Tanzania Police Force: Muwe na subira upelelezi unaendelea. Msipost mambo kwa mhemuko

Nasisitiza tena acheni Wakomeshwe najua Mtanichukia kwa huu Uwazi wangu ila nimeshakutana na hawa Viumbe sehemu kadhaa tena wakiwajibu hovyo ( kwa jeuri, nyodo na dharau ) mbaya sana wenye Mali zao pamoja na hata Kuwatukana juu. Nasema safi sana na acheni Wakomeshwe.
 
kutembea na mume wa mtu ni kosa.
Wala hatusemi HANA kosa.
Ila tunakemea kile alichofanyiwa kama adhabu.
Mimj binafsi kama wangefanya haya wakiwa peke yao wakamaliza,wala nisingekuwa na neno.
Shida CAMERA YA SIMU.
Mimi nimekaa mansese.ile tena ya wahuni.demh kuchukuliwa kwenye mziki usiku kwenda kupigwa mtungo.kawaida na maisha yanaendelea.
Ila kwa wale.wapumbavu wanapiga na picha kabisaa kuonesha na sura.kwamba NDO SISI.tushafanya hamueni.
 
Akome na Wakome imeisha hiyo......!!
 
Na wengi huwa na Majibu ya Jeuri, Kibri na Nyodo kwa wenye Mali hivyo kwa upande mwingine liwe ni Fundisho Okay?
Liwe fundisho kwa nani? Ni fundisho kwa watu wazima wanaotumia pesa na vyeo walivyonavyo kuwinda wasichana ambao bado hawajawa na independent judgement kwa mambo mengi. Huwezi kumrubuni msichana, halafu akipata matatizo useme ni fundisho kwake. This is lack of good judgement kama wewe ni ethical person.
 
Na wengi huwa na Majibu ya Jeuri, Kibri na Nyodo kwa wenye Mali hivyo kwa upande mwingine liwe ni Fundisho Okay?
Nakuunga mkono mkuu. Kama umekula mali ya mtu na ukajulikana na ukaambiwa kuwa mpole na usirudie tena ila kitendo cha kujifanye we ni jeuri na kujifanya unajua kuliko mwenye mali ujue ipo siku yatakukuta ya zaidi ya mtoto wa .......

wivu wa mapenzi hi hatar sana. Wengi wameuwawa na kufa kutokana na haka ka wivu so. Chonde chode tujiweke mbali na walio wa watu na tukubali kuonywa.

 
Well said

Kama umekaa maeneo ya uswahilini unaweza kuwa shahidi wa hili

Watoto wanarubuniwa na kwakuwa wapo financially broke wanakubali kutembea na hao manipulators

So being logically is all we need to deal with these kids

Sifikirii hata 20 yrs Kama kazidi
 
Mtanisamehe Mimi wala sijamuonea Huruma kwani hawa Viumbe wameshaonywa sana na wenye Mali zao kuwa Ukiona Vyaelea Jua Vimeundwa. Acheni tu Wakomeshwe.
Bure kabisa! Labda unasema hivyo kwa sababu hujapitia stage ya utoto na whether wakati huo ulikuwa na uelewa wa mambo kama ulivyo leo hii. Kitu kingine pengine unasema hivyo kwa sababu huyo aliyefanyiwa hivyo si mtoto wala ndugu yako, maana kwa watu wengine kama jambo haliwahusu wanaona wengine walipaswa kufanyiwa hivyo hadi na wao watakapopitia katika similar experience, ndipo watakapokumbuka kwamba kumbe injustice au abuse of any kind huwa haichagui mtu. It's only a matter of time. Any person can fall victim to injustice/abuse in many ways - kuonewa, kulipiza kisasi, kudhaniwa kuwa ndiye wakati siyo, kudanganywa/kurubuniwa, etc.
 
NENO LA MWISHO
kila mmoja asimguse mke asiye wake
Kila mmoja asimguse mme asiye wake
Kila mmoja asiguse mtoto wa shule
Kila mmoja asimguse mtoto
Ukizingatia haya utaishi kwa unafuu flani.

Ukionywa kubali kunywa
Kujifanya unampenda mtu wa mtu zaid ya mlengwa jua kama si kifo unataka
Basi ulemavu wa maisha.
Nimeshuhudia unyama na ukatili zaidi ya huu kisa watu hao wanne nlowataja hapo juu.

Wivu wa mapenzi unamfanya mtu anakuwa
Shetani
Mnyama
Kichaa
Gaidi
Jambazi
Ibilisi
Mtu asiyefaa.
 



Mkuu wewe ni MTU smart Sana .

Haya maneno yamejaa hekima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…