Tuzidi kufanya maombi ili naye asivimbishe kichwaSina mengi ya kuongea ila kupitia vifurushi vya mitandao vya kila mtumiaji simu hapa nchini, ipo sababu ya kumuwajibisha kwa kile kinachoonekana dhahiri kuwa ni maumivu tuliosababishiwa kwa makusudi. Dhamira ya mtu kupewa dhamana sio kuumiza watu bali ni kuhakikisha usimamizi mzuri wa maslahi ya raia kwa ujumla. Naamini raisi wangu u msikivu na utalifanyia kazi hili.
Mjomba alishaondokaNaanzisha rasmi kampeni mitandaoni ya kuhimiza na kumshauri Mh. Rais Samia kututafutia Waziri mwingine mwenye kujua matatizo ya Watanzania aongoze Wizara ya Mawasiliano. #Ngugulile#Out#.
Hao utakuta wengi ni kula kulalaKabisa.. afu bado Kuna wahuni wanasema internet ni ANASA, dooh[emoji849]
Leo tarehe 1/4/2021 makampuni ya simu yamefanya mabadiliko makubwa katika vifurushi vyao.
Wamepunguza vifurushi kwa kiasi kikubwa hasa vifurushi vya data, sitaweka hapa kifurushi kimoja baada ya kingine lkn kwenye mitandao yetu hilo lipo.
Nenda kwenye menu tu nadhani utakutana na upuuzi wote.
Nini nataka kusema?
Wakati dunia inakimbia kwa kasi kwenye technolojia sisi tunajirudisha nyuma tena kwa kasi kubwa na wala hapa siyalaumu haya makampuni ya simu kwani yenyewe yanapokea tu order toka Serikalini.
Kama wananchi wa kawaida kabisa tunaiomba Serikali iweze badilisha hiv vifurushi haraka sana maana wanachokifanya ni kurudisha juhudi za maendeleo ya kisayansi nyuma.
Na kwa vile tuna Serikali mpya nina hakika watashughulikia hili haraka sana na wala hawatasubiri hadi mwezi upite maana kilichofanyika ni zaidi ya upuuzi wa hali ya juu.
Kama Serikali itashindwa rekebisha hili basi tutajua hamna mpango na wananchi wa kawaida na mengi mnayoyaongea ni porojo tu
Naomba kuwasilisha.
Acha ufala bi dada kwani Magufuli yupo kwasasa mbona unakichwa kama panzi, we lia na Wakina suluhu na waziri husika.Hii ndio ilikuwa sera ya Magufuli katika akuhakikisha mitandao ya kijamii watu washindwe kuitumia, maana alishasema anatamani malaika washuke wafungie mitandao.
Mkuu, hii ni mikakati ya jiwe ndo inatekelezwa sasaAmekufa jiwe amekuja nyoka.
Kwahiyo wewe haikuhusu?Yaani kuwaonjesha tu bei ndio mnalalamika hivi? Bei elekezi kwa mujibu wa Dr. Ndungulile ni Mb 1 @3-5 shs....ndio kwanza tupo kwenye 1Mb @3.3shs tukifika sh 5 mtaweuka kabisa!
Naweza kukuajili hata wewe, mfanyakazi wangu wa kiwango cha juu namlipa milioni moja kwa mwezi na wa chini kabisa laki tatu, sasa wewe najua hata kiwango hicho huna bado upo sebuleni kwa shemeji yako unasubili vitumbua na wapwa zako.Tunazo taarifa za uhakika kwamba mnanunuliwa bando ili mtukane watu , sasa huo uongo kwamba uliwahi kununua umeutoa wapi ?
Halotel user mupoooo?
View attachment 1741079
Mkuu, imetoa ujumbe mfupi, wa wazi bila unafiki, Hawa watu wazidi Sana tupanda vichwani wananchi,huwezi kufanyia wananchi unyama wa namna hii,huu ni unyama ,kukomoana Kama vile hii nchi waliachiwa na baba zao,wao Kama mawaziri hulipiwa kila kitu na mishahara minono itokanayo na jasho zetu kwenye vipato vyetu vya kawaida alafu ndo sie wanatutorture kiasi hiki,Wakuu,
Kama kweli tunaamini katika uhuru wa mawazo kama haki ya kikatiba, na kama kweli tunaamini katika uwajibikaji wa viongozi, basi naomba huyu waziri Ndugulile asome ninayoandika kama jinsi yalivyo.
Wewe waziri Ndugulile, waziri mwenye dhamana kwa niaba ya serikali; una akili timamu!?
Nauliza swali? Unazo zilizotimia?
Hivi, zile mbwembwe zote za kujigamba na kujitutumua kwamba mtahakikisha vifurushi vinakuwa vya bei nafuu, ndio matokeo yake haya tunayoyaona hapa?
Yaani wewe waziri, unaweza kuwafanya watanzania milioni zaidi ya sitini kuwa ni wapumbavu na mbumbumbu?
Ukakimbia kwenda kujitungia kanuni haramu na za kitapeli ili kuhalalisha wizi?
Ulisikia wapi dunia ya leo, data zinakuwa ghali namna hii?
Katika nyakati za utandawazi ambapo maisha yote yanategemea digital devices, kwanini ufanye uhuni wa namna hii?
Sifahamu lengo ni nini? ama ni mbinu za kubinya watu wasipate access ya mtandao?
Ndugulile, nikueleze tu kwamba, maisha ya watanzania wengi hayazunguki kwenye muhimili wa siasa pekee.
Kama lengo ni kuwabinya watu kisiasa, basi hilo ni lengo mfu lisilo na uhalisia.
Mitandao ndio maisha yetu, ndio chakula chetu na kipato chetu. Tusivurugane.
Tunahitaji vifurushi vishuke bei. TAFADHALI.
Lengo lao tuwe wajingaUnajua hawa ni wapumbavu..lengo lao ni lipi hasa?
hahahaah wamekimbia wote??Kuna grp fln nimejikuta ni admin[emoji23][emoji23][emoji23]wakati niliomba kuniunga wakanikatalia[emoji23][emoji23][emoji23]
Twitter nako VPN inatuharibia....Tutoe ma social network ibaki twiter na jamii forum basi
Wiki au mwezi au...Kifurushi nilichobaki kwangu chenye
unafuu ni kile kwenye line ya chuo ya
halotel, sh.1500 gb1
sh.2000 gb 1.5
menu *148*55#
Mkuu admin alitoweka ktk mazingira tatanishi haonekani[emoji23] ko me ndo sonko ila natafuta mtu nimuweke admin then nileft!hahahaah wamekimbia wote??
hahahaaah kwa vifurushi hivi magroup ya ajabu ajabu ni ya kuachana nayo. Na pia apps zisizo na msingi...Mkuu admin alitoweka ktk mazingira tatanishi haonekani[emoji23] ko me ndo sonko ila natafuta mtu nimuweke admin then nileft!