu hapo ndipo shida inapoanzia.

Ila kama maandamano yangekuwa ya uhuru na haki basi watu wasingesita kupaza sauti.
Nchi zingine walifaulu Je ?!. Sisi hata katiba tu tumeshindwa.

Hizi serikali za weusi mpaka pressure. Bila hivyo hamna kitu.

Odhis *
 
Naanzisha rasmi kampeni ya kuhakikisha tunapata Waziri mpya wa Teknolojia baada ya huyu aliyepo kushindwa kwa makusudi kudhibiti bei ya vifurushi mitandaoni .

View attachment 1741015

Ewe mwananchi ni jukumu lako tena la haki kuhakikisha viongozi wabovu wanang'oka kwa namna yoyote ile ili nchi yetu isonge mbele , Madaraka ni kama mbio za kupokezana vijiti , Ndugulile ameshindwa kuwasaidia wananchi hivyo ni vema akang'oka ama akang'olewa .

Mungu ibariki Tanzania .
Duh,kweli hii ni hatari sana
 
Serekali inatengeneza tatizo alfu hao hao wanakuja kutatuaa ili kupat credibility ya kisiasa...waziri mzima kbsa yey ndio wakutufany ss mazombi kisa yey anauweza kuaccess data muda wote wkt wowte ...ajira hakuna Bado data Hakuna
Hawajui data ndio sehemu pekee mnyonge anapojipatia faraja. Ulevi wa bia tumehamishia katika Data na Internet na wengine ndio tunapata taarifa na michongo mbali mbali humu.
 
Back
Top Bottom