Tanzania should be kicked out of EAC

Umesema ukweli ambao wote tunaukwepa.
 

Tanzania allowed you to go on and would come in later. What made you not to? Hadith ya fisi na mkono.
 
Wakenya ,nyakati zimebadilika, Tz ya Leo si ya kuburuzwa WE ARE HERE TO STAY.
 
No East Africa without Tanzania and Tanzania is truly amazing symbol of East Africa The super Giants of East Africa ni Tanzania kama hujui Tanzania as a country ndio masterminds of all East Africa countries we have all resources which lead us to super power country in East Africa and after 10 years tunakuwa moderator wa East & South of Africa believe it or not.
 
Kuna kitu nashindwa kwelewa Tanzania Hadi mkuu wa mkoa anataka atunushane misuli na mataifa mengine Tena anazungumza kwa mihemko, kwani wizara ya Mambo ya nje kazi yake ni ipi ? Kama wakuu wa mikoa wakati mwengine ndio wanatoa kauli za ajabu ajabu.
Hama nchi.... ass!
 
Kama Taifa tunapaswa kujitafakari mtu kama Kabudi sio mwanadiplomasia bali ni mchekeshaji wa mfalme ndiyo maana nchi yetu inaonekaka kituko mbele ya jamii za kimataifa.
Hujitambui au pinga pinga imekukaa mno, kabudi ndio alietangaza Watanzania wasiingie Kenya? Kwa hili wanazi wa chadema tulieni tu, jielekezeni kwenye uchaguzi mnatia sana aibu.
 
Kwa vyovyote itahitajika kura, sasa unadhani tutaikosa kura ya Uganda na Burundi? Kenya acheni usnitch mambo yaende sawa.
 
This prove that we know Kenya more than they think, that's why always wanaanza, tukijibu lazima mbuzi walie zizini
 
LangatKipro,

What did USA gain by kicking out Russia?! And why should you kick TZ out of EAC?! For what reasons? And why shouldn't we do the same to arrogant and jealous Kenya?
 
Hii ni ushindani wa kibiashara,umeleta hii mbinu ya wao kuleta ndege kwetu,lakini sisi tusipeleke kwao,ili kunusuru uchumi na uendeshaji wa shirika lao la ndege.

Na hii imekuja kipindi ambacho sisi tumefungua anga kwa mashirika yote ya ndege,na watalii wanaingia Tanzania kama kawaida kwa kufuata taratibu za kudhibiti COVID-19.

Nahisi lengo la wenzetu ni kuchukua fursa ya kipindi hiki ambacho ni msimu mzuri wa utalii kuwapata abiria wengi.

Sasa jirani yetu mbinu anazotumia ndiyo zinaleta sintofahamu:

1. Kushindwa kushirikishana kabla ya kufanya maamuzi ambayo unajua siku za nyuma ,Mawaziri na viongozi waandamizi walishakaa kuhusu namna ya kushughulikia COVID-19 katika sekta ya Usafiri na usafirishaji unahusu nchi za Tanzania na Kenya na nchi zingine za Afrika Mashariki.

2. Mimi nakuja kwako, lakini wewe usije kwangu!!!,hatua hii inahitaji kulinda maslahi ya pande zote!

3. Jirani anashindwa kufanya rejea ya makubaliano ya siku za nyuma yanayohusu suala la usafiri yaliyowakutanisha viongozi.
 
Kenya yenyewe is full of magovinda, stupid Kenyans
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…