Tanzania na Vifurushi vipya vya Data na Sauti (Aprili 2021) - Mwitikio wa wananchi


Kwanini Maduka ya Silaha hayapo TZA?
 
Mapato ya simu za nje yamepungua..na imechagizwa na online calls za whatsapp na telegram....

Sasa wameamua kudhibiti online calls kwa kuongeza gharama za internet.

Serikali inapigana against technology.tuone nani ataibuka mshindi
 
Hizi gharama za vifurushi, huenda serikali watakuwa wanataka kufidia hasara iliyoletwa na shirika la ndege.
 
Lawama zote abebeshwe hayati magufuli, yeye alishasema anatamani malaika ashuke afunge mitandao, wakumlaumu ni hayati ,na kundi lake humu na serikalini waliokuwa wanamuabudu, Yaan yule mzee miaka mitano ijayo kama angeendelea kuwepo, kwa hakika nimeamini maji tungeita "MMA
 
Hafai kabisa huyu mtu!

How come unaweka bei za kishenzi na kinyama namna hii?

Hii yote ilikuwa kumfurahisha Mwendazake?

Shame on you Ndungulile
You are the Enemy of the People
 
A
Acha munyooshwe muache kuandika mambo ya kijinga jinga.
Hata hivyo mlikuea mnapata shushu saana kwenye hivyo vifurushi kama 3000vunapata gb1.2,
Hap mimi sijaona mabadiliko yoyote kwa sababu toza mwaka jana wote natumia kifurushi cha wiki 3000 kwa gb 1tu na 5000 gb 2 tu na bafo nakiona kupo vilevile.
Muda wa maongezi ni uleule haujabadilika kwa hiyo kumbe tuliumia kubishana na watu waliokuwa wanapata unafuu kwenye bando.
 
Atafukuwa kama hayo maamuzi aliyafanya mwenyewe peke yake yaani binafsi
 
Wanyonge mlilalama kwa ndungulie, yeye akapokea na kukaa na wenzake wakaunda sheria kwa minajili ya kuwasevu nyinyi wanyonge, wakawapa watoa huduma feb zianze kutumika april.

Ndio zimeanza sasa. Kwa lengo la kupunguza gharama.

Na kweli gharama zimeshuka lakini hazijashuka pekeake. Zimeshuka na ujazo [emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Asingekuwepo Dada wa Instagram na Kaka wa Twitter wala usingeona Upuuzi huu wa Serikali kupitia huyu Waziri Mnafiki na wa hovyo hovyo.
 
Makampuni yalikuwa na ushindani mkali kuvutia wateja ikapelekea bei kuwa chini, kila mtu happy wateja walikuwa wanapewa value for money, makampuni yalikuwa yanauza high volumes na kupata faida na serikali ilikuwa inapata kodi zake.

Wizara anapewa daktari mmoja wa binadamu clueless kwenye maswala ya biashara, anakuta shirika la serikali alifanyi vizuri TTCL badala ya kulaumu management analaumu mashirika mengine kwa ku kuwa cheap zaidi na kuwapa watumiaji alternative.

Solution yake wapandishe bei ya vifurushi ili watu watumie TTCL, nadhani siku hiyo makampuni ya simu yalifanya party yaani serikali inawapa ahueni ya kupandisha bei vinginevyo kwa hali ya ushindani ingekuwa ngumu kufanya hivyo.

Nadhani Ndugulile ndio waziri wa ovyo kweli kwa sasa.

Yale yale kama ilivyo adha yao huko serikalini kwenye kutatua matatizo ‘dawa ya kikoozi, kata kimeo’ hakuna njia nyingine as far as they are concerned.
 
Mapato ya simu za nje yamepungua..na imechagizwa na online calls za whatsapp na telegram....

Sasa wameamua kudhibiti online calls kwa kuongeza gharama za internet.

Serikali inapigana against technology.tuone nani ataibuka mshindi
Na nchi zingine wanaongeza mapato ya simu za nje kwa kufanya data kua ya bei ghali?
 
Hapo watu wataacha kununuaa hayo mabundle na hapo itakula kwetu raia wanyonge na makapuni ya simu, kwa jinsi ninavojua kipato Cha watanzania wengi kilivo niwape pole watanzania na makapuni maana imekula kotekote
 
Tunazo taarifa za uhakika kwamba mnanunuliwa bando ili mtukane watu , sasa huo uongo kwamba uliwahi kununua umeutoa wapi ?
 
Hii ni ishara tosha hata mikataba wanayo tusainia nchi za nje huwa tunapigwa yote, kama mkataba na kampuni za ndani zinawaingiza chaka na Je za mabeberu wataweza.

Pengo la kukosa upinzani bungeni ndo linatumiza zaidi sbb nileteeeni Gwajimaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…