Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
The life plenty unfairpambana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The life plenty unfairpambana
Nisikuchoshe usinichoshe, bila kumsifu mama wala chama hata kama una masters, degree au diploma of honor Yani GPA ya nne ma straight A's huku mtaani ni laana tu kwanza unakuwa case study pili hupati michongo maana kila mtu anaona unaenda kumuovertake kwenye ugali wake ukienda kujiajiri ndio balaa tupu maana mkononi mtaji una elfu hamsini, unabaki kubishana tu vijiweni kati ya chama na pacome nani mkali utaishia kujua ofisi zote za kubeti na kama haitoshi utamsifu mama utakuwa chawa utapauka kama viatu vya mwalimu wa shule ya msingi.
Ndio maana tunaanza kuoneana wivu hadi tunaanza kutamani uchawi... Na ndio sisi tunaunga mkono kila hoja ya wapinzani ila tunakula ChiChieM na kussuport kikokotoo, mwisho nawashauri wadogo zangu kama hauna ndugu maofisini tena wenye vyeo usiwasumbue wazazi kukulipia ada bora ufanye mtaji uanze kuuza hata viatu au mawigi utanishukuru baadae
NADHARIA;Utakuwa Mwalimu peke yako?
Ufunguo upo, lakini kitasa ndio kimebadilika. Hapa cha msingi ni ku-modify huo ufunguo.Hali mtaani ni mbaya, elimu ina umuhimu wake ilikuwa ni ufunguo wa maisha ila kwa sasa ile funguo imepotea, watu wenye hali ngumu kiuchumi ni wasomi na wanazidi kuongezeka kila mwaka.
Kabsa kimbindi cha kupitia msoto unapoteza kila kitu. Hilo lipo wazi sana. Wana tuwe na subira tu na kukaza kwa kazi yoyoteUsipokuwa mvumilivu lazima uchizike. Katika kipindi cha msoto unapoteza karibia kila kitu. Marafiki, mpenzi n.k
Umeona wapi kasema amekataa mshahara wa laki 3..? Afu ww naona unaongea kwa gubu tupu. Unajua huku mtaani kupata kazi ya mshahara wa laki 3 ni kipengele sanaMalalamiko hayatakusaidia ndgu yangu.
Miaka nane mtaani na bado hujajifunza njia ipi utumie ili upate unafuu wa maisha zaidi ya kuilaumu elimu, huo ni ujinga kabisa.
Miaka 8 ni mingi sana kuset malengo nje hata ya ulichokisomea, labda kama unataka pesa mingi kwa wakati mmoja. Ninyi ndio mnaozikataa ajira za laki 3 kwa kuona haziendani na hadhi ya elimu zenu.
Matokeo yake mtu anaishia kusota mtaani, la kufanya hana, hela hana , ajira hataki, kazi ngumu hataki, anataka kiyoyozi na V8.
Sometimes tunailaumu bure tu hii elimu yetu, ila tatizo kubwa pia ni sisi wenyewe. Kama umeshajua kua tatizo ni elimu yako, umefanya nini ili kulifix hilo??
Maana kujua tatizo ni hatua nzuri ya kulisolve.
hao wanasiasa wanaosema vijana wajiajiri wako tayari kumwaga hata damu za wananchi ili washinde uchaguzi.Watu wanaongeaga tu Yani,hao chekechea wanahitaji jengo,viti vyakukalia, material za kufundishia, location Kwa maana huwezi fungua darasa la tuition kijijini maana hauta PATA wateja lazima iwe town sasa, gharama yakupata jengo town ni kubwa kupita maelezo. Halafu mtu anaropoka et auhitaji mtaji au fedha none sense 😏😏😏😏
Acha kutisha vijana na kuwakatisha tamaa wasisome.Nisikuchoshe usinichoshe, bila kumsifu mama wala chama hata kama una masters, degree au diploma of honor Yani GPA ya nne ma straight A's huku mtaani ni laana tu kwanza unakuwa case study pili hupati michongo maana kila mtu anaona unaenda kumuovertake kwenye ugali wake ukienda kujiajiri ndio balaa tupu maana mkononi mtaji una elfu hamsini, unabaki kubishana tu vijiweni kati ya chama na pacome nani mkali utaishia kujua ofisi zote za kubeti na kama haitoshi utamsifu mama utakuwa chawa utapauka kama viatu vya mwalimu wa shule ya msingi.
Ndio maana tunaanza kuoneana wivu hadi tunaanza kutamani uchawi... Na ndio sisi tunaunga mkono kila hoja ya wapinzani ila tunakula ChiChieM na kussuport kikokotoo, mwisho nawashauri wadogo zangu kama hauna ndugu maofisini tena wenye vyeo usiwasumbue wazazi kukulipia ada bora ufanye mtaji uanze kuuza hata viatu au mawigi utanishukuru baadae
usimkaripie huyo ni baba yako aliyehitimu chuo kikuu 1982 akapangiwa post ya kuanza kazi mwaka uliofuata.Umeona wapi kasema amekataa mshahara wa laki 3..? Afu ww naona unaongea kwa gubu tupu. Unajua huku mtaani kupata kazi ya mshahara wa laki 3 ni kipengele sana
Hamna gubu hapo ndo ukweli huo.Umeona wapi kasema amekataa mshahara wa laki 3..? Afu ww naona unaongea kwa gubu tupu. Unajua huku mtaani kupata kazi ya mshahara wa laki 3 ni kipengele sana
Kweli wapo wanakataa mshahara huo. Ila mtoa mada haja ukataa. Kuna binti namjua kahitimu sijui maswala ya miamba alipata kazi ya kulipwa 300k kwa mwez eti anasema ni ndogo. Kujiajiri atawezanaHamna gubu hapo ndo ukweli huo.
Hilo nalijua, na huohuo mshahara wa laki 3 kuna watu wanaukataa. Na nimeshakutana nao ndio maana nikaandika hivyo.
Mishe ni adimu ila graduates wengi wanachagua kazi ni balaa.
Yeah. Asiweke jumla asemee mtu mmoja mmojausimkaripie huyo ni baba yako aliyehitimu chuo kikuu 1982 akapangiwa post ya kuanza kazi mwaka uliofuata.
Mi nilijua watu wajuaji kama nyie hamkosekani katika mijadala, wewe umejiajiri au umeajiriwa?We Una vyeti Ila hauna Elimu na hii ndo tunayo graduate 90% we are not educated enough.
Mi nilijua watu wajuaji kama nyie hamkosekani katika mijadala, wewe umejiajiri au umeajiriwa?