Tanzania nchi iliyojaa wanafiki na wanaojali matumbo yao

Kwa ubabe alionao unaweza kusikia wiki hii Tanzania tunajitoa kwenye hiyo mikataba inayotufunga kuwa ndani ya hiyo mahakama ya ICC!!

Nafikiri wana CCM walamba miguu wanaiona hii ndiyo the only escape road iliyo mbele yao.
Hata ukijitoa haisaidii
Omar al bashir hakuwahi kukubali Sudan kuwa member wa ICC lakini alishitakiwa
 
Mkuu taifa laitaji watu Kama nyie, kwamba unauwezo wa kuunganisha dot ,kwamba baadhi ya watu wamebaki kusifia hii sio sawa
Sehem kidogo umegusia kwamba KIKWETE alijua kula vizuri kwa wandani na nje na ponapona yake.

Mfano leo uchaguzi tuseme UMEISHA je? Ni mataifa gani yenye nguvu dunian wamempogeza jpm, nalo hili wafuasi wa ccm wameshindwa jiuliza, wapo tu kupiga kelele,ila ikitokea akapandishwa kizimbani hutowasikia Hawa wanafiki bora mie Mbatizaji naweza kutoka na kumtetea pale nikiona labda Kuna sababu ya kufanya hivyo ,ila wengi hum watakua wameufyata

Pili mfano kwa Hali hii ya taifa tulionayo ikitokea kwamba ipigwe kura toka ICC kwamba nani yuko tiyari jpm afike icc nini kitatokea ,kwa Hali na hasira za wananchi wakizo nazo nasema kura za ndio zitakua nusu ya watanzania.

Chakufanya
Mh jpm hitisha uchaguzi mpya kwa kuzingatia matakwa na viongozi wa vyama vingine chini ya tume huru,na kubadilisha virungu baadhi vya katiba kuendana na uchaguzi Kama hatuwezi pata katiba mpya mapema.

Nini faida
1.WEWE umekua rais so hata ukishindwa au kushinda itakuongezea utukufu Sana,na kuendelea kuheshimika tz na kwa macho ya kimataifa
Nini kitatokea Kama ushauri huu haukubali

1.Niwe mkweli kwako ,hii miaka mitano inaweza kua migum Sana kwako kiungozi kuliko kipindi chako kilichopita ,au hata kipindi ukiwa waziri,na wenda mh heshima yako ikashuka Sana,maana mh kuongoza watu na wapo pamoja ,wanafurahi, wanakuombea kwa umoja ni baraka Sana mkuu
Jpm simchukii na niliwai sema wenda tuna rais mzuri ila waliomzunguka wakawa ni shida kidogo.
Mh jpm tafakari kwa haya na chukua hatua ikikupendeza, maana Mambo ni moto sana
 
Wapumba.vu nyie hakuna wa kukaa meza moja na nyie, Rais hawezi betraye wananchi kukaa na watu tulowakataa, tena hapo ndo wasahau kabisa kupata fursa ya uongozi nchini, hata chama hicho kifutwe tu.
 
Endelea kuota mkuu!
 
Unawaza kwa kutumia tumbo, hivi bado unawaza hyo mkaratsi yenu ya kufungia vitumbua ndi ICC iyafanyie kazi?
Kama ikiyafanya kazi ujue hao Act hawatapona, maana waliwambia watu wachukue mapanga na suraha boka sababu za msingi, na imeonekana upinzani umefanya fujo sana na kuuwa watu zaidi ya serikari kuwachapa magaidi.
Anzeni kwenda huko mjishitaki kwanza.
 
Hapo ni kujitekenya na kucheka wenyewe
 
Acheni upuuzi wenu. Mnadhani hao ICC hawana busara kama nyie. Yaani mnatutia aibu kubwa watanzania
 
Mtabaki hivyohivyo nyambaffff mpaka 2025..mwenzeni Lissu ameshakubali yaishe anataka maridhiano..sijui ya Nini .anadhani madaraka yanapatikana kirahisirahisi hivyo..muulizeni Dr Magu...na wananchi..
Nakuonea huruma sana. Tawi ulilokalia linaenda kutikiswa vibaya sana na mwisho litakatwa. Dunia haijawai kuwa rafiki na mafedhuli
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtu yuko kadarakani kamkimbiza Lisu hadi ubelgiji bila kupenda alafu unamuita mshamba?

2025 itafika bado mmekalia upumbavu kama huu huu na ccm inawapiga tena, mnarudi pale pale
Nnape na wenzie ndio walimwita mshamba.
 
Wapumba.vu nyie hakuna wa kukaa meza moja na nyie, Rais hawezi betraye wananchi kukaa na watu tulowakataa, tena hapo ndo wasahau kabisa kupata fursa ya uongozi nchini, hata chama hicho kifutwe tu.
Endeleeni kushupaza shingo. Mlisubiriwa sana muingie kwenye 18 sasa mmeingia suburini matokeo
 
Waliwaambia lini??? Wewe peke yako ndo uliona wako fanya hivyo??? Nakwambiaje jiandae tu na magufuli wako, arrest warrant inatoka siku si nyingi
 
Ishara ya dole gumba ambayo huwa wanaonesha wasemapo CCM HOYEE huwa inamaanisha TUMBO MBELE MAENDELEO NYUMA.
Ndo maana viongozi wengi Wana vitambi.​
 
Endeleeni kushupaza shingo. Mlisubiriwa sana muingie kwenye 18 sasa mmeingia suburini matokeo
[emoji23][emoji23][emoji23]Kama nakuona ukisubiri ICC ije imkamate jiwe,,


Nadhani sasa Lisu akisoma hizi nyuzi anajionea ni jinsi gani alikuwa anategemea wajinga kumpeleka Ikulu
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Kama nakuona ukisubiri ICC ije imkamate jiwe,,


Nadhani sasa Lisu akisoma hizi nyuzi anajionea ni jinsi gani alikuwa anategemea wajinga kumpeleka Ikulu
Nani kakwambia ICC wanakamata??? Wao wanatoa arrest warrant. Sasa hapo kinachofuta ni nchi mojawapo kukunawa tu. Wanakukamata na kwenda kukukabidhi ICC.

Hongera kwa kutuita tulikuwa tunamsupport Lissu wajinga Ila nakuhakikishia kwa yajayo yalivyo mazuri, lazima ujue kama sisi ni wajinga au nyie mbaoshabikia mauaji na ufedhuli ndo wajinga
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtalia sana!

Hata baada ya uchaguzi wa 2015 wenzio walikuja na ngonjera kama hizihizi.

Hadi 2025 inafika bado hivi hivi na mtarudi kwenye mtapigwa tena mnarudi kulia kama kawa.
 
Wanachekesha eti wanasena haiwezekani, ndio imeshawezekana matendo yake ya kukiuka haki za binadamu yalianza kidogo kidogo SASA yameshakomaa, hawamuachi hii dunia sio yake.
 
Na nilikwambia Lisu hatapata zaidi ya 20%.

Sasa ili mnione mlivyo, badala ya kutafuta ni wapi tumeangukia nyie mmekomaa na ICC?

Hivi unajua kama Kenyata na Odinga walisababisha watu zaidi ya 1,500 kufa na sasa hivi Kenyata ni rais wa Kenya?

We unafikir ICC ni wajinga, kisa tuvideo twa kigogo, Maria Sarungi na zitto ndio tayari ushahidi huo?

Unajua kama Syria kuna mamilioni ya watu wanakufa live live na hao ICC wapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…