Magu hajafikisha 40% mpaka Sasa bado wanahesabu Kura halali kujua ukweli,hakuna wa kukaa meza moja na nyie, Rais hawezi betraye wananchi kukaa na watu tulowakataa, tena hapo ndo wasahau kabisa kupata fursa ya uongozi nchini, hata chama hicho kifutwe tu.
Nakuonea huruma sana. Endelea kuita tuvideo sasa ndo utajua kama zina umuhimu au hazina umuhimu.Nyie ni wajinga mkuu, na nlikwambia Lisu hata pata zaidi ya 20%.
Sasa ili mnione mlivyo mbumbumbu, badala ya kutafuta ni wapi tumeangukia nyie mmekomaa na ICC?
Hivi unajua kama Kenyata na Odinga walisababisha watu zaidi ya 1,500 kufa na sasa hivi Kenyata ni rais wa Kenya?
We unafikir ICC ni wajinga, kisa tuvideo twa kigogo, Maria Sarungi na zitto ndio tayari ushahidi huo?
Unajua kama Syria kuna mamilioni ya watu wanakufa live live na hao ICC wapo?
Kwa hiyo wamekiri hupokea kitu gani?. Ulikuwa umelala?.ICC haijughulikiagi mambo ya Uchaguzi
Mkuu kwanza tu hii kubishana na wewe humu nmekuheshimu sana.Nakuonea huruma sana. Endelea kuita tuvideo sasa ndo utajua kama zina umuhimu au hazina umuhimu.
Elections ni out of their JurisdictionsKwa hiyo wamekiri hupokea kitu gani?. Ulikuwa umelala?.
Walichokiri kupokea na kuahidi kukifanyia kazi ni kipi?Elections ni out of their Jurisdictions
Endelea kuziona mbwembwe ila siku si nyingi utanielewa nilikuwa namaanisha nini. Naona unaendelea kuwa mbishi mpaka baada ya icc kutoa tamko kupokea maombi dhidi ya mtu wako. Najua huna exposure, hujui dunia ikoje na inaendaje kwa iyo sikushangai. Ila nakuhakikishia magufuli ni Al Bashir mtarajiwaMkuu kwanza tu hii kubishana na wewe humu nmekuheshimu sana.
Maana mimi nlitegemea baada ya zile mbwembwe za kabla ya uchaguzi uwe umepata akili lakini kumne ndio zimezidi kuondoka
Even ivory coast election which was stolen by Lauren Gabgo was out of their jurisdiction.Elections ni out of their Jurisdictions
Hajakosea na hakuna kiongozi wa kiafrika ambaye atapelekwa ICC tena!Ndio maana siku ile Kenyatta alivyotoa ile hotuba yake kumponda jamaa yetu wapo wana lumumba waliodai hata Kenya kuna matatizo, niliwajibu nikawaambia atleast Kenyatta anajua kula na kipofu, hali ikiwa mbaya anamuita Raila wanakaa meza moja anatuliza mambo.
Huyu wa hapa kwetu yanamkuta kwasababu amezidisha ubabe usio na maana, anadhani kuwa na madaraka makubwa ndio sababu ya kutomsikiliza yeyote, kumbe hapo ndipo anapozidi kukosea.
Nyie ni watu ambao hamna uzalendo na nnchi yenu Mana ni wasaliti wawazi tatizo la viongozi wetu liko wapi ila sishangai Sana hata Wana izraeli walikufuru neema walizo pewa na molah sasa hatutaki watu wachache watuharibie na kupinga maendeleo ya watanzaniaWalimpa muda ajifunze dunia ikoje. Tatizo akateua kina kabudi walamba miguu wake kuwa washauri wake wakuu ambao hawawezi kumwambia nyeusi na nyeusi na nyeupe ni nyeupe. Sasa lazima ale matunda ya jeuri yake. Ndo atajua kuwa dunia haicheki na makima. Yaani utolewe tamko hadi na kamisheni ya umoja wa mataifa ya haki za binadamu alafu ICC wasikutie nyavuni??? Lazima ajute mwaka huu
Maneno yenu hayana busara ndo maana mnaongea pumba semeni basi ukweli acheni propaganda za kijingaWashauri wa jiwe ndio wanazidi kumpoteza kwa kumuaminisha kuwa yeye ni bora kiliko viongozi wa Dunia yote
Mimi naona wanamchelewesha.Hata leo wamsweke tu,hana maana.Safari hii lazima aende Ulaya eti?...
Yaani hii habari ni mbaya mno mitaa ya Lumumba wa kulaumu zaidi ni Chakubanga kwa kutomshauri vzr Mwenyekiti wake!!Endelea kuishi kwa kukariri. Habari ya mjini sasaivi ni ICC wenyewe kukiri kupokea maombi ya uchunguzi dhidi ya Magufuli na watu wake.
Sasa hivi upepo tu unawasha nyumba...acha kabisa sayansi ya Sumbawanga!! Mmoja mmoja warishiriki wote waliovuruga uchaguzi upepo wa moto unawapitia.Baba yangu mdogo ni mkurugenzi wa Halmashauri mmoja hapa mkoani Arusha, nahofia na yeye wasije wakachoma moto nyumba yake maana raia zina hasira ya kimya kimya.