Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi tatizo huaga hawajibiwi[emoji23][emoji23]Wakuu wa mikoa ndio level yenu na ndio maana wao ndio wanawajibu.
Hooo, sijui hatuihitaji Kenya, sasa rais wetu kuwakataza kuingia Kenya inawauma nn.Wanafiki, eti mnapigania AFCTA (Muungano wa nchi zote za africa kufunguliana masoko) lakini mumeshidwa kuafikiana na ndugu zenu Tanzania kwa EAC? Hivi mnafikiria kwa hiyo AFCTA nchi za africa zipo wapole kama TZ? nchi kama nigeria, southafrica na nchi za Waarabu Africa mtawezana nazo kweli kama ndugu zenu ngozi nyeusi mnashidwa?
Ni kujipendekeza kw mkulu, unajuaje next time atampa uwaziri wa mambo ya njeHio nchi Basi haina muelekeo , mkuu wa mkoa hafai kuzungumzia mambo ya foreign affairs maana hata mkoa wenyewe haupo chini ya wizara ya Mambo ya nje upo chini ya office ya rais tamisemi ,mambo ya foreign policy wapi na wapi na mikoa? Au ndio kila mtu anataka kujimwambafai mwambafai ilimradi aonekane na jiwe? Nchi yenu itabaki kua kituko mbele ya ulimwengu.
Nani ka kwambia tena kipindi hiki cha Corona,WFP wametabiri kutakuwa na janga kubwa la njaa,masoko yapo kibao.Hujui tunafaidika nin na EAC? Bila Kenya mazao yetu hayana soko at all mfano mahind, viaz n.k wateja wetu wakuu ni nchi za jirani.
Vinginevyo tunataka tuwatese wakulima. Issue ni kutafuta suluhu maana we are mutual beneficial.
Ikija swala la Utaifa we DO NO GIVE a Crap if you live there or not. Your country should come first. Unadhani waliofungia hizo ndege huko Kenya hawana wanaowafahamu huku TZ[emoji1241]!? Really!?Mkuu wewe huna cha kupoteza/kufaidika, wengine tunakaa kwenye nchi zote tatu yaani Kenya, Tanzania na Uganda, tuna watoto wanasoma huko please kuwa makini.
Pua zimekutanuka kwa jazba hadi unakosa point.Hujitambui au pinga pinga imekukaa mno,kabudi ndio alietangaza watanzania wasiingie Kenya?
Kwa hili wanazi wa chadema tulieni tu,jielekezeni kwenye uchaguzi mnatia sana aibu
Kama Taifa tunapaswa kujitafakari mtu kama Kabudi sio mwanadiplomasia bali ni mchekeshaji wa mfalme ndiyo maana nchi yetu inaonekaka kituko mbele ya jamii za kimataifa.
Ngoja tuweke pazia mlima kilimanjaro [emoji23][emoji23][emoji23]
Katika vita yoyote hukosi wasaliti km ww.Mimi Kama Raia Wa Banana Republic Naungana Na Hoja Yako, TZ tumejaa husuda, Visebusebu na viroho Papo.
Kumbe Mr corona una upinzani mpaka kwenye maswala ya kitaifa,leo ndio nimeijua rangi yako.Rais mstaafu Kikwete aombwe kwa hisani kuchukua hatamu za wizara hii.
Tanzania ni zaidi sana ya tunayoyashuhudia sasa.
Katika maisha haya huwezi ishi kama jilani yako anavyo takaKama Taifa tunapaswa kujitafakari mtu kama Kabudi sio mwanadiplomasia bali ni mchekeshaji wa mfalme ndiyo maana nchi yetu inaonekaka kituko mbele ya jamii za kimataifa.