Tanzania tuachane mfumo wa kupandishia watu mishahara bila kuwa na vigezo vya utendaji (performance)

Tanzania tuachane mfumo wa kupandishia watu mishahara bila kuwa na vigezo vya utendaji (performance)

My daily routine:-
Saa 2 asb, reporting to office and sign in.
Saa 2-4 kuangalia mafaili mapya yalikuja.
Saa 4. Kupata chochote maziwa moto.
Saa 4-6 Kupitia magazeti .
Saa 7-8 Lunch time...
Saa 8 Nacheua cheua kidogo nilichokula na kujitayarisha kuondoka.
:::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::
 
Typist au mchapaji anatakiwa abadirishe namna ya kubonyeza keyboard?

Mwl anatakiwa abadili namna ya kufundisha kila baada ya miaka mitano?
Mwalimu ana vingi ya kuboresha mkuu, teaching documents, approaches, methodologies, techniques pia aboreshe teaching aids kama alizoea drawings basi atumie hata audio-visual.
 
NADHANI KABLA RAIS HAJAPANDISHA MSHAHARA KUNA LA KUFANYA KWANZA,ILI NYONGEZA IWEZE KUENDANA NA TIJA TARAJIWA.
 
Failures wanakuwa walimu wapi?
Walimu wasioweza kufundisha. Mytu anakuja humu anaandika "kufikilia" badala ya 'kufikiria", sasa fikiri failure kama huyo hata kwa lugha yake ya taifa kafundishwa na Mwalimu yupi kuandika hivyo?

Simply huyo ni "An Uneducated fool from an uneducated school".
 
Typist au mchapaji anatakiwa abadirishe namna ya kubonyeza keyboard?

Mwl anatakiwa abadili namna ya kufundisha kila baada ya miaka mitano?
Jitazame wewe ulivyoandika "adadirishe" badala ya abadilishe. Kiswahili hicho kama alikufundisha Mwalimu wako, basi huyo Mwalimu alikuwa hafai, ni mjinga, na huo ujinga akakufundisha wewe, sasa unauendeleza.

Hizo ndizo shule za kufundisha ujinga.

Hata "arguments" zako ni finyu kiasi huelewi kuwa vipimo vya utendaji vikiwekwa na kutekelezwa kwa ufanisi ndivyo vinapelekea wafanyakazi kupewa mafunzo ya ziada ya kazi pale wasipopaweza kiubora.

Ukipitia vizuri huu uzi, nimeandika juu huko, kipimo cha ubora wa kazi kitapelekea au Mwalimu apandishe mshahara au apelekwe tena mafunzo kazini ili afikie kiwango kinachohitajika palae ambapo ataonekana hana kiwango bora. Au akishindwa kabisa itabidi ahamishwe hiyo kazi atafutiwe kwengine anapopaweza.

Licha ya kuwa si lazima kila Mwaalimu apandishwe daraja na kulipwa zaidi wakati hana kiwango, pia si lazima kila Mwalimu abaki kuwa Mwalimu hata asipoweza kufundisha. Vipimo vya uwezo wa kazi vya mara kwa mara ndivyo vitatoa majibu.

Narudia, huku kwa Walimu ndipo haswa zoezi hilo lianzie na lifanywe kwa nguvu na uadilifu mkubwa bila kuwa na huruma.

Mtu kama hawezi kufundisha akapike mandazi auze, badala ya kuleta mandazi wanafunzi wawe ndio wawe wateja wake wa mandazi. Ni ujinga tu.

Tukianzia kwa kuwa na Walimu bora basi ndani ya miaka michache tutakuwa na wafanyakazi bora kabisa, wafanyakazi wakifundishwa maadili mema, uchapa kazi, nidhamu kuanzia mashuleni, makazini itakuwa hakuna haja ya kupoteza muda kuanza tena kuwafundisha hao.

Shule zetu zinazalisha wafanya kazi wabovu kabisa. "No excuse".
 
Hapo wapiga kura wanajiuliza, mbadala wa "lichama" hili, kuna "lichama" lipi lengine lenye maana?

Chama kipi Tanzania amabacho kina hati safi kwa ukaguzi wa "portion" tu ya "administration" unaofanywa na CAG?

Hapa tunaongelea "performance" hatuongelei siasa, kwa sababu naamini Tanzania wana siasa wenye nia hasa ya kuleta mabadiliko kwa wananchi ni wachache sana, 90% wa ya wanasiasa wapo kwenye siasa kwa kuwa ni njia ya mkato ya kujineemesha, hususan bunge.
Hilo lichama lingine utendaji kazi wake utauona vipi na tangu tupate uhuru lichama linalokalia kiti kwa wizi wa kura ni li ccm peke ake?
 
Tpying error sio sababu ya kuleta longolongo zako. Elimu ya Tz ipo vizuri na appraisal zinafanyika kila mwaka. Appraisal sio kigezo cha kupandisha kima cha chini cha mshahara.
R na L zilivyo mbali hakuna "typing error" hapo, hapo kuna kusomeshwa ujinga. Unataka kunifunidha "typing error" wakati nna-type kwa zaidi ya miaka 50? "Typing errors au "typo" zinagfahamika waziwazi na ingekuwa hivyo nisingekurekebisha.

Fikiri kabla hujajitetea kijinga. Kubali ni kosa ujirekebishe.

Watu kama wewe kama ni wafanyakazi wa serikalini ndiyo haswa inabidi mfanyiwe tathmini na mnapokuwa hamna ubora msomeshwe kwa vitendo. Na wakati mnasomeshwa mishahara yenu ikatwe nusu. Nusu inayobaki iende kwa wale wanaofanya vizuri kama "performance bonus". Kumuongezea mtu kipato si lazima kumuongezea mshahara kila mwaka.

Wanaostahili kuongezewa kipato ni wale wanaoanya vizuri na si lzima iwe kuongezewa mshahara, wanaweza kuongezewa kipato kwa "performance" zao.

Ni lazima kuwe na mbinu za kuwafanyisha mashindano ya ufanisi na ubora kazini, wafanyakazi wawe wanashindana kwa ubora ili kila mtu afanikiwe kupata kipato cha ziada. Si kila mmoja kukaa mdomo wazi anangoja kipato cha ziada wakati haifanyi kazi yake kwa ufanisi.
 
Hilo lichama lingine utendaji kazi wake utauona vipi na tangu tupate uhuru lichama linalokalia kiti kwa wizi wa kura ni li ccm peke ake?
Kwani ni lazima uwepo kwenye hilo "lichama", "lichama" la wengine? Wewe linakuuma nini, si uende "lichama" lolote lingine linalokufaa? Au uanzishe lichama lako.
 
Uko 100% correct lakini kuna nyongeza aina 2 kuna general increase hii ina base na report ya BOT on inflation lakini ni lazima kuwe na performance appraisal hii ni process za ndani na hii based na performance ndio unacho ongelea. Shida ni kuwa na system ya haki ili tusije kupeana nyongeza based na urafiki, mapenzi au sababu zingine ila kukiwa na system yenye kumpa mtu haki bila kujali unampenda au humpendi ila kila mtu anaona huyu ana stahili. Mimi nimefanya kazi kwenye kampuni namna hiyo ilikuwa kuna range 0-10% na ikija ile report unaweza kuta umepata 2% na Manager wako anaongea na wewe tunakupa 2 sababu moja, mbili, tatu kwa hiyo mategemeo yetu mwakani haya mapungufu uyafanyie kazi kwa uwazi kabisa yuko anaondoka na 10% na wako zero kabisa. Lazima hata yule wa zero atalalamika na kujiona alikuwa anastahili apate 10 ila ataambiwa hujapewa sababu labda time keeping yako, attitude yako, una warning mwaka huu, kazi zako humalizi kwa wakati atalalamika mwisho wa siku itamuuma na kujituma mwakani apate level nzuri. changamoto ni kuwa na system fair na process fair basi.
Hiyo nyongeza ndiyo itegemee "stringent appraisal meaasures", tuachane na mfumo wa kuongeza kimkupuo.

Hii ya kufanya nyongeza kwa mkumbo ndiyo pia inachangia shillingi kushuka thamani. Kianachotakiwa ni kubuni njia za kuongeza thamani ya pesa na si kuchochea kuzishusha thamani.

Ni ujinga tu kudhani kuwa nyongeza za mshahara ni muarubaini wa kutosheka kwa mishahara.
 
Kweli kabisa. Ni mfumo ambao hata tuhangaike vipi na takwimu hautotupandishia uchumi kwa haraka. Ukichukulia kuwa Serikali ndio moja ya waajiri wakubwa sana Tanzania na nnauhakika over 90% ya waajiriwa serikalini ni underperformers.

Wengi wanaokimbilia kazi za serikalini ni wazembe na wabadhirifu.
Sasa wewe unafikiaje hii general conclusion bila kutumia huo mfumo wa upimaji? Mi naona hoja hii imeletwa kwa nia ya muendelezo wa hujuma kwa watumishi hasahasa WALIMU kwa kuwa nia ni kujinufaisha ninyi na familia zenu mliokamata Nchi!

Na hakuna MTU namchukia humu JF kama wewe kutokana na post zako ULANIWE!
 
Sasa wewe unafikiaje hii general conclusion bila kutumia huo mfumo wa upimaji? Mi naona hoja hii imeletwa kwa nia ya muendelezo wa hujuma kwa watumishi hasahasa WALIMU kwa kuwa nia ni kujinufaisha ninyi na familia zenu mliokamata Nchi!

Na hakuna MTU namchukia humu JF kama wewe kutokana na post zako ULANIWE!
Chuki zako mimi hazinipunguzii wala hazinizidishii. Endelea kuumiza roho yako.

Hoja zako ni mfu. Kinachoongelewa hapa ni kama kilivyo post namba 1.

Kama wewe ni Mwalimu, joifirie unawafundisha nini wanafunzi wako? Mimi ntakwambia, unawafundisha ujinga tu. Hakuna zaidi. Jifikirie.
 
Perfomance kazini inahusiana vipi na kuandika na kuchapa? Unaweza kuchapa vizuri lakini kazi huwezi. Unaweza kuongea lugha vizuri lakini kazi huwezi. Wewe unazungumzia vitu ambavyo havina mashiko kabisa.

Tathimini ya namna gani unafanya kazi inafanyika na ndio maana kunakuwa na maafisa rasilimali watu.

Lakini hakuna mahala duniani eti kima cha chini kipimwe kwa tathimini. Hiki hupimwa kwa kuangalia uwiano wa gharama za maisha na mshahara. Ila kupanda madaraja ndio suala lingine.
Kama hauna umakini wa kuandika hata kazi utakuwa hauna umakini nayo. Anaefanya vizuri ni vizuri tu, hana mipaka ya kufanya vizuri.
 
Chuki zako mimi hazinipunguzii wala hazinizidishii. Endelea kuumiza roho yako.

Hoja zako ni mfu. Kinachoongelewa hapa ni kama kilivyo post namba 1.

Kama wewe ni Mwalimu, joifirie unawafundisha nini wanafunzi wako? Mimi ntakwambia, unawafundisha ujinga tu. Hakuna zaidi. Jifikirie.
Kama wewe ni Kibaraka na Alshababu ambae muda wowote utipua watu jifukirie unamaana gani ya kuendelea kutetea ushetani!
 
Ccm wanatakiwa watoe boriti Kwenye jicho lao ndipo itakapoona kibanzi Kwenye maeneo mengine huwezi kuanza kuwatesa wafanyakazi wakati wewe mwenyewe ni hopeless! Kama mna demand maboresho ya namna ya kupandisha watu mishahara based on outcome/output basi nasisi tunataka completely overhaul ya katiba hapo ndipo tutaenda sawa.
 
Hapana si kweli. Tupe mfano hai, hapa hatuongelei ushabilki.

Watanzania tusifikirie kuwa Rais yuko pale anafanya miujiza. Rais pia anategemea wataalaam wa kila nyanja wamshauri na watendaji watende, sasa ikiwa watendaji wenyewe hawjaweka vigezo vya utendaji wa kila kazi na vipimi vyake vya kuwa hapa, hiki huyu anakiweza, mshahara wake upande hivi a huyu hawezi ashushwe hivi. Unategemea lipi katika hali kama hiyo?

Mwarubaini ni watendaji waanze kuwekewa vipimo na "indepent consultants" na wawe "fundamentalists" kwenye fani zao. Vipimo vijadiliwe kama inavyojadiliwa budjet (siongelei vipimo vijadiliwe bungeni) na mpaka consultants wajirihishe kuwa, mgfani hai, "receptionist wa idara fulani "fundamentals" za kai zake ni hizi, performance yake ikidhi haya, kuanzia dress code, muda wa kazi kuingia na kutoka, kanuni za kazi zake, kama hajakutwa reception hatua zipi, akikutwa kakaa anaongea na simu au anakula ofisini, hatua ni hizi. Ofisi yake ikiwa "inanuka ishuzi" hatua za kuvhukuliwa ni hizi. Hivyo hivy kwa nafasi zote za kazi. Anaekiuka japo moja ya jilo basi hana kuongezwa mshahara wala cheo na akirudia hili hilo mara kadhaa basi nafasi hiyo haimfai. Yakiwepo hayo lazima tutie adabu.
Mfano hai ni mama Anna Kilango Malecela ariharibu ukuu wa mkoa na kupewa ubunge
 
Mfano hai ni mama Anna Kilango Malecela ariharibu ukuu wa mkoa na kupewa ubunge
Wewe hata lugha yako ya taifa unaiharibu. Nikuamini vipi kwa ujinga kama huo?
 
Alternative way watz watakachokifanya ni kupunguza hari ya kazi na kuanza kuiibia serikali
 
Tanzania tuachane kabisa na mfumo wa kuwapandishia watu mishahara au vyeo bila kuwa na vigezo na vipimo vya "performance" zao.

Nashauri kwanza viwekwe vigezo na vipimo vya "performance" kazini ndivyo vitumike kuwapandisha watu vyeo na mishahara.

Ni wepesi sana kupanga vigezo vya ubora wa utendaji kwa kila kazi katika kila sehemu ya kazi. Tena siku hizi kila kitu kinakuwa kwenye data base kidigitali ni wepesi sana. Wale watendaji bora (best performers) watapanda mishahara na vyeo haraka na wale wazembe (kama ilivyo kwa Watanzania wengi) watasota hapo hapo na mshahara wa "entry level" mpaka wabadilike au wajiachishe wenyewe kazi.

Mfumo huu wa "performance based" upo na unatumika sana ulimwenguni, hususan kwenye kazi zisizo za Serikali, pia serikali nyingi zimeanza kutumia mfumo huo, bila kuoneana aibu wala huruma za kijinga.

Uzoefu wangu wa kufanya kazi za kuajiriwa kwa muda mrefu sana katika nchi zilizoendelea umenifundisha hayo.
Hii itakua nzuri sana na uchumi wa nchi utakua. Maana kweli kuna watu wanalipwa mishahara lakini michango yao ni kidogo sana kwa sababu za uzembe na kutokujituma, alaf unakuta nao wanataka pia mishahara yao iongezwe.

Performance based salary incremental is the best solution.
 
Back
Top Bottom