Tanzania tupaze sauti kupinga mfumo wa vifurushi vipya

Mzani utabalance siku zote, hata iweje, huwezi kuwapandishia watu gharama za uendeshaji halafu ukategemea mambo yawe vilevile, hii nchi ina mamlaka za udhibiti kama kumbikumbi, kazi kuomba rushwa tu, hizo rushwa ndio tunabebeshwa wateja sasa
 
Serikali yetu haipo vizuri aisee
 
Ombi pia kwa Moderator na mkuu Maxence Melo na wengine JamiiForums tunaomba uzi huu muupeleke kwenye mitandao yenu ya kijamii wanaweza sikia malalamiko haya.
 
Tungehamasishana tugome walau wiki kwani wao wanatuhitaji kuliko sisi tunavyowahitaji
 
Nashukuru JF imelisema hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…