Tanzania: Tumecheka sana na nyani, na sasa tunavuna mabua

Halafu ukisema, anajitokeza "nyani" mmoja hivi mzee anakwambia "Hamia Burundi"![emoji419][emoji375]
Naona tumeamua kuwa nyani

Kauli dhalili hqzijengi hata siku moja
 
huyu mama bado anatengeneza uchumi na anaendelea vyema

haya yanayozungumzwa ni poroja tupu ukichunguza kwa kina
 
siasa ni sayansi sio mihemko 🐒

mweye IQ finyu ndio anaweza wafananisha wanainchi na hiyo kitu 🐒

Thus why huwa wanajibu kwenye debe na ndio maana gubu zenu haziishagi na idadi yenu hupungua badala ya kuongezeka.

hakuna mstaarabu ataambatana na akili kama izo sisizo kua na hekima wala Busara.hayupo wa kukuskiza 🐒

🤣 🤣Labda utabiri wa kwenye kahawa pale karumu kua Yanga atakuwa bingwa club bingwa Africa, apo sawa 🐒
 
Mungu akusamehe bure maana hujui uliongealo
Ninalijua ninaloongea ndiyo maana nasema Magufuli alikuwa FISADI. Nyinyi mnomuona mzalendo sijui mkombozi ndiyo mnahitaji kuombewa.

Magufuli angekuwa anatenda mema Mungu angemkinga dhidi ya hila za watesi wake au dhidi ya ugonjwa wa corona. Ila alimuona anaharibu nchi yetu akamuacha bila protection
 
Tatizo wapinzani wenyewe hatuna Mkuu.
Au tunao lakini hawajielewi ni kama pimbi tu.
Wapinzani wanaojielewa ni wachache sana kama wakili msomi Mwabukusi, Mbatia, Mdude n.k.
Wengine wanaongozwa zaidi na akili za tumboni
Hah hah wapinzani wenyewe akina Mbowe na Zitto watauza hadi inzi.
 
Amina, tupo ktk giza nene, lakin ipo siku tutauona mwanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…