Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Mwalimu ana vingi ya kuboresha mkuu, teaching documents, approaches, methodologies, techniques pia aboreshe teaching aids kama alizoea drawings basi atumie hata audio-visual.Typist au mchapaji anatakiwa abadirishe namna ya kubonyeza keyboard?
Mwl anatakiwa abadili namna ya kufundisha kila baada ya miaka mitano?
Walimu wasioweza kufundisha. Mytu anakuja humu anaandika "kufikilia" badala ya 'kufikiria", sasa fikiri failure kama huyo hata kwa lugha yake ya taifa kafundishwa na Mwalimu yupi kuandika hivyo?Failures wanakuwa walimu wapi?
Jitazame wewe ulivyoandika "adadirishe" badala ya abadilishe. Kiswahili hicho kama alikufundisha Mwalimu wako, basi huyo Mwalimu alikuwa hafai, ni mjinga, na huo ujinga akakufundisha wewe, sasa unauendeleza.Typist au mchapaji anatakiwa abadirishe namna ya kubonyeza keyboard?
Mwl anatakiwa abadili namna ya kufundisha kila baada ya miaka mitano?
Hilo lichama lingine utendaji kazi wake utauona vipi na tangu tupate uhuru lichama linalokalia kiti kwa wizi wa kura ni li ccm peke ake?Hapo wapiga kura wanajiuliza, mbadala wa "lichama" hili, kuna "lichama" lipi lengine lenye maana?
Chama kipi Tanzania amabacho kina hati safi kwa ukaguzi wa "portion" tu ya "administration" unaofanywa na CAG?
Hapa tunaongelea "performance" hatuongelei siasa, kwa sababu naamini Tanzania wana siasa wenye nia hasa ya kuleta mabadiliko kwa wananchi ni wachache sana, 90% wa ya wanasiasa wapo kwenye siasa kwa kuwa ni njia ya mkato ya kujineemesha, hususan bunge.
R na L zilivyo mbali hakuna "typing error" hapo, hapo kuna kusomeshwa ujinga. Unataka kunifunidha "typing error" wakati nna-type kwa zaidi ya miaka 50? "Typing errors au "typo" zinagfahamika waziwazi na ingekuwa hivyo nisingekurekebisha.Tpying error sio sababu ya kuleta longolongo zako. Elimu ya Tz ipo vizuri na appraisal zinafanyika kila mwaka. Appraisal sio kigezo cha kupandisha kima cha chini cha mshahara.
Kwani ni lazima uwepo kwenye hilo "lichama", "lichama" la wengine? Wewe linakuuma nini, si uende "lichama" lolote lingine linalokufaa? Au uanzishe lichama lako.Hilo lichama lingine utendaji kazi wake utauona vipi na tangu tupate uhuru lichama linalokalia kiti kwa wizi wa kura ni li ccm peke ake?
Hiyo nyongeza ndiyo itegemee "stringent appraisal meaasures", tuachane na mfumo wa kuongeza kimkupuo.Uko 100% correct lakini kuna nyongeza aina 2 kuna general increase hii ina base na report ya BOT on inflation lakini ni lazima kuwe na performance appraisal hii ni process za ndani na hii based na performance ndio unacho ongelea. Shida ni kuwa na system ya haki ili tusije kupeana nyongeza based na urafiki, mapenzi au sababu zingine ila kukiwa na system yenye kumpa mtu haki bila kujali unampenda au humpendi ila kila mtu anaona huyu ana stahili. Mimi nimefanya kazi kwenye kampuni namna hiyo ilikuwa kuna range 0-10% na ikija ile report unaweza kuta umepata 2% na Manager wako anaongea na wewe tunakupa 2 sababu moja, mbili, tatu kwa hiyo mategemeo yetu mwakani haya mapungufu uyafanyie kazi kwa uwazi kabisa yuko anaondoka na 10% na wako zero kabisa. Lazima hata yule wa zero atalalamika na kujiona alikuwa anastahili apate 10 ila ataambiwa hujapewa sababu labda time keeping yako, attitude yako, una warning mwaka huu, kazi zako humalizi kwa wakati atalalamika mwisho wa siku itamuuma na kujituma mwakani apate level nzuri. changamoto ni kuwa na system fair na process fair basi.
Sasa wewe unafikiaje hii general conclusion bila kutumia huo mfumo wa upimaji? Mi naona hoja hii imeletwa kwa nia ya muendelezo wa hujuma kwa watumishi hasahasa WALIMU kwa kuwa nia ni kujinufaisha ninyi na familia zenu mliokamata Nchi!Kweli kabisa. Ni mfumo ambao hata tuhangaike vipi na takwimu hautotupandishia uchumi kwa haraka. Ukichukulia kuwa Serikali ndio moja ya waajiri wakubwa sana Tanzania na nnauhakika over 90% ya waajiriwa serikalini ni underperformers.
Wengi wanaokimbilia kazi za serikalini ni wazembe na wabadhirifu.
Chuki zako mimi hazinipunguzii wala hazinizidishii. Endelea kuumiza roho yako.Sasa wewe unafikiaje hii general conclusion bila kutumia huo mfumo wa upimaji? Mi naona hoja hii imeletwa kwa nia ya muendelezo wa hujuma kwa watumishi hasahasa WALIMU kwa kuwa nia ni kujinufaisha ninyi na familia zenu mliokamata Nchi!
Na hakuna MTU namchukia humu JF kama wewe kutokana na post zako ULANIWE!
Kama hauna umakini wa kuandika hata kazi utakuwa hauna umakini nayo. Anaefanya vizuri ni vizuri tu, hana mipaka ya kufanya vizuri.Perfomance kazini inahusiana vipi na kuandika na kuchapa? Unaweza kuchapa vizuri lakini kazi huwezi. Unaweza kuongea lugha vizuri lakini kazi huwezi. Wewe unazungumzia vitu ambavyo havina mashiko kabisa.
Tathimini ya namna gani unafanya kazi inafanyika na ndio maana kunakuwa na maafisa rasilimali watu.
Lakini hakuna mahala duniani eti kima cha chini kipimwe kwa tathimini. Hiki hupimwa kwa kuangalia uwiano wa gharama za maisha na mshahara. Ila kupanda madaraja ndio suala lingine.
Kama wewe ni Kibaraka na Alshababu ambae muda wowote utipua watu jifukirie unamaana gani ya kuendelea kutetea ushetani!Chuki zako mimi hazinipunguzii wala hazinizidishii. Endelea kuumiza roho yako.
Hoja zako ni mfu. Kinachoongelewa hapa ni kama kilivyo post namba 1.
Kama wewe ni Mwalimu, joifirie unawafundisha nini wanafunzi wako? Mimi ntakwambia, unawafundisha ujinga tu. Hakuna zaidi. Jifikirie.
Mfano hai ni mama Anna Kilango Malecela ariharibu ukuu wa mkoa na kupewa ubungeHapana si kweli. Tupe mfano hai, hapa hatuongelei ushabilki.
Watanzania tusifikirie kuwa Rais yuko pale anafanya miujiza. Rais pia anategemea wataalaam wa kila nyanja wamshauri na watendaji watende, sasa ikiwa watendaji wenyewe hawjaweka vigezo vya utendaji wa kila kazi na vipimi vyake vya kuwa hapa, hiki huyu anakiweza, mshahara wake upande hivi a huyu hawezi ashushwe hivi. Unategemea lipi katika hali kama hiyo?
Mwarubaini ni watendaji waanze kuwekewa vipimo na "indepent consultants" na wawe "fundamentalists" kwenye fani zao. Vipimo vijadiliwe kama inavyojadiliwa budjet (siongelei vipimo vijadiliwe bungeni) na mpaka consultants wajirihishe kuwa, mgfani hai, "receptionist wa idara fulani "fundamentals" za kai zake ni hizi, performance yake ikidhi haya, kuanzia dress code, muda wa kazi kuingia na kutoka, kanuni za kazi zake, kama hajakutwa reception hatua zipi, akikutwa kakaa anaongea na simu au anakula ofisini, hatua ni hizi. Ofisi yake ikiwa "inanuka ishuzi" hatua za kuvhukuliwa ni hizi. Hivyo hivy kwa nafasi zote za kazi. Anaekiuka japo moja ya jilo basi hana kuongezwa mshahara wala cheo na akirudia hili hilo mara kadhaa basi nafasi hiyo haimfai. Yakiwepo hayo lazima tutie adabu.
Hii itakua nzuri sana na uchumi wa nchi utakua. Maana kweli kuna watu wanalipwa mishahara lakini michango yao ni kidogo sana kwa sababu za uzembe na kutokujituma, alaf unakuta nao wanataka pia mishahara yao iongezwe.Tanzania tuachane kabisa na mfumo wa kuwapandishia watu mishahara au vyeo bila kuwa na vigezo na vipimo vya "performance" zao.
Nashauri kwanza viwekwe vigezo na vipimo vya "performance" kazini ndivyo vitumike kuwapandisha watu vyeo na mishahara.
Ni wepesi sana kupanga vigezo vya ubora wa utendaji kwa kila kazi katika kila sehemu ya kazi. Tena siku hizi kila kitu kinakuwa kwenye data base kidigitali ni wepesi sana. Wale watendaji bora (best performers) watapanda mishahara na vyeo haraka na wale wazembe (kama ilivyo kwa Watanzania wengi) watasota hapo hapo na mshahara wa "entry level" mpaka wabadilike au wajiachishe wenyewe kazi.
Mfumo huu wa "performance based" upo na unatumika sana ulimwenguni, hususan kwenye kazi zisizo za Serikali, pia serikali nyingi zimeanza kutumia mfumo huo, bila kuoneana aibu wala huruma za kijinga.
Uzoefu wangu wa kufanya kazi za kuajiriwa kwa muda mrefu sana katika nchi zilizoendelea umenifundisha hayo.
Duuu! Sikulazimishi uniamini ajuzaWewe hata lugha yako ya taifa unaiharibu. Nikuamini vipi kwa ujinga kama huo?