Tanzania na Vifurushi vipya vya Data na Sauti (Aprili 2021) - Mwitikio wa wananchi

Kiukweli nmesikitika sana

Mfano Halotel kuna bundle nilikua nanunua kwa njia ya halopesa lilikua ni 3GB plus 30dk mitandao yote
Kifurushi kilikua na gharama ya Tsh.3000/= na kwa week nzima

Chakushangaza sahivi gharama ni ile ile ila napata 1GB na Mb300

Is this fair? Ndio maboresho haya? Au ndo kukandamizwa
 
CCM ni ile ile
 
Wakuu haya maboresho kilichofanyika kutukandamiza sana.

Mfano mnaotumia halotel naona mabadiliko makubwa sana vifurushi vimepunguzwa alafu gharama ni ile ile.

Hebu tupeane updates na mitandao mingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…