Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,740
- 4,938
My suggestion, mama aachie ngazi.
Nchi hii imeshamshinda.
Tena asisubirie uchaguzi Mkuu.
Aachie sasa hivi akitoka huko alikoenda.
Vinginevyo, ataacha makovu mabaya sana ambayo itachukua muda kuyaondoa
Tatizo wapinzani wenyewe hatuna Mkuu.
Au tunao lakini hawajielewi ni kama pimbi tu.
Wapinzani wanaojielewa ni wachache sana kama wakili msomi Mwabukusi, Mbatia, Mdude n.k.
Wengine wanaongozwa zaidi na akili za tumboni
Kwasasa tatizo sio SERIKALI tena, kwani SERIKALI imeonyesha uwezo wake katika kuongoza nchi upoje, (inaweza au haiwezi) ..bali Tatizo ni JESHI na WANANCHI wake, wamelizia kuwa na watu wasio kuwa na akili timamu wala uzalendo......
Wenyewe wameongeza wizara ambazo huwa zinafuatana na utitili wa watu toka juu hadi kata kwa kisingizio cha kuleta ufanisi. 🤣🤣🤣Mama aanze kuweka plan ya kubana matumizi yaa serikali ikiwemo kupunguza safari za nje sasa, yeye na watu wake.
Serikali iwe serious Sasa kudhibiti wizi na majizi waliojazana Kila Kona hivi Sasa na wengi wao hizo hela wanaficha nje na kununua vitu vya anasa kama magari ambavyo vingi hutoka nje
Tuanze kuacha kununua vitu visivyo na ulazima nje, kama furnitures, magari na matumizi mengine ya serikali na taasisi zake.
Tuache sasa kununua midege baadala yake tujikite kuongeza ufanisi kwa hizi zilizopo hasa kuzitafutia route nyingi za nje.
Serikali ianze Sasa kuwa serious kuwekeza kwenye kilimo cha kisasa na kuwawezesha wakulima vitendea kazi na kutafutia mazao yetu masoko serious.
Serikali ifikiri namna ya kuhakikisha viwanda vya nguo vya ndani vinafanya production ya kutosha na nguo quality ili tuache utegemezi wa kuagiza mitumba na nguo kutoka china.
Serikali iache kujenga jenga hovyo Kwa kutumia wakandarasi wa nje, baadala yake ijikite kutumia na kuwawezesha wakandarasi wa ndani, ujenzi ufanyike tu pale kwenye ulazima na sio Kila siku tunajengajenga tu hovyohovyo.
Mambo ni mengi sana,wengine wanaweza kuongeza hapo.
Acha waishi ka mashetani masikini wajinga kabisa, maana kila mtu atumie akili yake kuishiSisi wachache tunaofaidika na mfumo tuwahurumie wengi wanaoishi kama majini ndani ya nchi yao
Na hawa ndo nyani wenyewe waliotufikisha hapa tulipoHahahaha Mshana Jr na mhamie Burundi enyi warundi hahahah. Unajua Rais Dkt Samia aliambiwa toka mwanzo amfukuze Dkt Mwigulu, amfukuze Makamba, amfukuze Baashe, amfukuze Dkt Ashatu ila basi yeye anawaonea huruma, na bado mchwa wataendelea kuitafuna hii nchi hatari, tuvumilie tu maana mambo ndivyo yalivyo hahaha
Nani kama Mama!CCM tupo bize kujipanga 2025 na mgombea wetu aliyeshindwa kusimamia nchi.
Nchi ngumu hii kha
Mkuu huu mwaka mafisadi mengi tutayazika sana!Nchi hii wanaoiacha na kuondoka kwenda kwa muumba basi tu! Yupo akiondoka mmoja, nchi itapona saana tu
Hii inasemwa mpaka na wanyumbani mwake
Salaam Tanzania
Tumepigwa mchana kweupeeeNani kama Mama!
Dah,tumepigwa sana Watanzania!
🤣🤣Hotuba anazohariri njanuary makaambaHii issue ya dollar shortage ipo Tanzania toka mwaka jana, biashara haziendi, una nunua mzigo nje bank inakuambia hakuna dollar weka maombi yako hapa uende siku tukipata dollar na approval from BOT tutakupigia, hii nchi ya hovyo sasa kwa sasa, hatuna Rais , anachoweza ni kuongea na kutoa hotuba zisizo na maana
Wakikutana wanatuchekaHapo kwenye ripoti ya CAG, mimi mpaka siifuatilii tena siku hizi maana ina faida gani? Ubadhirifu unatajwa hakuna hatua zozote zinazochukuliwa waziwazi zikaonekana.
Ripoti yenyewe inasomwa na kuwekwa hadharani, na makabidhiano na Rais ni hadharani pia. Kwanini wahusika wa ubadhirifu huo wasishughulikiwe hadharani pia?
Hahaha nyani, warudi, masikini, etc, nyumbu hahaha unajua ukiwa masikini huna haki. Wakome kabisa watanzania masikiniNa hawa ndo nyani wenyewe waliotufikisha hapa tulipo
Hapo kwenye ripoti ya CAG, mimi mpaka siifuatilii tena siku hizi maana ina faida gani? Ubadhirifu unatajwa hakuna hatua zozote zinazochukuliwa waziwazi zikaonekana.
Ripoti yenyewe inasomwa na kuwekwa hadharani, na makabidhiano na Rais ni hadharani pia. Kwanini wahusika wa ubadhirifu huo wasishughulikiwe hadharani pia?