Tanzania ukisoma hadi chuo ni kama laana mtaani

Tanzania ukisoma hadi chuo ni kama laana mtaani

Malalamiko hayatakusaidia ndgu yangu.
Miaka nane mtaani na bado hujajifunza njia ipi utumie ili upate unafuu wa maisha zaidi ya kuilaumu elimu, huo ni ujinga kabisa.

Miaka 8 ni mingi sana kuset malengo nje hata ya ulichokisomea, labda kama unataka pesa mingi kwa wakati mmoja. Ninyi ndio mnaozikataa ajira za laki 3 kwa kuona haziendani na hadhi ya elimu zenu.

Matokeo yake mtu anaishia kusota mtaani, la kufanya hana, hela hana , ajira hataki, kazi ngumu hataki, anataka kiyoyozi na V8.

Sometimes tunailaumu bure tu hii elimu yetu, ila tatizo kubwa pia ni sisi wenyewe. Kama umeshajua kua tatizo ni elimu yako, umefanya nini ili kulifix hilo??
Maana kujua tatizo ni hatua nzuri ya kulisolve.
 
Kazi ziko nyingi ila ajira ndo hakuna. Tatizo la wasomi wetu wa bongo wanamaliza chuo hawana UJUZI wowote. Mtaani kinacho hitajika ni ujuzi, siyo degree, au diploma.

Sasa kama wewe umesoma hadi chuo fanya namna hii.
1. Jifanyie tathimini, Je wewe una ujuzi gani? Je ujuzi wako uko kwenye kiwango bora cha kutoa ushindani?
2. Ujuzi wako unahitajika mtaani? Unaweza kuwa na ujuzi lakini ujuzi wako hauhitajiki mtaani au kwa lugja nyingine hauna soko. Ujuzi kama vile kupika keki, kupika, kupamba, kazi za salon, landscapping, gardening, ufundi wa magari, ufundi ujenzi, uselemara, udereva, ufundi umeme etc ndo vinahitajika mtaani.
3. Angalia una ujuzi unaoupenda jifunze. Si mbaya kwa mtu mwenye degree kwenda veta kujifunza ujuzi. Halafu uje ufanye kazi.

Lakini kama unapenda na unaweza kazi za kitaalamu pitia hapa kuna kazi nyingi unafanya online. https://www.upwork.com/freelance-jobs/online/ angalia kazi hapo then ujifunze uanze kufanya kazi. Unchohitaji ni laptop na ujuzi.
 
Nisikuchoshe usinichoshe, bila kumsifu mama wala chama hata kama una masters, degree au diploma of honor Yani GPA ya nne ma straight A's huku mtaani ni laana tu kwanza unakuwa case study pili hupati michongo maana kila mtu anaona unaenda kumuovertake kwenye ugali wake ukienda kujiajiri ndio balaa tupu maana mkononi mtaji una elfu hamsini, unabaki kubishana tu vijiweni kati ya chama na pacome nani mkali utaishia kujua ofisi zote za kubeti na kama haitoshi utamsifu mama utakuwa chawa utapauka kama viatu vya mwalimu wa shule ya msingi.

Ndio maana tunaanza kuoneana wivu hadi tunaanza kutamani uchawi... Na ndio sisi tunaunga mkono kila hoja ya wapinzani ila tunakula ChiChieM na kussuport kikokotoo, mwisho nawashauri wadogo zangu kama hauna ndugu maofisini tena wenye vyeo usiwasumbue wazazi kukulipia ada bora ufanye mtaji uanze kuuza hata viatu au mawigi utanishukuru baadae​

pole sana aise kijana....

ila acha uvivu, acha kuchagua kazi, acha kulala sana magetoni, ondoa aibu, vaa bidii na ujasiri.....🐒

Na,
kwa Neema na Baraka za Mungu utatoboa maisha, na hutakua na mawazo au fikra za malalamiko na manunguniko ya kukata tamaa kama hayo daima, coz utakua bize sana kuinjoy mafanikio ya kazi za fikra na mikono yako kwa bidii yako mwenyewe 🐒
 
Utakuwa Mwalimu peke yako?
NADHARIA;
serikali ilisema darasa 1 linagharimu zaidi ya milion 20, na chekechea yetu itahitaji madarasa mawili.
Hivyo itahitajika milion 40 kuweza kuwa na chekechea.

Unataka kuniambia itatubidi kuwa na walimu 4 tuchange milion kumi kumi kwa kila mwalimu ili tuweze kufungua shule.

hiyo milion 10 ya mtaji kwa kila mwalimu tutaitoa wapi?

nb: kumbuka sijaweka gharama ya kiwanja, viti, meza, vitabu nk..
 
Malalamiko hayatakusaidia ndgu yangu.
Miaka nane mtaani na bado hujajifunza njia ipi utumie ili upate unafuu wa maisha zaidi ya kuilaumu elimu, huo ni ujinga kabisa.

Miaka 8 ni mingi sana kuset malengo nje hata ya ulichokisomea, labda kama unataka pesa mingi kwa wakati mmoja. Ninyi ndio mnaozikataa ajira za laki 3 kwa kuona haziendani na hadhi ya elimu zenu.

Matokeo yake mtu anaishia kusota mtaani, la kufanya hana, hela hana , ajira hataki, kazi ngumu hataki, anataka kiyoyozi na V8.

Sometimes tunailaumu bure tu hii elimu yetu, ila tatizo kubwa pia ni sisi wenyewe. Kama umeshajua kua tatizo ni elimu yako, umefanya nini ili kulifix hilo??
Maana kujua tatizo ni hatua nzuri ya kulisolve.
Umeona wapi kasema amekataa mshahara wa laki 3..? Afu ww naona unaongea kwa gubu tupu. Unajua huku mtaani kupata kazi ya mshahara wa laki 3 ni kipengele sana
 
Watu wanaongeaga tu Yani,hao chekechea wanahitaji jengo,viti vyakukalia, material za kufundishia, location Kwa maana huwezi fungua darasa la tuition kijijini maana hauta PATA wateja lazima iwe town sasa, gharama yakupata jengo town ni kubwa kupita maelezo. Halafu mtu anaropoka et auhitaji mtaji au fedha none sense 😏😏😏😏
hao wanasiasa wanaosema vijana wajiajiri wako tayari kumwaga hata damu za wananchi ili washinde uchaguzi.

Mwanasiasa yuko tayari nimpe bodaboda yangu alafu yeye anipe uwaziri?
 
Nisikuchoshe usinichoshe, bila kumsifu mama wala chama hata kama una masters, degree au diploma of honor Yani GPA ya nne ma straight A's huku mtaani ni laana tu kwanza unakuwa case study pili hupati michongo maana kila mtu anaona unaenda kumuovertake kwenye ugali wake ukienda kujiajiri ndio balaa tupu maana mkononi mtaji una elfu hamsini, unabaki kubishana tu vijiweni kati ya chama na pacome nani mkali utaishia kujua ofisi zote za kubeti na kama haitoshi utamsifu mama utakuwa chawa utapauka kama viatu vya mwalimu wa shule ya msingi.

Ndio maana tunaanza kuoneana wivu hadi tunaanza kutamani uchawi... Na ndio sisi tunaunga mkono kila hoja ya wapinzani ila tunakula ChiChieM na kussuport kikokotoo, mwisho nawashauri wadogo zangu kama hauna ndugu maofisini tena wenye vyeo usiwasumbue wazazi kukulipia ada bora ufanye mtaji uanze kuuza hata viatu au mawigi utanishukuru baadae​
Acha kutisha vijana na kuwakatisha tamaa wasisome.
 
Umeona wapi kasema amekataa mshahara wa laki 3..? Afu ww naona unaongea kwa gubu tupu. Unajua huku mtaani kupata kazi ya mshahara wa laki 3 ni kipengele sana
Hamna gubu hapo ndo ukweli huo.

Hilo nalijua, na huohuo mshahara wa laki 3 kuna watu wanaukataa. Na nimeshakutana nao ndio maana nikaandika hivyo.

Mishe ni adimu ila graduates wengi wanachagua kazi ni balaa.
 
Kweli wapo wanakataa mshahara huo. Ila mtoa mada haja ukataa. Kuna binti namjua kahitimu sijui maswala ya miamba alipata kazi ya kulipwa 300k kwa mwez eti anasema ni ndogo. Kujiajiri atawezana
 
Hata kipindi cha ajira enzi za mkapa na kikwete malawama yalikuepo palepale kuhusu mshahara mdogo sijui mazingira ya kazi duni na wengine walikuwa wanaacha kazi na shule zinabaki bila walimu, hospital za vijijini zilikosa wahudumu wengi walikuwa wanapiga party time ili wawe na mishe zingine mtaani.

Kiufupi kijana mwenzangu unaesikia kelele za uhaba wa ajira usichukulie serious ukabweteka kwa kigezo eti ajira hamna utakufa masikini pekeako watu wana kazi zao na wanaingiza mpunga wa maana hizo kelele ni geresha tu na kuzuga wengine

Hakuna msomi mzembe zama hizi watu wameelimika hata kama hawajaingia darasani usiingie mkenge they are not serious on the issue shauri yako
 
Back
Top Bottom