Johnson Fundi
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 1,386
- 1,207
Hata Sgr wakina kiwwete walitaka kama ile ya Kenya ya diesel .magufuli akaseame kwa nin tusiwe na ile ya umeme na akasimamia shuguli ikaanza .ingekuwa ni ile ni kipendicha hiki cha SAA 100 ungekuta watu wameshaajipimia kirambo na mradi upo asilimia 34 na wahuni wakifurahia kwa mapambio kuwa mama anaupiga mwingiMagufuli alikuwa ana tengeneza nchi iwe ya mfano mkamuua. Kuleni matapishi yenu sas [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unajitahidi kulinganisha na nani? Tuko nyuma mnokwangu mimi naona tunajitahidi ingawa speed inaweza kuwa ndogo. nikikumbuka miaka ile safari ya kutoka mwanza kuja dar ilivyokuwa ngumu sababu ya barabara hadi tukawa tunapitia nchi jirani,lakini leo unaweza kutoka tunduma mpaka mutukula(kagera) kwa ist maana ni lami tupu. Kuna kitu kinafanyika wajameni tusibeze sana.
Barabara zimejengwa baadhi ya maeneo....sawa
Ila hazifanyiwi usafi,kufagiliwa kutoa mchanga
Baada ya muda barabara kama lami yote itapotea
Ova
View attachment 2087258
View attachment 2087259
Barabara ya Kimara Kibaha hawa wazee wa kujipimia imewashinda wana maneno mengi kuliko vitendo! Yaani chini ya huyu mama maruerue tu!Hata Sgr wakina kiwwete walitaka kama ile ya Kenya ya diesel .magufuli akaseame kwa nin tusiwe na ile ya umeme na akasimamia shuguli ikaanza .ingekuwa ni ile ni kipendicha hiki cha SAA 100 ungekuta watu wameshaajipimia kirambo na mradi upo asilimia 34 na wahuni wakifurahia kwa mapambio kuwa mama anaupiga mwingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Una mtindio wa ubongoWewe taahira na wachaga wenzako matapeli mnauziana kitapeli mnakuja kudai Serikali kama mlionewa mendeni mahakamani si yupo Rais mwingine tofauti!
Wewe ndo unamtindio ubongo hao mataahira wenzako waambie waende mahakamani! Mlizoea kuiibia sana serkali wasenge nyie! Nendeni mahakamani!Una mtindio wa ubongo
Tema Zanzibar kupunguza eneo.Hi nchi yetu ni kubwa sana ukilinganisha na hizo nchi. Utakuta huzi tulizojenga kwa uchache wake zitaenea eneo kubwa la hizo nchi. Bado tuendelee kuikumbusha Serikali watimize wajibu wao
Kinacho ongelewa hapo Ni ubora wa barabara na sio Km zilizowekwa lami.Toa takwimu za paved tu
mimi hata sielewi hiyo nyuma yako mno ni nini?!? sasa hivi ni karibu barabara zote zinazounganisha mikoa ni lami/zinapitikwa kwa kipindi chote cha mwaka. wew unataka tuweke taa za barabarani from Dar to Mwanza??!!, hebu acheni mambo yenu ya kubezabeza tu, kwa upande wa barabara kuna jambo zuri limefanyika. inawezekana hujui tulikotokaUnajitahidi kulinganisha na nani? Tuko nyuma mno
Barabara imeachwa almost imefia asilimia 92 hadi sasa mambo hayaelewiki tupo bi mkubwa anadai hatudaiwi pesa na mkandarasi sisi ndo tunadai kaziBarabara ya Kimara Kibaha hawa wazee wa kujipimia imewashinda wana maneno mengi kuliko vitendo! Yaani chini ya huyu mama maruerue tu!
Hahaha huyo hajui hata anachofanya! Wewe umemuona anafanya hata ziara mikoani ni Dar zanzibar,mwanza arusha na dodoma ndo anakokwenda! Kwingine hana habari!Barabara imeachwa almost imefia asilimia 92 hadi sasa mambo hayaelewiki tupo bi mkubwa anadai hatudaiwi pesa na mkandarasi sisi ndo tunadai kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni kenge jike,Kazi ya mawaziri ni nini?Hahaha huyo hajui hata anachofanya! Wewe umemuona anafanya hata ziara mikoani ni Dar zanzibar,mwanza arusha na dodoma ndo anakokwenda! Kwingine hana habari!
Acha kuropoka,tembea Tzn uone.Kuna mikoa mingi Sana Tzn hii haijaunganishwa na lami.Ukitaka niambie nikutajie.mimi hata sielewi hiyo nyuma yako mno ni nini?!? sasa hivi ni karibu barabara zote zinazounganisha mikoa ni lami/zinapitikwa kwa kipindi chote cha mwaka. wew unataka tuweke taa za barabarani from Dar to Mwanza??!!, hebu acheni mambo yenu ya kubezabeza tu, kwa upande wa barabara kuna jambo zuri limefanyika. inawezekana hujui tulikotoka
Tumejitahidi kulinganisha na nani? Ikiwa majirani wote wanatuzidi?Tuseme ukweli tu.. kwenye suala la barabara tumejitahidi. Mi ni shahidi. Kazi kubwa imefanyika na inaendelea kufanyika
Both quality and quantity per square km tumezidiwa Sana.Toa takwimu za paved tu
Both kwenye quality na quantity/ density per square km wametuzidi mbali.Tanzania ni kubwa kuliko nchi zote,
Toa ushahidi kwa takwimu.
La sivyo acha braa braa.
Alimuua nani ? Ujinga wake ndio ulimuua kwa kudharau covid 19 ikampeleka kwenye shimo la hewa.Magufuli alikuwa ana tengeneza nchi iwe ya mfano mkamuua. Kuleni matapishi yenu sas [emoji23] [emoji23] [emoji23]