BabuMkubwa
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 2,417
- 3,590
Qatar Air Force Cargo at KIA, mlioko huko tuambieni imeshajaza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona tumeamua kuwa nyaniHalafu ukisema, anajitokeza "nyani" mmoja hivi mzee anakwambia "Hamia Burundi"![emoji419][emoji375]
Wacha ujinga huo. Kwa sifa gani na uwezo gani ambao yule FISADI alikuwa nao?
Angekuwa na uwezo asingekufa akiwa madarakani
siasa ni sayansi sio mihemko 🐒Ona Pi..mb.i hii!
Kwa hiyo tusiseme kisa tuchaguliwe kwenye nafasi ili na sisi tuwe nyani waharibifu?
Anyway, nyie endeleeni na unyani wenu, iko siku isiyo na jina ataibuka wa kuibuka kusikojulikana. Tena natabiri huyo ajaye, atakuwa zaidi ya Hayati JPM. Atawanyoosha sana manyani wote kuliko walivyonyooshwa na Magufuli. Hiyo siku naiona na haiko mbali toka sasa.
Ninalijua ninaloongea ndiyo maana nasema Magufuli alikuwa FISADI. Nyinyi mnomuona mzalendo sijui mkombozi ndiyo mnahitaji kuombewa.Mungu akusamehe bure maana hujui uliongealo
Hah hah wapinzani wenyewe akina Mbowe na Zitto watauza hadi inzi.Tatizo wapinzani wenyewe hatuna Mkuu.
Au tunao lakini hawajielewi ni kama pimbi tu.
Wapinzani wanaojielewa ni wachache sana kama wakili msomi Mwabukusi, Mbatia, Mdude n.k.
Wengine wanaongozwa zaidi na akili za tumboni
Kweli Mkuu..Hah hah wapinzani wenyewe akina Mbowe na Zitto watauza hadi inzi.
Amina, tupo ktk giza nene, lakin ipo siku tutauona mwangaKwa kweli hata mimi kifo cha JPM kiliniacha na maswali mengi sana Mkuu....
Kama kuna sehemu shetani alijitwalia utukufu, ni katika kipindi hicho.
Lakini mwisho wa siku, Haki na wema lazima vitashinda ndugu yangu.
Tusikate tamaa kupigana upande wa wema na haki.