Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu what would you expect kutoka kwa mtu aliyetoka jalalani?Kama Taifa tunapaswa kujitafakari mtu kama Kabudi sio mwanadiplomasia bali ni mchekeshaji wa mfalme ndiyo maana nchi yetu inaonekaka kituko mbele ya jamii za kimataifa.
Umesema ukweli ambao wote tunaukwepa.Inashangaza sana, "great thinkers" badala ya kuangalia namna nzuri ya kuzisaidia nchi hizi masikini (japo tunajigamba kuwa tupo uchumi wa kati) tupo hapa kupigana vijembe na kufuata mkumbo wa wanasiasa waliofilisika kisiasa. Ukweli utabaki pale pale, Kenya na Tanzania zinategemeana sana na hakuna East Africa pasipo Tanzania au Kenya, vinginevyo ni kujidanganya...
Hili jamaa kichwani ni empty linaleta hoja zisizo na kichwa wala miguu si lihamie Kenya lituachie nchi yetu.Ulitaka afanyeje!?
Uzuie Ndege kutokea Tanzania wengine uwaruhusu Afu uchekewe we nani
Kaishi Kenya
We have mutual understanding among the EAC nations such as Uganda, Rwanda, Burundi and Tanzania and we would have achieved a lot including even a political federation if it were not for Tanzania. Don't you think its the time to kick Tanzania out of EAC just like USA and other countries did for Russia out of G8?
Hama nchi.... ass!Kuna kitu nashindwa kwelewa Tanzania Hadi mkuu wa mkoa anataka atunushane misuli na mataifa mengine Tena anazungumza kwa mihemko, kwani wizara ya Mambo ya nje kazi yake ni ipi ? Kama wakuu wa mikoa wakati mwengine ndio wanatoa kauli za ajabu ajabu.
Hujitambui au pinga pinga imekukaa mno, kabudi ndio alietangaza Watanzania wasiingie Kenya? Kwa hili wanazi wa chadema tulieni tu, jielekezeni kwenye uchaguzi mnatia sana aibu.Kama Taifa tunapaswa kujitafakari mtu kama Kabudi sio mwanadiplomasia bali ni mchekeshaji wa mfalme ndiyo maana nchi yetu inaonekaka kituko mbele ya jamii za kimataifa.
Makao makuu ya EAC yapo Arusha Tanzania,
You have a point. After marehem Mhe Mahiga kuondoka. Tumekosa replacement. Mzee wa jalalani yupo yupo tuKama Taifa tunapaswa kujitafakari mtu kama Kabudi sio mwanadiplomasia bali ni mchekeshaji wa mfalme ndiyo maana nchi yetu inaonekaka kituko mbele ya jamii za kimataifa.
Ajielewe huyo pimbi.Makao makuu ya EAC yapo Arusha Tanzania,