Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

Gembe,
Mbona mashirika ya UMMA yanayowasaidia kwenye uchaguzi bado yapo? Ipo NSSF, DAWASA, BOT, SIDO, PPF,.... Serikali ya CCM haiwezi kushindwa kupata mapesa haya!

Ndondondo si chululu

Jana si leo, Majimbo yameongezeka,mahitaji ya pesa na utamu wake vinaongezeka.

Hivyo vyanzo haviongezeki, wananchi wako macho kwenye matundu makuu ie EPA!!!!
 
hivi hayo matrekta mtawapa watanzania wenye passport na wenye kadi za kupigia kura,wenye passport ni wenye uwezo wakusafiria na kutumia mtandao wa kompyuta,wenye kadi za kupigia kura ndio hao wanasiasa na wanaokubaliana na hizi siasa zisizo za haki, ukizingatia wengi wenye passport na hata wenye hizo kadi za kupigia kura engi sio watanzania.hali ya uchumi sio nzuri kweli,badala ya kudanganyana hivi tatizo hapa ni vitambulisho vya utaifa au mfumo wa utawala,

tuelimishane na sio kupotoshana,tujenge na sio kubomoana
mungu ibariki Tanzania
 
2009-02-19 07:38:00

Tanzanians to pay for ID cards
By Mkinga Mkinga
THE CITIZEN

Tanzanians will have to pay for the new national identity cards, Home Affairs minister Lawrence Masha said yesterday.

He told a local radio station in an interview that the fee to be charged would depend on the cost of producing the IDs.

"The Government cannot at the moment estimate how much every Tanzanian will be required to pay for a national identity card."

"This will be known once we know what the cost of production would be based on the technology to be used," Mr Masha said, adding that the first batch of the IDs would be issued early next year.

The minister added that the IDs would be issued in phases because the Government could not afford to produce identity cards for all eligible Tanzanians at once.

"It is estimated that the project will cost not less than Sh200 billion and with these ups and downs in economy, we are not in a position to produce cards for each and every Tanzania at a go," he said.

He said the company that would be awarded the tender would use smartcard technology which, he added, was secure, tamper-proof and multi-purpose. Thailand, Singapore, Malaysia, Oman, Qatar, Saudi Arabia, Morocco, the UAE and Egypt have similar programmes based on smartcard technology.

Mr Masha said the preferred technology would make it possible to upgrade some of the features and functions supported on the smartcard as standards evolve, new services are developed and enhanced security protocols are introduced.

According to information obtained from the official website of the Home Affairs ministry, the idea of introducing national IDs was first floated in 1968.

To date, three East African Community (EAC) member states, namely Kenya, Rwanda and Burundi, issue national IDs with Tanzania and Uganda being the only members that do not have national IDs for their citizens.

Under Kenya's Registration of Persons Act, citizens of 18 years of age or above must register with the National Registration Bureau and obtain a national ID. Failure to do so is regarded as a crime.

ID cards in Kenya are required for one to register as a voter, obtain a passport, purchase property, open a bank account, conduct business, seek employment, access higher education, enter government buildings and get married.

Rwanda started issuing national IDs in July last year. About 5,300,000 people have registered for the IDs out of whom 3,800,000 had been issued with the cards by September 2008.

The IDs project in Rwanda was projected to cost $18 million (Sh25 billion) and was funded entirely from tax revenue.

Uganda still uses voter registration cards in place of national IDs. The Tanzania government has already established the National Identification Authority (Nida), an institution that will be the overall in charge for the national IDs project.

The national IDs project has in recent days put Mr Masha in the spotlight following the leakage of his letter to the Prime Minister in which he expressed his concern at the way the tendering process was being handled.

However, Mr Masha has defended his move, saying the project would have collapsed altogether had it not been for his intervention.

Mr Masha, who called a press conference earlier in the weekto explain his role in the matter, denied that he had attempted to manipulate the tender process in favour of any private company.

He said on the contrary, his perceived interference ensured that the tender process was not abruptly called off.

The minister said the tender had been put at a risk after there appeared to be deliberate leakage of information from within the evaluation committee.

Mr Masha three bidders, and not one company as widely known, had informally raised concerns about vetting information that was not meant to be revealed before the pre-qualification process was complete.

"This has indeed been confirmed as true in the final evaluation committee report, an act that was enough to call off the entire process and start afresh," he said.

But he said in order to ensure that the ID project that has been bogged down for decades was not distracted, the ministry acted on the anomalies as advised by the Public Procurement Regulatory Authority (PPRA).

Mr Masha explained that he had himself advised his permanent secretary, Mr Patrick Rutabanzibwa, who is legally mandated to intervene to liaise with PPRA over the information raised by the four firms.

"I gave this advice as the minister who carries political responsibility here knowing that the leaked information immediately raised questions about the motives of those leaking it. I wanted to ensure the credibility of the entire process was safeguarded," Mr Masha said adding it would be hypocritical of those equating this move to manipulation.
 
Zakumi, again, you are retracting back to causes... and that is the poor planning we have at different levels in our society. How would you run and maintain database littered with a plethora of information through card leaders and authentication to servers that could be (centralized) localized in Dar or (decentralized) at makao makuu ya wilaya, whereas the means to run those servers is yet to be thought of. And in places where that seems to be a minor discouragement, migao ya umeme bado haiishi. (ooh, i know the alternative to this...readers zinazotumia battery na kurusha authentication packets kwa simu za mkononi mpaka makao makuu dar..!!!)

The acceptance of this project as one of many things beneficial to the nation is one thing. Rolling it out right away in our current social economic climate is another. We are rushing onto things. My compromising position on this matter is to halt it, let's postpone the project for another 15 - 20 odd years. As I believe it would then be cheaper technologically and in general, feasible. some of the criteria necessary for effective implementation would've been dealt with by then (hopefully thru sera za CCM!). Urban/rural areas survey, electrification and road network are essential factors to a positive anticipated outcome of projects such like this. We shouldn't dismiss them unless we are aiming for another Tanzanian giant white elephant!

Steve D:

Nina expertise katika mambo ya security na identification. Information systems ambazo sisi tunarukia zimeanza miaka ya hivi karibuni. Na kabla ya hapo nchi mbalimbali zilikuwa na kumbukumbu za ku-identify watu.

Information system zimekuja ku-enhance ubora wa kile kilichokuwepo lakini sio solution iliyokuja kuanzisha identification.

Hivyo kwa low tech zilizokuwepo na manpower iliyokuwepo, Tanzania inaweza kuanza kuweka kumbukumbu za ku-identify watu wake bila kutumia pesa yoyote hile.

As we move forward integration ya technologies mbalimbali, itawezesha matumizi ya ID kuwa ni kitu cha kawaida kabisa.

Tukumbuke kuwa kila wilaya kuna ofisi ya msajili vifo na vizazi. Tukumbuke kuwa zaidi ya 70% ya watanzania wanapitia primary school. Tukumbuke kuwa watanzania wanakwenda sekondari, VETA na High schools, universities na vyuo mbalimbali. Tukumbuke zaidi ya watanzania millioni moja wana hati za nyumba au mashamba. Ukiweza kuwatambua watu milioni moja kati ya 40, ambao wengi wao ni bread winner utakuwa umepiga hatua kubwa sana.

Zaidi ya hapo watu wanapokea mishahara kutoka serikali kuu na waliostaafu ni zaidi ya nusu millioni.

Kwa kutumia kumbukumbu nilizotaja juu. Kuna uwezekano mkubwa wa ku-data-mine kumbukumbu yenye idadi ya zaidi ya 10% ya watanzania bila kutumia gharama yoyote hile na wengine 90% watafuatia polepole katika kipindi cha miaka 10 inayokuja.

Miradi mingi ya kiserikali ina characteristic ya kuwa AD-HOC, UNSTAINABLE na kila kitu kinaanza FROM SCRATCH.

Kama nilivyosema katika posti zilizotangulia, mradi huu usichukuliwe kama ni kizuizi ujambazi au uharifu. Wengi wanaotenda uharifu vitambulisho vya namna moja au nyingine tayari wanavyo.

Kuna uwezekano mkubwa maendeleo yetu ya kisasa yanakwamishwa kwa kukosekana kumbukumbu na identification za watu. Ni benki gani inayoweza kutoa mkopo kwa mtu asiyetambulika.

Kwa maoni yangu mradi wa vitambulisho ulitakiwa kuanza miaka 40 iliyopita.
 
babu unataka kusema najuwa katika swala la ku cut and and paste huko makini sana,lakini saa zingine huu angalie unacho paste(ninge kushauri usome kwanza) kwamfano habari ya kitine uliyoimwaga hapa jamvini. isome utaelewa inakasoro chungu mzima,
swala la kulipia vitambulisho sio la ukweli,ukizingatia aliyetamka ni Mh masha ambaye tuliye msikiliza ,ilionyesha alikuwa ajui kabisa kinachoendelea,je alijibu kuhusu msimamo wake kama umebadili kuhusu swala la maalbino?

kulikuwa amna jibu pale, but blaa blaa,
 
let me count my IDs now
1) Passport
2) NSSF card
3) Bank card
4) Voting Card
5) Bith certificate
6) Working ID
7) Cheti cha Ubatizo
8) Cheti cha hospitali (clinic record)
9) Insurance card
10)Driving licence
11) etc
and now i will be having National ID

Je hii ID nikiwa nayo itakuwa na vitu vyote vilivyo hapo juu? na kwa hiyo sitahitajika kuwa navyo kama IDs.

Hivi hii EA community ndiyo inayotoforce kuwa na hizi IDs? na kwa gharama hiyo yote? Hapana. Watz tuna kila sababu ya kuupinga huu mradi.
 
unafikiri gharama ya bilioni 200 ni realistic kufanya hayo yote?

Siwezi kusema kama ni realistic ama sio kwasababu sipo kwenye mchakato wa kupata supplier wa mradi huo na wala sijui bei ya miradi kama hiyo. Inawezekana figure ikawa realistic bila kuwa justifiable.

Nataka kuamini unazungumzia kama pesa hizo ni justifiable. Kama hilo ndilo swali lako, naweza kusema "Yes" endapo tu mradi utasimamiwa vizuri kuanzia kwenye tender, utendaji n.k. Na kuhakikisha kuwa pesa hizo zinatosha kufanya yote yanayotarajiwa kuanzia mitambo, card zenyewe, data input na distribution. Vinginevyo, haiwezi kuwa justifiable kutumia pesa zote hizo. Naweza pia kusema "No" kama mradi unakusudia kufanya machache zaidi ya hayo hapo juu.

Mbona vitambulisho hivyo vipo tayari, vinaitwa Passport na tumekuwa tukivitoa tayari na hivi karibuni tuliweka vya kisasa zaidi. Kwanini tusitumie passport ambazo tayari zina unique number, features, na tayari vinatutambulisha. Kwanini kwa mfano, tusiwe na utaratibu wa dual ID... moja ni Pass cha pili ni kitambulisho cha mkazi kinachotolewa kila mkoa?

Mkuu passport ni hati ya kusafiria. Sisi masikini hapa kwetu tunaitumia kwakuwa ndio document inayoaminika zaidi kuliko nyingine zozote tulizonazo. Passport Mkuu, haitolewi kwa kila mtu (si kila mtu ni msafiri wa kwenda nje ya nchi. Hivyo si kila mtu anaeweza kupewa Passport). Na hata kila mtu akipewa, gharama yake itakuwa kubwa kuliko mradi tunaouzungumzia hapa Siwezi kusema zaidi ya hapo kwa maana unaelewa vizuri tu.

Document nyingine ambayo nayo imeanza kutumika sana ni Kitambulisho cha mpiga kura (Voters ID). Hiki hakigawiwi kwa kila mtu. Kinatolewa kwa watu waliotimiza masharti ya kupiga kura tu. Na pia hakina feature yoyote zaidi ya maelezo yaliyopo kwenye daftari la kupigia kura.

Kuhusu swali lako la dual ID, nadhani itakuwa no kuongeza wingi wa documents tu. Labda unieleze mantiki yake hasa ukiilinganisha na Kitambulisho cha Utaifa.

[QOUTE]Nadhani hili linahusiana zaidi na utendaji na ufuatiliaji wa taratibu ambazo tayari tunazo kuliko kukosekana kwa vitambulisho.

Fikiria: Kila mtoto anayezaliwa anapewa cheti cha kuzaliwa! Cheti hicho kinasema huyo ni mtoto ni wa jinsi gani, wazazi wake ni nani, alizaliwa lini na wapi. kwanini Cheti hicho kisiwe ndiyo msingi wa utambulisho wa uraia? Kinachofanyika ni kutengeneza database inayounganisha taasisi zote za serikali na ofisi ya msajili wa uzazi na vifo? [/QUOTE]

Nadhani vyeti vya kuzaliwa vinatakiwa kusomeka kwenye kitambulisho hiki (Smart ID) ili kuwa na maana zaidi. Inawezekana kabisa. Kuhusu kutambulika kwa mtanzania kupitia cheti cha kuzaliwa, naona kama haijakaa vizuri. Haijakaa vizuri kwa maana ukilisema kwa sauti mafisadi wakasikia, watataka kubadili vyeti vyote vifae kuwa vitambulisho (Gharama yake nayo ni sawa ama kubwa zaidi ya hii 220Bil).

Mkuu hakuna cheti cha kuzaliwa chenye picha hata kimoja. Hivyo havifai kumtambulisha mtu. Vile vile, si kila mtanzania amezaliwa Tanzania. Kuna waliozaliwa nchi nyingine na kupewa vyeti huko huko. Sijui hawa wanafanywaje katika utaratibu wa kupewa vyeti vya kuzaliwa (wenye kujua wanaweza kusaidia hapa). Ila naamini utekelezaji wa kuwapa hao vyeti unaweza kuwa mgumu sana. Maana Ofisi ya Kabidhi wasii nadhani haina kumbukumbu zao za kutosha.

Ninachoona na ambacho tunakifanya vizuri ni duplication of services! Je tukiwa na Smart ID, tutaendelea kuwa na Passport?

Ndio Mkuu, tutaendelea kuwa na Passport kwa wale wasafirio kwenda nje ya nchi. Wale wasiohitaji kusafiri, hawana haja ya Passport, ila wanayo haja ya kutambuliwa. Hili ni jukumu la Kikatiba zaidi ya yote.

Asilimia 80 ya Watanzania wanaishi vijijini, zaidi ya kufungua akaunti na kupata mikopo hizo kadi atazitumia wapi zaidi.

Mkuu, kitambulisho cha utaifa kitasaidia sana kumtambua mtu sehemu yoyote atakayokuwa. Itasaidia pia kuhakikisha mtu huyo anapata haki stahili. Kwa mfano, mtu amenyimwa haki ya kupiga kura kwa kuwa hakuwahi kuwa na kadi kwa ajili hiyo (labda ndio amefikasha umri au hakukaa nchini miaka mingi). Mtu huyo ni lazima athibitishe kuwa hakuwahi kuwa na kadi kweli au ilipotea na kuwa jina analodai kujiandikisha ni lake na mambo mengine chungu mzima. Mtu huyo akiwa na ID kama hiyo, maongezi yanakuwa machache zaidi na utendaji wa kupewa kadi unakuwa rahisi.

Sasa hivi, nguvu nyingi sana ya serikali inatumika bila tija kubwa. Urasimu unakuwa mkubwa kwa kutokuaminiana n.k. Vitambulisho hivi nategemea vitaweza kutatua baadhi ya matatizo haya.

Kuna suala la faragha hapa ambalo ni kubwa zaidi. Sitaki mtu mmoja awe na uwezo wa kujua benki yangu, taarifa zangu za afya, kazi yangu, n.k kwenye kikadi kimoja!

Nadhani hofu yako Mkuu ni ya haki kabisa. Ila nina uhakika wanaoshughulikia hili wataangalia jinsi ya kulinda faragha za watu. Ila kuna taarifa ambazo ni lazima ziwe wazi kwa baadhi ya taasisi. Taarifa kuwa una account katika Bank zipi, Unafanya kazi gani, Una elimu gani, umewahi kushitakiwa kwa makosa gani, umewahi kutembelea nchi gani n.k. Ni muhimu kuwa kwenye kadi hiyo si kwa manufaa yako tu, bali kwa manufaa ya wengine pia ambao wanakusudia kushirikiana na wewe katika mambo mbalimbali ya kijamii, kiuchumi n.k.

Mkuu faidi za mradi huu zinaweza kuwa nyingi sana kama utafanywa vizuri inavyotakiwa.

Sijui umepata wapi figure hiyo, lakini let me assume for a second kwamba ni sahihi. Hii ina maana kuwa ni Tsh bilioni 220. Je gharama ya kuleta mitambo ya kusomea kadi hizo, kuandaa database, kuajiri wafanyakazi, kufanyia matengenezo, n.k inafikia kiasi gani?

Figure hiyo nimeifanyia mahesabu ya haraka haraka tu (assumption 40mil people).

Naamini kuwa mchakato mzima wa Vitambulisho hivi unashughulikia zaidi technology na hasa mitambo ya uzalishaji wa vitambulisho pamoja na mengine yote. Ila gharama hizi zinatakiwa ziweze kukidhi mahitaji ya kuchapisha cards zote, na kusambaza. Sijui scope ya supplier anaetakiwa.

Tatizo ni kuwa, twaweza kuwa na vitambulisho vizuri vya raia bila kuwa ni lazima viwe hivi vya Smart Cards. Hivi kweli unaamini njia pekee na bora ni hiyo ya smart card? l

Nadhani vitambulisho vizuri ni vyenye security kubwa iwezekanavyo (ili isiwe rahisi ku-fodge na kufanya maradi mzima kuwa hauna maana), viwe na uwezo wa kuweka kumbukumbu nyingi iwezekanavyo kwa kila mmiliki, visomeke tu kwa wenye mamlaka ya kivisoma na kwa ujumla vitosheleze mahitaji.
 
Waanchane na huu mradi. Hauna maana. Nadhani the cost effective way ingekuwa ni kutunga sheria inayotambua uhalali wa aina mbalimbali za documents zilizopo kama vitabulisho halali, ikiwa ni pamoja na kadi za kupigia kura, passport, driving licence na zingine za aina hiyo. Nchi nyingi tu kuna sheria kama hizi zinazotambua aina mbalimbali za ID (passport, a driving license, etc.).

Mkuu Cynic, wazo lako ni zuri lakini sio kial mtu anastahili kupewa document hizo;

1. Kadi ya kupiga kura: Mkuu nadhani unajua kuwa sio kila mtu ana stahili kupiga kura. Kuna kikomo cha umri wa kupiga kura ambacho ni miaka 18. Sasa walio chini ya umri huo hawana haki ya kupiga kura? Usimamizi wa daftari la kupiga kura uko chini ya Tume ya Uchaguzi iliyoundwa kisheria. Sidhani kama kuna mamlaka yenye uwezo wa kutaka kujua kuhusu mpiga kura zaidi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Manufaa yake ni kwenye kupiga kura tu. Ni kitambulisho chenye maana sana pia siku hizi pia.

2. Passport: Ni hati ya kusafiria ambayo wanaopewa ni wale tu wenye kusudio la kusafi kwenda nje ya nchi. Ni document yenye uhai wa miaka 10 kwa sasa. Na sio bei rahisi kugawa na kuendelea kuigawa muda wake ukiisha kwa kila mtu. Gharama yake itakuwa maradufu ya mradi huu.

3. Driving Licence: Hii hupewa wale tu waliofuzu mafunzo ya udereva (driving skills). Hujaribiwa na Askari wa usalama kabla ya kuangaliwa uwezo wao kuona mbali na karibu na hatimae kupewa cheti cha kufuzu (Certificate of Competence) na baadae kupewa licence hiyo. Muda wake sio wa maisha bali huisha kila miaka mitatu (3 years) renewal ya TZS 10,000 hulipwa. Siamini kuwa inafaa sana kutumika kwa maana si kila mtu anaeweza kukidhi masharti ya kuipata licence hiyo. Tunao vilema wa aina mbalimbali ambao nao pia wanastahili kutambuliwa. Na gharama za kujaribu watu wote na kuwapa licence inaweza kusababisha ajira kuongezeka kwenye jeshi la polisi wa usalama barabarani. Pia gharama zake sio ndogo kama mradi huu unavyoonekana kuwa.

Nadhani tunahitaji utambulisho mkubwa ziadi ya huo hapo juu. Kila kitu kina manufaa yake na makusudio yake.
 
Inasikitisha sana kuona taifa letu likitumia billioni 200 kwa kitambulisho ambacho kinaweza kutengenezwa kwa billioni 95 na kikafanya kazi sawa...

Mkuu Mkandara, heshima kwako. Hoja hiyo hapo juu iko sahihi kabisa, Naiunga mkono kwa moyo wote.

Kama vitambulisho vinaweza kupatikana kwa gharama nafuu zaidi nadhani ni jambo jema zaidi. Na kama uwezekano huo upo, basi uanze kuangaliwa sasa hivi kabla haijawa tuu late.

Mkuu pamoja na wakuu wengine, mimi ninaamini kuwa wengi wamesema mengi, ila mengi pia ni hisia (assumptions) tu. Kudhani kuwa mradi huu unakusudiwa kwa ajili ya wizi wa fedha za umma nadhani ni jambo la kusubir na kuona kama ndivyo itakavyokuwa. Tunachoweza kujadili hapa ni idea ya mradi, maana uamuzi wa mradi uweje bado unabaki kwa watu ambao si lazima sana tuwaamini.

Wakuu, kwa serikali Bil 220 si nyingi sana na wala si kidogo. Ni pesa za kawaida sana kwa matumizi ya serikali. Nadhani kila mwaka wamatumia pesa kama hizo kwa magari yao tu. Na sijui kama magari hayo yanasaidia sana maendeleo ya Mtanzania wa kawaida ama walau yanampa haki yake ya kutambuliwa kama Katiba inavyodai. Mkuu matumizi ya serikali yapo na yasipotumika kwa kadi hizi yatatumika kwa semina, kongamano, magari, safari za nje, ukaribisho wa viongozi wa Mataifa mengine, nahata sherehe za wakulima, wafanyakazi na kadhalika. Ni uchaguzi wetu kujadili matumizi walau haya ambayo kwa mara ya kwanza yana maslahi kwa wananchio wote.
 
let me count my IDs now
1) Passport
2) NSSF card
3) Bank card
4) Voting Card
5) Bith certificate
6) Working ID
7) Cheti cha Ubatizo
8) Cheti cha hospitali (clinic record)
9) Insurance card
10)Driving licence
11) etc
and now i will be having National ID

Je hii ID nikiwa nayo itakuwa na vitu vyote vilivyo hapo juu? na kwa hiyo sitahitajika kuwa navyo kama IDs.

Hivi hii EA community ndiyo inayotoforce kuwa na hizi IDs? na kwa gharama hiyo yote? Hapana. Watz tuna kila sababu ya kuupinga huu mradi.

Watanzania wengi tunashindwa kutofautisha matumizi ya hizi ID's,hizi zote ulizozitaja hapa ndio Id's lakini huu mjadala hapa unahusu picture id na katika ulizozitaja wewe picture id ni mbili tu passport na driver's license.itakuwa jambo la maan sana kama hizi id mpya kwa wenye driver's license za zamani hizi id mpya ziwe ndio driver's license namba zao hivyo wasiwe na haja ya kuwa na id mbili isipokuwa juu iandikwe driver's license,na kwa wasiokuwa na driver's license,hii mpya iwe ndio id yao na juu iandikwe Identification card.

SAHIBA.
 
2009-02-19 07:38:00

Tanzanians to pay for ID cards
By Mkinga Mkinga
THE CITIZEN​

Tanzanians will have to pay for the new national identity cards, Home Affairs minister Lawrence Masha said yesterday.

He told a local radio station in an interview that the fee to be charged would depend on the cost of producing the IDs.

"The Government cannot at the moment estimate how much every Tanzanian will be required to pay for a national identity card."

"This will be known once we know what the cost of production would be based on the technology to be used," Mr Masha said, adding that the first batch of the IDs would be issued early next year.

The minister added that the IDs would be issued in phases because the Government could not afford to produce identity cards for all eligible Tanzanians at once.

"It is estimated that the project will cost not less than Sh200 billion and with these ups and downs in economy, we are not in a position to produce cards for each and every Tanzania at a go," he said.

He said the company that would be awarded the tender would use smartcard technology which, he added, was secure, tamper-proof and multi-purpose. Thailand, Singapore, Malaysia, Oman, Qatar, Saudi Arabia, Morocco, the UAE and Egypt have similar programmes based on smartcard technology.

Mr Masha said the preferred technology would make it possible to upgrade some of the features and functions supported on the smartcard as standards evolve, new services are developed and enhanced security protocols are introduced.

According to information obtained from the official website of the Home Affairs ministry, the idea of introducing national IDs was first floated in 1968.

To date, three East African Community (EAC) member states, namely Kenya, Rwanda and Burundi, issue national IDs with Tanzania and Uganda being the only members that do not have national IDs for their citizens.

Under Kenya's Registration of Persons Act, citizens of 18 years of age or above must register with the National Registration Bureau and obtain a national ID. Failure to do so is regarded as a crime.

ID cards in Kenya are required for one to register as a voter, obtain a passport, purchase property, open a bank account, conduct business, seek employment, access higher education, enter government buildings and get married.

Rwanda started issuing national IDs in July last year. About 5,300,000 people have registered for the IDs out of whom 3,800,000 had been issued with the cards by September 2008.

The IDs project in Rwanda was projected to cost $18 million (Sh25 billion) and was funded entirely from tax revenue.

Uganda still uses voter registration cards in place of national IDs. The Tanzania government has already established the National Identification Authority (Nida), an institution that will be the overall in charge for the national IDs project.

The national IDs project has in recent days put Mr Masha in the spotlight following the leakage of his letter to the Prime Minister in which he expressed his concern at the way the tendering process was being handled.

However, Mr Masha has defended his move, saying the project would have collapsed altogether had it not been for his intervention.

Mr Masha, who called a press conference earlier in the weekto explain his role in the matter, denied that he had attempted to manipulate the tender process in favour of any private company.

He said on the contrary, his perceived interference ensured that the tender process was not abruptly called off.

The minister said the tender had been put at a risk after there appeared to be deliberate leakage of information from within the evaluation committee.

Mr Masha three bidders, and not one company as widely known, had informally raised concerns about vetting information that was not meant to be revealed before the pre-qualification process was complete.

"This has indeed been confirmed as true in the final evaluation committee report, an act that was enough to call off the entire process and start afresh," he said.

But he said in order to ensure that the ID project that has been bogged down for decades was not distracted, the ministry acted on the anomalies as advised by the Public Procurement Regulatory Authority (PPRA).

Mr Masha explained that he had himself advised his permanent secretary, Mr Patrick Rutabanzibwa, who is legally mandated to intervene to liaise with PPRA over the information raised by the four firms.

"I gave this advice as the minister who carries political responsibility here knowing that the leaked information immediately raised questions about the motives of those leaking it. I wanted to ensure the credibility of the entire process was safeguarded," Mr Masha said adding it would be hypocritical of those equating this move to manipulation.

Bubu hili la fee lisikushtue,fee itakuwa ndogo sana just kujenga nidhamu kwa raia kujua nikiipoteza itabidi niilipie kulinganisha na faida za hizi id.wananchi watapewa muda wa kutosha wa kupata hizi id na muda utakapokwisha zitaanza kutumika,sheria zitapangwa za matumizi yake,mashuleni lazima uwe na id,maofisini lazima waajiriwa wote wanaajiri wenye id,vendors wote lazima wawe na id,wasanii wot..id,n.k.hivyo ni program ya muda mrefu italeta ajiri nyingi sana na hope kipato cha serikali kitaongezeka sana.

SAHIBA.
 
Hizo pesa za vitambulisho kwa nini wasizipeleke vijijini tukainue kilimo ambacho ni uti wa mgongo?Kuliko kuhangaikia vitambulisho wakati takwimu za wahamiaji haramu kwa mwaka hazizidi hata 200000/= kwa hiyo kitambulisho na kilimo,elimu,maji safi,umeme na miundo mbinu kipi ni bora?Na hivi serikali imekuwa inasua sua kivipigia chapuo.

Hizi id si za kuzuia uhamiaji haramu hilo ni dogo tu katika faida nyingi za hizi id.hayo uliyoyataja yote muhimu na kama unategemea serikali ikufanyie kila jambo unajimaliza mwenyewe.Jiulize wewe utaifanyia nini serikali sio serikali itakufanyia nini wewe.vitambulishi hivi vikitumika ipasavyo vitarahisisha hayo yote uliyoyataja hapo kwa namna moja ama nyingine,Serikali itaweza kukusanya mapato zaidi then may be itakununulia hilo trekta kama unataka hivyo.

SAHIBA.
 
Mambo haya alishajadiliwa sana hapa may mwaka jana kwenye thread ya "NATIONAL ID Cards: The Proposal, Advantages, Disadvantages & Progress" ambayo sahivi imeunganishwa kwenye thread ya Vitambulisho vya uraia hapa naona ni marudio tu!
 
Mwakani kuna tuna UCHAGUZI MKUU - another EPA ? Forewarned is forearmed. Safari hii hakuna kulala mpaka kieleweke.
 
Hivi mnaongelea mradi wa vitambulisho ama mpango wa UTAMBULISHO WA RAIA NA WASIO RAIA wote waliopo nchini mwetu?

Wachangiaji mahiri humu barazani ningependa kujua kama mmepata kupitia ma kuona document zozte muhimu zinazoelezea mpango huu kwa undani wake zaidi ya hivi viandiko vya tuhuma na kashfa? Mmewahi kusoma ama hata kuiona feasibility study report ya mpango huu? Mmewahi kupata nafasi ya kufanya mchanganuo wa matumizi ya hizo USD 220 Million za huo mradi/mpango? Hivi tunadhani kuwa budget yote hiyo inaishia katika zoezi la kutengeza na kutoa hivyo vipande vya utambulisho wa rai wetu (VITAMBULISHO).

Naamini wengi mna nia njema na nchi yetu lakini ukosefu wa taarifa za kutosha kuhusu mradi/mpango huu pamoja na utamaduni wa kutuaminiana na zaid kutoamini wanasiasa na asasi za dola kunatufanya tunakuwa wahanga wa utamaduni wa siasa chafu kirahisi sana.

Tejieleimishe zaidi kuhusu mpango huu nyeti kabla ya kukimbilia kutoa hukumu kubwa kama hii ya kutaka usifanyike kabisa..
 
umesema vizuri kweli. Sasa wananchi wa kawaida na wachambuzi wa mambo haya wataweza vipi kupata taarifa hizo kama kila kitu kinafanywa kuwa ni siri ya kundi la watu wachache? Hizo taarifa na nyaraka zote unazozisema kwanini wasiziweke hadharani. Kama unayo au unajua mahali panapoweza kupatikana nitumie mwanakijiji@mwanakijiji.com au mwanakijiji@jamiiforums.com

Hata hivyo I'll bet a dollar kuwa documents nyingi hizo haziko kwenye digital format kwani hadi mtu aende kuzidurufu kwanza na kwa vile ni kurasa nyingi kasi hiyo inakuwa kama ya kuinyanyua Atlas!
 
- Nijuavyo through the dataz ni kwamba serikali ya US ndio walioilazimsiha serikali yetu kubadili passport, ikiwa pia na kuwataka waanzishe Natinal ID, walilipia zoezi la passport, na wakaahidi kwamba as soon serikali yetu ikiweka wazi namna ya watakavyolifamya zoezi la passport bila uhuni, watawapa hela pia za ID.

- Since then la pass limefanikiwa, lakini la ID limekwama na ndio maana unaliskia sana ni kwa sababu wanaohusika nalo bongo wanajaribu kutafuta kila njia kuwadanganya serikali ya US ili wawape hela walizoahidi, lakini wanashindwa, bila ya serikali ya US kuwa involved na malipo ya hii deal, ingeshafanyika siku nyingi sana na watu kutia hela ndani!

Thanxs!
 
Omariyas,
Mkuu maneno yako mazito sana na yana kila mantiki ktk kufahamu.

Lakini hapo ndipo tatizo kubwa la ufanisi wa kazi za serikali unapoanzia...
Itakuwaje serikali kuanzisha mradi wa vitambulisho na vitu viyote vilivyomo bila wananchi wake kufahamu kinachoendelea?

Hili zoezi litaweza vipi kufanikiwa wakati zoezi zima linawalenga wananchi hao hao wasiofahamu?

I mean, hii serikali inapofikia kutoa tender kwa mashirika ya nje na tukaambiwa gharama yake inakuwaje kuwepo na vitu vingine ambavyo hatuvifahamu.

Mkuu tunaishi nchi zenye vitambulisho tayari na tunafahamu faida zake vizuri sana isipokuwa gharama ya uendeshaji mradi mzima na mengineyo yanayohusika ni nje kabisa ya gharama ya utayarishaji na utengenezaji vitambulisho.

Ni muhhimu kwa serikali kuwa WAZI kuwaeleza wananchi faida zake kutokana na hiyo feasibility study ili ipate baraka za wananchi hata iwe kwa kupitia Wabunge wetu. Na laukama wewe unafahamu yaliyomo mkuu mwaga hapa tupo wengi tunao support vitambulisho kama kichwa cha habari lakini hatukubaliani na yoliyomo kwa fikra zetu finyu! Huoni kama ni jukumu la serikali kutufahamisha kilichomo?..

Haiwezekani kabisa mradi mkubwa kama huu uwe siri ya serikali na usipofanikiwa tuanze kutafuta mchawi!...

Ama kweli - NDIVYO TULIVYO!
 
Last edited:
Hivi mnaongelea mradi wa vitambulisho ama mpango wa UTAMBULISHO WA RAIA NA WASIO RAIA wote waliopo nchini mwetu?

Wachangiaji mahiri humu barazani ningependa kujua kama mmepata kupitia ma kuona document zozte muhimu zinazoelezea mpango huu kwa undani wake zaidi ya hivi viandiko vya tuhuma na kashfa? Mmewahi kusoma ama hata kuiona feasibility study report ya mpango huu? Mmewahi kupata nafasi ya kufanya mchanganuo wa matumizi ya hizo USD 220 Million za huo mradi/mpango? Hivi tunadhani kuwa budget yote hiyo inaishia katika zoezi la kutengeza na kutoa hivyo vipande vya utambulisho wa rai wetu (VITAMBULISHO).

Naamini wengi mna nia njema na nchi yetu lakini ukosefu wa taarifa za kutosha kuhusu mradi/mpango huu pamoja na utamaduni wa kutuaminiana na zaid kutoamini wanasiasa na asasi za dola kunatufanya tunakuwa wahanga wa utamaduni wa siasa chafu kirahisi sana.

Tejieleimishe zaidi kuhusu mpango huu nyeti kabla ya kukimbilia kutoa hukumu kubwa kama hii ya kutaka usifanyike kabisa..

Ahsante Omarilyas kwa mchango wako kuhusiana na hii mada.Kwa ujumla nimekuwa katika wachangiaji wachache katika mada hii ninaepingana na kichwa cha habari cha hii mada,ni ukweli usiofichika kuwa,kuna faida nyingi sana za kuwa na vitambulisho kwa serikali na wananchi.

Wengi wa wachangiaji wameuchukulia mradi huu kama mradi wa CCM ama wa serikali.Huu ni mradi wetu wananchi kwa faida yetu hivyo kwa mapenzi ya nchi yetu ni wajibu wetu kuelewa kwa kiasi fulani mbali na kutajiwa gharama tu.

Tatizo kubwa la sisi pengine ni culture ama ulimbukeni wa baadhi yetu tunalaumu just kulaumu,na wengine ni kwa sababu ya history ya viongozi wetu kuprove katika miradi mingi iliyopita kufanya maamuzi yanayo aidha kifaidisha chama ama wakuu fulani(mafisadi). Matokeo yake tunacreate watu kama kina Balali na Mayumba.

Serrikali ina jukumu kubwa la kurejesha imani za wananchi wake ingalau tunapowapa marungu viongovi wetu tusiwe na shaka na namna watakavyoyatumia.

Hii yote inaanzia katika chaguzi zetu,tunapochagua viongozi wetu pengine kutokana na hali zetu kiuchumi tunachagua watu wenye uwezo kifedha na si uwezo wao kiuongozi.

This has to stop.Tuchague watu wenye nia na uwezo in 2010.

Think Twice.

SAHIBA.
 
Ipo kwenye Daily News ya Leo. Na kama kuna mtu ameisha I-post Then
wahusika wanaweza kuiondoa au kuiunganisha na Post Husika

ISSA YUSSUF in Zanzibar, 21st February 2009 @ 09:45

Authorities in Zanzibar are against the proposed technology of using smart cards as national identification cards. They also say the project is too expensive and that they were not involved fully in the project.

Both Minister for State- Office of the Zanzibar President Mr Suleiman Othman Nyanga and the Zanzibar Identity Card Registration Office Director Mr Mohammed Juma Ame, refuted reports that Zanzibar identity card office was among the dropped tender applicants for the project .These are speculations. We did not apply for the union ID project, but we are against the smart card idea, Minister Nyanga who is responsible for registration of Zanzibaris, told the 'Sunday News'.

He said that he had invited the Union Government (Home Affairs ministry) in 2006/2007 to come and study the quality of Zanzibar IDs in order to get experience.Mr Ame said that his office was against the idea of using smart cards because the cards are not durable especially when folded or in contact with water. We have attended at least two consultative meetings about the process of Union IDs.

We advised them to drop the idea of using smart cards because they are four-times the cost of other IDs such as IDs in Zanzibar, Kenya, Israel and other developed countries, Mr Ame told the 'Sunday News'. Mr Ame said that two dimensions barcode (2D-barcode) identity cards such as the ones used in Zanzibar were sufficient for Tanzanians. What we need to store on the cards are specifically fingerprint and a photo of each adult.

Smart cards can store more information but it is unnecessary for majority of Tanzanians especially those in rural areas, Mr Ame added. He said his office with experts from a company in Israel had technology capable of data storage and production. He, however, refrained from applying for the tender because of their small capacity in data collection.

Our data collection is limited to about a million population while the Union IDs project is for half the population of Tanzania, he noted. The 'Sunday News' learned that the University of Dar es Salaam (UDSM) in collaboration with Tanzania Bureau of Standards (TBS) conducted a feasibility study and advised the Home ministry to first work with local institutions and get advice on the process of IDs production.

The UD and TBS teams had proposed to the ministry to work or seek experience from institutions dealing with registration such as National Electoral Commission (NEC), Immigrations, RITA (Registration, Insolvency, and Trusteeship Agency), and Zanzibar Identity Cards Registration Office. Mr Ame said that the ministry did not consider the UD and TBS recommendation. Instead, it shifted the task to Gotham International Limited consultants who probably advised them to float international tender.
 
Back
Top Bottom