mkulimamiwa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 2,591
- 5,315
Nchi yetu kuna kipindi huwa inapita kama kwenye tanuru la moto, yaani ni kama mfano wa Jehanamu la mateso ya watu
Uchaguzi wa 2025, sitausahau mpaka nitakapoingia kaburini na sitawahi kutamka jema lolote juu yao wauwaji hawa
Nchi yetu imejipata katika uongozi usiothamin hata uhai wa watu
29 October 2025, siku tatu zilizofuata, stasahau maisha yangu yote, na sitawahi kuwapenda kamwe viongozi wote waliojiweka madarakani huku mikono yao ikinuka damu za waja wa Mungu
Dah!
Kila ninapokumbuka najikuta nikibubujika machozi na huzuni kali ikiuzonga moyo wangu kisha najikuta nikipatwa hasira kalii sana!
Dah! Ila basi tu!