Tanzania should be kicked out of EAC

Tanzania should be kicked out of EAC

Inashangaza sana, "great thinkers" badala ya kuangalia namna nzuri ya kuzisaidia nchi hizi masikini (japo tunajigamba kuwa tupo uchumi wa kati) tupo hapa kupigana vijembe na kufuata mkumbo wa wanasiasa waliofilisika kisiasa. Ukweli utabaki pale pale, Kenya na Tanzania zinategemeana sana na hakuna East Africa pasipo Tanzania au Kenya, vinginevyo ni kujidanganya...
Umesema ukweli ambao wote tunaukwepa.
 
We have mutual understanding among the EAC nations such as Uganda, Rwanda, Burundi and Tanzania and we would have achieved a lot including even a political federation if it were not for Tanzania. Don't you think its the time to kick Tanzania out of EAC just like USA and other countries did for Russia out of G8?

Tanzania allowed you to go on and would come in later. What made you not to? Hadith ya fisi na mkono.
 
No East Africa without Tanzania and Tanzania is truly amazing symbol of East Africa The super Giants of East Africa ni Tanzania kama hujui Tanzania as a country ndio masterminds of all East Africa countries we have all resources which lead us to super power country in East Africa and after 10 years tunakuwa moderator wa East & South of Africa believe it or not.
 
Kuna kitu nashindwa kwelewa Tanzania Hadi mkuu wa mkoa anataka atunushane misuli na mataifa mengine Tena anazungumza kwa mihemko, kwani wizara ya Mambo ya nje kazi yake ni ipi ? Kama wakuu wa mikoa wakati mwengine ndio wanatoa kauli za ajabu ajabu.
Hama nchi.... ass!
 
Kama Taifa tunapaswa kujitafakari mtu kama Kabudi sio mwanadiplomasia bali ni mchekeshaji wa mfalme ndiyo maana nchi yetu inaonekaka kituko mbele ya jamii za kimataifa.
Hujitambui au pinga pinga imekukaa mno, kabudi ndio alietangaza Watanzania wasiingie Kenya? Kwa hili wanazi wa chadema tulieni tu, jielekezeni kwenye uchaguzi mnatia sana aibu.
 
Kwa vyovyote itahitajika kura, sasa unadhani tutaikosa kura ya Uganda na Burundi? Kenya acheni usnitch mambo yaende sawa.
 
This prove that we know Kenya more than they think, that's why always wanaanza, tukijibu lazima mbuzi walie zizini
 
LangatKipro,

What did USA gain by kicking out Russia?! And why should you kick TZ out of EAC?! For what reasons? And why shouldn't we do the same to arrogant and jealous Kenya?
 
Hii ni ushindani wa kibiashara,umeleta hii mbinu ya wao kuleta ndege kwetu,lakini sisi tusipeleke kwao,ili kunusuru uchumi na uendeshaji wa shirika lao la ndege.

Na hii imekuja kipindi ambacho sisi tumefungua anga kwa mashirika yote ya ndege,na watalii wanaingia Tanzania kama kawaida kwa kufuata taratibu za kudhibiti COVID-19.

Nahisi lengo la wenzetu ni kuchukua fursa ya kipindi hiki ambacho ni msimu mzuri wa utalii kuwapata abiria wengi.

Sasa jirani yetu mbinu anazotumia ndiyo zinaleta sintofahamu:

1. Kushindwa kushirikishana kabla ya kufanya maamuzi ambayo unajua siku za nyuma ,Mawaziri na viongozi waandamizi walishakaa kuhusu namna ya kushughulikia COVID-19 katika sekta ya Usafiri na usafirishaji unahusu nchi za Tanzania na Kenya na nchi zingine za Afrika Mashariki.

2. Mimi nakuja kwako, lakini wewe usije kwangu!!!,hatua hii inahitaji kulinda maslahi ya pande zote!

3. Jirani anashindwa kufanya rejea ya makubaliano ya siku za nyuma yanayohusu suala la usafiri yaliyowakutanisha viongozi.
 
Kenya yenyewe is full of magovinda, stupid Kenyans
 
Back
Top Bottom