Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Hii
Hii ni canada ulipoishi au ni nchi ya mnyazimungu. Sorry namaanisha kwa wakristo au kwa mwamedi.Sijuwi mfumo wa Tanzania upoje. Hizo "performance appraisal" kwa Tanzania anazijaza nani?
Mfano nchi niliyokuwepo kuna "performance appraisal" lakini inajazwa na "Private inspecting consultants". (Factor) kigezo cha kwanza kabisa ni katika kila kazi kuna kitu kinaitwa "fundamentals "za hiyo kazi. Inspector ndicho kitu cha kwanza anatazama. Asiyefata "fundamentals" za hiyo kazi anarudishwa akaisomee tena hiyo kazi (akiwa kazini), Akirudishwa huko ni automatically "entry level pay" yake inashuka kwa nusu nzima, inakuwa ni ya mwanafunzi wa kazi.