Tanzania nchi ya umeme wa bei chee zaidi EAC

Tanzania nchi ya umeme wa bei chee zaidi EAC

Wanatuandaa kisaikolojia ili wapandishe,hawana lolote,,
Nadhani tumeshuhudia kelele zao kuwa Tanzania tunatumia gharama nafuu za Bundle duniani...
Saa hii wamekuja kwenye umeme,,baada ya hapo maji
 
Nini amekikuta mkuu?

Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni tu
Mbona sifa kwa Chifu Hangaya zimekuwa nyingi sana kwa siku za karibuni tena kwa vitu ambavyo amevikuta.?
 
Wanatuandaa kisaikolojia ili wapandishe,hawana lolote,,
Nadhani tumeshuhudia kelele zao kuwa Tanzania tunatumia gharama nafuu za Bundle duniani...
Saa hii wamekuja kwenye umeme,,baada ya hapo maji
Bei itashuka sio kupanda mkuu Wangu
 
Umeme na hduma za afya ilitakiwa kuwa bure kwa nchi yenye rasilimali kama Tz
Miundombinu yote tunalipia kodi
 
Fanya wewe mkuu sio lazima mwandishi,
👇🏿👇🏿👇🏿

Miezi sita ya Rais Samia,

Nchi imetulia tuli,
Wawekezaji kama wote
Wahisani kama wote
Wananchi Shangwe kila kona

#KAZIIENDELEE
 
Naona chapa yako ya CCM ikianzia na CM 177…Kuna mambo mengi ya kulinganisha hadi useme nchi moja ni bei nafuu kuliko nyingine manake shilling 100 Rwanda thamani yake ni tofauti na Burundi au nchi nyingine. Tusifanye direct comparisons kuna mengi mengine ya kulinganisha.
😍😍😍
 
Back
Top Bottom