Tanzania tumeshindwa kuwa hata wanafiki, sasa macho yote kwa John

Tanzania tumeshindwa kuwa hata wanafiki, sasa macho yote kwa John

Duh! Niliweka uzi wa mhusika kuhusu kile alichoandika lakini MOD mnoko kishabadili!
😳 Yeah! Where we DARE TO TALK OPENLY!

Eh! Walisema humu watu itafika siku wote tutaongea LUGHA moja. Hata wewe Mkuu? Duh! ila nikupe hongera kwa KUJITAMBUA na nategemea hutageuka nyuma.

TumainiEl
 
Nimekukubali mkuu. Huyu ni kiongozi mzuri sana kama ataaondoa visasi , chuki za wazi kwa wapinzani na kama atasimamia katiba kufuatwa na mihimili yote. Atakuwa kiongozi bora duniani
JPM ni kiongozi bora wa zama hizi, muhimu ccm wamuwekee control kupitia katiba ya Warioba itakayoboreshwa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila coraona ndio imetufungia hesabu sijui baada ya uchaguzi 1$ itakuwa ni sawa na pesa ngapi za madafu
 
naweza kupa few reasons: ya kwanza ambayo ni kubwa ni you are illiterate.The US dollar is the global reserve currency for almost all the nations on earth apart from 4 countries i think ambayo ni china, russia, south korea, afganistan. but do you even know whats a reserve currency afterall?

here is a summary of how things work, every currency on earth has to be backed up by something behind, before we began using the us dollar: every currency was backed by Gold, but the problem is that there are few golds than the world population, so what do you do? the answer is simple print money according to the population needs but how will you trade internationaly?? simple US DOLLAR, so all nations money supply needs the us dollars to trade globally and with that said your currency is now under the us dollar how are you expecting to surpas it? in simple terms the us dollar is called FIANT MONEY meaning LET IT BE DONE

second: money has no value WTF? unaongea nn? chil chil chil
iko ivi ukienda kununua kitu dukani for example nguo, muuzaji atakuangalia alafu atakupa bei ambayo atataka uamini ndio bei halisi mfano umekuta shati, muuzaji atakwambia nipe 30K tu, wewe utasema hapana nna 15K ataangalia kama inaendana endana kama kuna profit basi atasema poa leta hio hela. kwahio huyo muuzaji kakuaminisha kwamba ndio nei ya hilo shati, but what if asingesema bei wewe ungebuni vp bei? so now you know money is VALUELESS, in real life money is just a game of numbers, a game of surpassing inflation! wewe unaona maisha ni magumu because of this simple concept ambayo hujui na hujawahi kuchukua mda kujifunza
Haupo high?
 
Ila coraona ndio imetufungia hesabu sijui baada ya uchaguzi 1$ itakuwa ni sawa na pesa ngapi za madafu
Leo nimesikia taarifa ya habari ya BBC World Service, wanasema Ubalozi wa Marekani unetoa tamko kwa raia wa Marekani kwamba hali ni mbaya sana hususan Dar es salaam, halafu hospitali hazina nafasi ya kuchukua wagonjwa wapya wa Covid-19.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tununue $ kwa wingi.
 
Nimekukubali mkuu. Huyu ni kiongozi mzuri sana kama ataaondoa visasi , chuki za wazi kwa wapinzani na kama atasimamia katiba kufuatwa na mihimili yote. Atakuwa kiongozi bora duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo hizo tabia hawezi kuzibadilisha, ni inborn traits, ni sehemu ya personalty yake na ndo zinamfanya awe yeye.
 
naweza kupa few reasons: ya kwanza ambayo ni kubwa ni you are illiterate.The US dollar is the global reserve currency for almost all the nations on earth apart from 4 countries i think ambayo ni china, russia, south korea, afganistan. but do you even know whats a reserve currency afterall?

here is a summary of how things work, every currency on earth has to be backed up by something behind, before we began using the us dollar: every currency was backed by Gold, but the problem is that there are few golds than the world population, so what do you do? the answer is simple print money according to the population needs but how will you trade internationaly?? simple US DOLLAR, so all nations money supply needs the us dollars to trade globally and with that said your currency is now under the us dollar how are you expecting to surpas it? in simple terms the us dollar is called FIANT MONEY meaning LET IT BE DONE

second: money has no value WTF? unaongea nn? chil chil chil
iko ivi ukienda kununua kitu dukani for example nguo, muuzaji atakuangalia alafu atakupa bei ambayo atataka uamini ndio bei halisi mfano umekuta shati, muuzaji atakwambia nipe 30K tu, wewe utasema hapana nna 15K ataangalia kama inaendana endana kama kuna profit basi atasema poa leta hio hela. kwahio huyo muuzaji kakuaminisha kwamba ndio nei ya hilo shati, but what if asingesema bei wewe ungebuni vp bei? so now you know money is VALUELESS, in real life money is just a game of numbers, a game of surpassing inflation! wewe unaona maisha ni magumu because of this simple concept ambayo hujui na hujawahi kuchukua mda kujifunza

Pumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimetafakari sana na nimewaza sana huu mlima tumeujenga na sasa unageuka kuwa maporomoko au kizingiti chetu na dunia ya kwanza.

Tulianza kama masihara na abiria kiukweli tulimsifia dereva anajuwa kuendesha kilimani gari ila pamoja na yote sasa huu mlima unataka kitufunika na safari yetu kuingia kwenye makorongo makali na hakuna wakutunasuwa.

Hapa jamaa zangu wa kuona mbali kama walishauri au hawakushauri huu mlima unaenda kuwa the big test of all time in history of this nation. U know why?

Tumefanya siasa zakurusha mawe ndani mwisho yukaanza kurusha mawe mpaka kwa majirani kwa bahati mbaya Samahan kusema hivyo hata sisi nyumba yeni ni ya vioo tena vioo vyepesi sana. Jiwe moja unaporomosha upande mzima wa vioo mbaya kuliko yote sasa jamaa wanaijuwa nyumba in and out. How walijuwa kuna siku tutabadilika na leo wanafanya sherehe walicho kitabiri kinatokea na sasa ni zam yakuangusha nyuma step by step.

Covid 19 kwao ni kama mlima wa mauti kwa africa na anguko kwa mataifa yanao wasumbuwa. Jambo tumelikosea na uwenda tumechemka dereva hakupasw hata fungua mdomo kusema chochote badala yake angekuwa anasikiliza kilio cha abiria nakuweka ujuwaji wa kuendesha ili kuwapumbaza watesi wake. Sasa mlima unakona kali na hauna lami tuliiona pale mwanzo je nn kitatokea?

Kama nikudanganya huwez wadanganya maana wapo ndani ya mfumo na ningumu kuwa baini sera na mikataba tuliingia nao inatubana leo yani kweli tukashindwa kuwa wanafiki na sisi tukawa katika sehemu ya kupumua kidogo. Mfano JK hakuwapenda sana chadema ila aliposoma nyakati na akiangalia sera zake akawaita pale magogoni wakapata tea Aljazeera wakarusha vyombo vya habari wakarusha mambo mswano, leo mnafanya picha hata mtoto anajuwa picha? Jamani mnatuangusha kiukweli.

This is a test of time Mungu alitete hili taifa maana macho yote kwa John. Kama John ndio amesimamia msimamo well let trust the process ila haiwezi kuwa kama tunavyo dhani. This is silence killing, today USD is how much? Prof BoTwhat ye say yesterday? We have strong reserve Hii ni aibu na aina hii yaunafiki mnampoteza dereva yani kitu kinachokuwa determine by demand and supply unatudanganya kiasi hiko if ye have strong reserve why thamani ya Tanzania inashuka kwa kasi? Why USD inapanda kwa kasi? Hii ni zaidi ya aibu kwaheri.
TumainiEL umekuwaJe siku hizi ?! Ni mwanga au mtego !!

Odhis *
 
Better now unalitambua hilo coz wengine since huyu bwana siku kaapishwa we saw the gap kwamba kuna nut moja kichwani haiko sawa.
 
Eh! Walisema humu watu itafika siku wote tutaongea LUGHA moja. Hata wewe Mkuu? Duh! ila nikupe hongera kwa KUJITAMBUA na nategemea hutageuka nyuma.

TumainiEl
Karibu tena Mkuu. Ulipotea kwa muda.
Leo nimesikia taarifa ya habari ya BBC World Service, wanasema Ubalozi wa Marekani unetoa tamko kwa raia wa Marekani kwamba hali ni mbaya sana hususan Dar es salaam, halafu hospitali hazina nafasi ya kuchukua wagonjwa wapya wa Covid-19.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ungewaomba ushahidi wa Picha ama video kuonyesha wingi huo wa wagonjwa. Kumbuka MSM media ni kama zina tenda ya kuhakikisha Corona inapata airtime ya kutosha kwa ajili ya faida ya baadaye ya Big Pharma! Upo!?
 
Back
Top Bottom