Magufull na ndugulileNani iyebuni wazo la kupandisha gharama za simu?
Sema tuu Airtel wana internet speed ya kobe. Naona wapo vizuri kuliko matapeli wengine voda na halotel
Maandamano ambayo mmeruhusiwa ni yale ya juzi mpaka mkawa free kuvunja geti la airpot mbele ya ma mwelaKuna haja ya kuitisha maandamano nchi nzima.
Inaboa sana yaniKabisa.. afu bado Kuna wahuni wanasema internet ni ANASA, dooh🙄
Hiyo ni kwa vodacom ila sisi wa halotel hatuna limitations kwenye matumizi ya freebasicsUsijipe moyo sababu limit ya freebasics ni 50MB kwa siku! Ni ndani ya masaa machache utakuwa haupo hewani😁
Na bado washikirie hapo hapo, hadi akili zituingie, kwa kuwa neno WANYONGE, tumelikubali na kuliona baraka, na wao wanashindilia hapo hapo!!Haki ya Nani Mbona Watanzania tumepatikana mwaka huu
Duuu watu mna manenoAmekufa jiwe amekuja nyoka.
Ofcourse ndio kitakachotokea hicho, watu watanyamazishwa kwa vipigo vya maaskari tu! Labda watu waandamane nchi nzima kitu ambacho sio rahisiKule serikali ya Lebanon serikali ilivyoleta kodi ya kutumia mtandao wa Whatsapp mwaka 2019, watu waliandamana mpaka serikali ikaifuta hiyo kodi. Maana wengi wangeshindwa kulipa. Sasa jee hapa itakuwaje? Au serikali inawajua kuwa Watanzania ni waoga kupigania haki zao kwa hiyo watalalamika mitandaoni tuu lakini maisha yanaendelea kama kawaida.
Sahihi na hiyo ni hasara kubwa kisa jiweMaandamano ambayo mmeruhusiwa ni yale ya juzi mpaka mkawa free kuvunja geti la airpot mbele ya ma mwela
Wewe unadhani angefanya nini wakati kapewa maagizo na jiwe?Most hated person mpaka sasa...
Bora makonda hapa agejichukulia ujiko [emoji28]