Top gun maverick
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,092
- 2,923
Huo ndio ujinga tulionaoTatizo watanzania kwenye mambo ya aina hii huwa hatunaga umoja.
Huna akili weweKama huna hela ya kumudu hizi gharama ndogo za vifurushi,toka Sasa Jf uende ukafanye vibarua mitaani upate hela.Hilo ndo Taifa tunalotaka,lisilo kuwa na vijana wanaoshinda mitandaoni kutafuta umbea.
Au mwambie KOGOGO akununulie bando😅.
Huna ulijualo wewee,unajua kazi ya internet weweVijana wafanye kazi, waache kushinda mitandaoni.
Kifurushi cha chuo
Basi endelea kuoperate kulingana na kiwango chako cha mtaji, na ulipe kodi. Na kama hauna uwezo wa kumudu hizi gharama za vifurushi,nikushauri toka Sasa Jf ukatafute hela.
Eeh Mfano mie nafanya kazi na kampuni flani ya kirusi kujipatia chochote kitu hata jana nimeenda hospitali kwa kutumia kipato nachotengeneza kupitia ile kampuni. Halafu anatokea bwege anapandisha bei ya vifurushi kiholela sababu yeye ana posho ya mawasiliano.Mkuu, sio basic need kivipi?🙄
Kuna watu wanatumia mitandao kwa masomo, utafiti, biashara, ajira, kazi, nk nk..
Mtu anaweza kuwa Katavi huko, akawa anafanya kazi kwenye kampuni moja au kadhaa US au Europe na anaendesha maisha vizuri tu.
So, kwa sasa internet ni zaidi ya basic need kwa baadhi ya watu, tena wengi. Ukiminya huko unakuwa unanyonga watu kabisa
Ndungulile hana washauri wazuri.Full stop! haya mambo ya technologia wangemuachia January Makamba.Namuonaga makamba yuko anlytical zaidi kuliko yule bwana Mganga Ndugulile
Hii sio bei rafiki kabisa kwa watanzania
Mkuu huo ni mfano tu ila hili linamgusa kila mtuKifurushi cha chuo
Usijipe moyo sababu limit ya freebasics ni 50MB kwa siku! Ni ndani ya masaa machache utakuwa haupo hewani😁Free Basics ipo
ndio nchi yetu ilipofika, wakisema wamesema nahawafuti, baada ya wiki tutazoea, uhuru wa kuenjoy maisha na kujiendeleza unakatwa kikatiliMkuu usiseme wapenda movies tu,Mimi mwezi Wa tano nilitegemea kuanza masomo Yangu kwa njia ya mtandao ambapo kuna conference inafanywa kupitia zoom,ni takribani saa moja na zaidi,unadhani kwa GB 1.333 kwa shilingi 2000,itanibidi niwe na shilingi ngapi ndo niweze kufanya shughuli hii? Hii ni hatari sana .
Nakumbuka ndugai akiwa bungeni aliwahi kulaumu vijana kushinda mitandaoni bila kufanya kazi akawa anawaza namna ya kuwafanya watu wafanye kazi nasi kushinda mitandaoni,nadhani haya ndo majibu kwa hoja ya ndugai.
Hatari sana ,wanaoumia haoa so wakosoaji waserikali pekee Bali ni wananchi wote,Mungu aingilie kati
Sasa ndugu ww una uwakika gan hao vijana wa bavicha tu ndio masikn alaf uvccm ndio matajir ,maisha yalivyo usikute hao bavicha wana unafuu mtu kama ww bahat mbaya ukiwa kiongoz wa umma ni atar sana una ubaguz na roho mbaya ,ili ni tatzo kuna watu wanaathirika na hii hali hana ata uwelewa wa siasa acha ubinafs kama ww una nafuu wafikirie wenzioIkiwezekana GB 1 inunuliwe kwa sh 10K, Ili mitandaoni tubaki watu tunaojielewa. Maana vijana waliacha kufanya kazi kabisa, kijana wa BAVICHA akimiliki itel alafu akaweka bundle la 1000,ilikuwa ni kero sana maana wanachojua ni matusi tu na kufatilia umbea mitandaoni.
Hao voda mzeeMkuu huo ni mfano tu ila hili linamgusa kila mtu
Malaika wa kufunga mitandao ameshuka.Yajayo yanafurahisha mpo tayari...?