Tanzania: Tumecheka sana na nyani, na sasa tunavuna mabua

Tanzania: Tumecheka sana na nyani, na sasa tunavuna mabua

Tatizo wapinzani wenyewe hatuna Mkuu.
Au tunao lakini hawajielewi ni kama pimbi tu.
Wapinzani wanaojielewa ni wachache sana kama wakili msomi Mwabukusi, Mbatia, Mdude n.k.
Wengine wanaongozwa zaidi na akili za tumboni

Mdude?!


Are we really that desperate?
 
Kwasasa tatizo sio SERIKALI tena, kwani SERIKALI imeonyesha uwezo wake katika kuongoza nchi upoje, (inaweza au haiwezi) ..bali Tatizo ni JESHI na WANANCHI wake, wamelizia kuwa na watu wasio kuwa na akili timamu wala uzalendo......


Jeshi = Tatizo [emoji777]

Wananchi = Tatizo [emoji736][emoji736][emoji736]
 
Mzee wa msoga ndiye chanzo cha maisha magumu ya watanzania huyu jamaa akiondoka hii nchi itakuwa na kilakitu
 
Mama aanze kuweka plan ya kubana matumizi yaa serikali ikiwemo kupunguza safari za nje sasa, yeye na watu wake.

Serikali iwe serious Sasa kudhibiti wizi na majizi waliojazana Kila Kona hivi Sasa na wengi wao hizo hela wanaficha nje na kununua vitu vya anasa kama magari ambavyo vingi hutoka nje

Tuanze kuacha kununua vitu visivyo na ulazima nje, kama furnitures, magari na matumizi mengine ya serikali na taasisi zake.

Tuache sasa kununua midege baadala yake tujikite kuongeza ufanisi kwa hizi zilizopo hasa kuzitafutia route nyingi za nje.

Serikali ianze Sasa kuwa serious kuwekeza kwenye kilimo cha kisasa na kuwawezesha wakulima vitendea kazi na kutafutia mazao yetu masoko serious.

Serikali ifikiri namna ya kuhakikisha viwanda vya nguo vya ndani vinafanya production ya kutosha na nguo quality ili tuache utegemezi wa kuagiza mitumba na nguo kutoka china.

Serikali iache kujenga jenga hovyo Kwa kutumia wakandarasi wa nje, baadala yake ijikite kutumia na kuwawezesha wakandarasi wa ndani, ujenzi ufanyike tu pale kwenye ulazima na sio Kila siku tunajengajenga tu hovyohovyo.

Mambo ni mengi sana,wengine wanaweza kuongeza hapo.
Wenyewe wameongeza wizara ambazo huwa zinafuatana na utitili wa watu toka juu hadi kata kwa kisingizio cha kuleta ufanisi. 🤣🤣🤣
 
Hii issue ya dollar shortage ipo Tanzania toka mwaka jana, biashara haziendi, una nunua mzigo nje bank inakuambia hakuna dollar weka maombi yako hapa uende siku tukipata dollar na approval from BOT tutakupigia, hii nchi ya hovyo sasa kwa sasa, hatuna Rais , anachoweza ni kuongea na kutoa hotuba zisizo na maana
 
Hahahaha Mshana Jr na mhamie Burundi enyi warundi hahahah. Unajua Rais Dkt Samia aliambiwa toka mwanzo amfukuze Dkt Mwigulu, amfukuze Makamba, amfukuze Baashe, amfukuze Dkt Ashatu ila basi yeye anawaonea huruma, na bado mchwa wataendelea kuitafuna hii nchi hatari, tuvumilie tu maana mambo ndivyo yalivyo hahaha
Na hawa ndo nyani wenyewe waliotufikisha hapa tulipo
 
Nchi hii wanaoiacha na kuondoka kwenda kwa muumba basi tu! Yupo akiondoka mmoja, nchi itapona saana tu

Hii inasemwa mpaka na wanyumbani mwake

Salaam Tanzania
Mkuu huu mwaka mafisadi mengi tutayazika sana!
 
Hivi na maccm Yana maisha magumu kweli, yenyewe si yananunua sukari kilo elfu Mbili tu.
Nchi ya hovyo sana Tanzania
 
Hii issue ya dollar shortage ipo Tanzania toka mwaka jana, biashara haziendi, una nunua mzigo nje bank inakuambia hakuna dollar weka maombi yako hapa uende siku tukipata dollar na approval from BOT tutakupigia, hii nchi ya hovyo sasa kwa sasa, hatuna Rais , anachoweza ni kuongea na kutoa hotuba zisizo na maana
🤣🤣Hotuba anazohariri njanuary makaamba
 
Mtamkumbuka mzee Asaad aliposema bunge dhaifu. Na Magufuli akamuondoa kwa kufichua trilioni na nusu
Ni kazi ya bunge kuishupalia na kuifanyia kazi kikamilifu mpaka mawaziri husika wanyooke
 
Ni balaa wakuu.. umeme ni hatari hatar hatari. Niko na shughul zangu hapa mtaa wa samora posta, wakuu, umeme unakatika na kurud after every less then 15 minutes. Jaman jamani serikali hii inaweza ikaonyesha nini ambacho imefanya cha kujivunia kama hata mambo madogo mno kama haya yanawasumbua??
 
Hapo kwenye ripoti ya CAG, mimi mpaka siifuatilii tena siku hizi maana ina faida gani? Ubadhirifu unatajwa hakuna hatua zozote zinazochukuliwa waziwazi zikaonekana.

Ripoti yenyewe inasomwa na kuwekwa hadharani, na makabidhiano na Rais ni hadharani pia. Kwanini wahusika wa ubadhirifu huo wasishughulikiwe hadharani pia?
Wakikutana wanatucheka
 
Hapo kwenye ripoti ya CAG, mimi mpaka siifuatilii tena siku hizi maana ina faida gani? Ubadhirifu unatajwa hakuna hatua zozote zinazochukuliwa waziwazi zikaonekana.

Ripoti yenyewe inasomwa na kuwekwa hadharani, na makabidhiano na Rais ni hadharani pia. Kwanini wahusika wa ubadhirifu huo wasishughulikiwe hadharani pia?

Serikali haichukulii kwa uzito hizi report, ndio maana wahusika wapo tu wanadunda. Na mwakani watatajwa tena wale wale pale pale. Tutasikitika, tutachukia, hakuna hatua zitachukuliwa circle will repeat itself
 
Back
Top Bottom