CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
- Thread starter
- #81
Hapana ndio maana kuna exchange rateAlafu pia imategemea na thamani ya pesa ya nchi hiyo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana ndio maana kuna exchange rateAlafu pia imategemea na thamani ya pesa ya nchi hiyo...
Mbona sifa kwa Chifu Hangaya zimekuwa nyingi sana kwa siku za karibuni tena kwa vitu ambavyo amevikuta.?
Bei itashuka sio kupanda mkuu WanguWanatuandaa kisaikolojia ili wapandishe,hawana lolote,,
Nadhani tumeshuhudia kelele zao kuwa Tanzania tunatumia gharama nafuu za Bundle duniani...
Saa hii wamekuja kwenye umeme,,baada ya hapo maji
Hapana tunataka upate taarifa ili ujue uko kwenye nchi sahihi,Ukishaona hivi ujue wanatafuta justification ya kupandisha Bei ya umeme
Viwanda vingapi viko mijini?Unajengaje viwanda katikati ya mji. Kiwanda kinatakiwa kiwe 60km kutoka watu wanapoishi
Watu wa Chato Wala hawanashida na mtu ila ipo siku tutanena kwa lughaChato gang watakwambia umeme unakatika katika 😂😂..
Wanatapatapa Sana.
Naamini ipo Siku itakuwa bureUmeme na hduma za afya ilitakiwa kuwa bure kwa nchi yenye rasilimali kama Tz
Miundombinu yote tunalipia kodi
Kwani Chato sio Tanzania?Watu wa Chato Wala hawanashida na mtu ila ipo siku tutanena kwa lugha
Atakwambia hajuiViwanda vingapi viko mijini?
Upuuzi mtupu!!! kwani hiyo bei imeanza leo ... Mbona tokea tawala za nyuma bei ndiyo hizi hizi ...mnashindwa kujiongeza , kila kitu ni ndiyo ...Hahaha mama ni level nyingine
Wewe nini kinakukera bora,Upuuzi mtupu!!! kwani hiyo bei imeanza leo ... Mbona tokea tawala za nyuma bei ndiyo hizi hizi ...mnashindwa kujiongeza , kila kitu ni ndiyo ...
Kaziindelee kwa kasi & wekedi zaidi sawa,mafanikio mema kwenye project yenu,lakini mtaimaliza mmechoka sana
👇🏿👇🏿👇🏿Fanya wewe mkuu sio lazima mwandishi,
😍😍😍Naona chapa yako ya CCM ikianzia na CM 177…Kuna mambo mengi ya kulinganisha hadi useme nchi moja ni bei nafuu kuliko nyingine manake shilling 100 Rwanda thamani yake ni tofauti na Burundi au nchi nyingine. Tusifanye direct comparisons kuna mengi mengine ya kulinganisha.
😍😍😍Lawama ni suna kwa Mtanzania,
Siwezi kuzuia ila naelimisha tu kidogo nikipata muda,
Endelea kuipenda nchi yako
😍😍😍Tuko pamoja mkuu wangu,
Tanzania shida ni taarifa tu,
Nchi iko vizuri sana kwa maana ya vizuri,
Rais anafanya makubwa kila Siku
Mungu atubariki Watanzania wote
😍😍😍Tuko pamoja mkuu wangu,
Tanzania shida ni taarifa tu,
Nchi iko vizuri sana kwa maana ya vizuri,
Rais anafanya makubwa kila Siku
Mungu atubariki Watanzania wote
TanzaniaMungu ibariki ,
Kumbe Tanzania tuko vizuri Sana tu